Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,225
- 12,948
Unachojaribu kusema ni kuwa unatamani kuua utamaduni wa kimasai sio? Unajua kwanini UNESCO iliitangaza Ngorongoro kuwa urithi wa Dunia?Wamasai wa Loliondo lazima waletwe kwenye karne ya 21 kama watanzania wengine. Mambo ya kuwafanya kama kivutio cha watalii kama nyumbu hayana ubinaadamu.
Mbuga ya Loliondo ni hifadhi ambayo inaleta fedha za kigeni, kwa hiyo lazima watu waondolewe kama maeneo ya makabila menginr yalivyo chukuliwa kuwezesha miradi ya maendeleo kwa manufaa ya watanzania wote.