LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..
3. Wakristu hawana dini ila wana imani.
4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.
Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.
Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?
Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.
Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.
Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema
1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.
2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...
BACK TO THE POINT
Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..
Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.
Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.
VIPI KUHUSU WAKRISTU?
Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.
Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.
Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.
Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.
Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .
Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.
Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.
Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.
Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.
Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.
Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.