Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

yote semeni lakini AFYA Njema ndo kila kitu. Ukiwa mgonjwa hautalala, hautakula, haungonoki, yaani huwez ki2
 
Kula mrungi,pakti ya fegi pembeni,kamzinga ka konyagi na washkaji,huku stori kwa wingi....duh! hadi raha.
 
Hapa duniani hakuna kitu kizuri, ona majibu waliyotoa kuhusu swali lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom