Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

Ok girls can be retarded tooo:glasses-nerdy:...actually this is a new fashion trend... apparently showing bra is on now.... but I am not liken it on her...she looks like a disaster....OMG and what happen to her face?
 
Dah huyo maunda Zoro afya yake naona kama mgogoro flani hivi mnyongeeeeeeeee sijui yukoje

Katoka kujifungua hana hata miezi mitatu, inaonyesha hakula vizuri wakati wa uzazi hata kama kutengeneza mwili siyo hivyo, amepukutika sana
 
Goshhhhhhhhhhhhhhhhh eeh mungu baba na mwana na roho mtakatifu tusamehe sana

attachment.php
 
hiyo make-up jamani amenikumbusha 'Song of Lawino n Okol'

she looks like a guinea fowl
 
ikifungwa roselyn tutajua tu, but as far as we r still accessing it, tutaendelea kupost tu!!!

basi waambie mods waitoe kwa afya yako mpendwa naona umekuchosha kabisa!!!
 
Kidumu darling usiwe unaweka picha za watu tena humu...kuanzia leo weka picha za magari,miti sisimizi na mijusi...teh teh teh.....
 
maunda+zorro+kili+awards+%282%29.JPG

attachment.php

OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?<!-- google_ad_section_end -->

Kwenye red: hayo maneno nilipost kwenye post yangu page ya 2/3 na wewe ume edit post yako na uka copy + paste kwenye
post yako..... Hii ni hatari sana!!!!!!!!!!
 
kuvaa kote uchi ki hivyo lakini no mvuto, yaani haviii hata kidunchu, na hiyo make up ndio kavuruga mazima, nimeona pics nyingine cjui blog gani, kuna yule presenter wa star tv uwiii yaani kituko kabisaaaa, hivi hawawezi kuwa cmple tu wakaeleweka? nimemuona na yule mtangazaji wa clouds nae cjawahi kunuona akipendeza kwenye matukio jamani, hivi wanadhani kujiweka uch uchi ndio kupendeza?

Ah bana mi cjaona kitu hapo. Sura utafikiri kapigwa ile nini vileeeeeeeeeeee enhe puchi. Wala sioni mzuka kajidhalilisha tu
 
Hivi huyu binti si kajifungua juzi juzi tu huyu..........anatia kinyaa kwa kweli.....Sura limekuwa bayaaaaaaaaa utafikiri kamwagiwa maji ya moto na kubabuka..................Kamekuwa kabayaaaaaaaaaa

Halafu huyo baba yake naye mshamba tu.....Hata hao wazungu wanaowaiga wengi wao hawaendekezi upuuzi huu.....We baba gani wa Kiafrika unamruhusu bintiyo kukumbatiana nawe akiwa nusu uchi mbele ya kadamnasi..........Zahir anapaswa kubadilika sasa,hata mwanawe Banana anamshinda bana.....................aaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
amejidhalilisa kweli kweli...ameonekana mchafu sana.
 
Back
Top Bottom