MfunyukuHuyu ni punguani kabisa tena limbukeni wa starehe halafu hana hata aibu kuvaa uchi mbele ya baba yake mzazi na kaka yake, kawatia aibu sana siku ile baba yake Mzee zahil Ally zorro na kaka yake Banana ambao walikuwa wakijiinamia tu, Banana na baba yake ni watu wanaheshimika kwenye jamii ya wapenzi wa music wa Bongo. Jirekebishe wewe dada na acha kuwatia aibu baba na kaka yako na familia zao
Weee condom mbili hata siku moja zisivaliwe kwa pamoja....utaongeza uwezekano wa kupasuka...........Biashara kweli matangazo, sasa ukimchukua huyu itabidi juu ya condom uvae condom nyingine
OMG! hivi huyu dada alinusurika kwenye mabomu ya Mbagala au nimemtizama vibaya?<!-- google_ad_section_end -->
Uzuri wa Mkakasi ........
heheee ndani kipande cha mti.......duh NYU sahihisha hapo!!!
Huu uzungu wa wazazi na wana wao, mmh! Lakini kama baba mwenyewe amekaa ki'papaa mukuluuuu', macheni kibao, what do you expect watoto wafanye?