Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

Wana Jf naomba kujuzwa. Ni kitu gani kizuri kupita vitu vyote hapa duniani ambacho mwanadamu akikifanya hujisikia faraja zaidi? Mfano wengine usema kuwa ni usingizi, chakula, mazungumzo, tendo la ndoa n.k. Wewe mwana JF, ni kitu gani bora zaidi. Karibu tufunguke.
Kuchunguliana.Belivdat!
 
Huwa nafarijika nikiizuia nafsi yangu dhidi ya matamanio yenye kumchukiza Mwenyezi Mungu kitu ambacho naamini watu wengi wanashindwa.
 
Vyote vinategemeana bana huwezi kusema tendo la uumbaji 2 bila kuwa umeshiba n.k.
 
Kwa tamaa za watu hawawezi kuchagua kitu kimoja...Mi naona bora kuokoka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom