Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

Kitu kizuri kuliko vyote kwa mwanadamu ni kile ambacho ukiwa nacho hujui thamani yake mpaka ukiwa huna. mfano usingizi huwezi kusema mtamu ukiwa usingizini mpaka uamke ndio utasema usingizi ulikuwa mtamu. Au umuhimu wa elimu huwezi kuujua hadi ukishafeli na uko mitaani ndio utasema ningejua ningekazana shule.

Nawasilisha.
 
To be happy, healthy, in deep love and satisfied with your life style.

 
Last edited by a moderator:
Ni pale ambapo unajiamin una nguvu kisha mtu unaye muona ***** ambaye hana nguvu anakupiga.
 
Basi kutokana na mawazo yote ya kila mmoja, nagundua kizuri ni mtazamo wa mtu. Kwani watatokea watakaosema kizuri ni kufa kuepuka maisha ya CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom