Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha.
Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu watawala wa CCM mpaka imefikia hatua wako radhi kufukuza wananchi katika maeneo yao ili kuipa familia za kiarabu milki ya ardhi yetu.
Je ni nani kati yenu anayejua tunapata shilingi ngapi kwa familia ile ya kiarabu kumiliki Loliondo?
Je ni kwa nini muda wa kukaa Loliondo mwarabu amekuwa akiongezewa tu licha ya kelele za wananchi?
Kwa nini mwarabu wa Loliondo analindwa na Majeshi yetu kwa ufi na uvumba, je ana siri gani na nchi yetu?
Ni nani anafanya oversight juu ya wanyama anaowinda na pengine anaowatorosha kimagendo?
Je bajeti ya kuhamisha wamasai kutoka Ngorongoro na kujenga baadhi ya nyumba kule Handeni ilitoka wapi, ilipitishwa na bunge gani?- Kuna kila dalili huyu mfalme aliyemilikishwa Loliondo akawa anafinance operation zote za kuwaondoa wamasai Loliondo na maeneo ya jirani ya ngorongoro.
Ndugu zangu, Hili la bandari litutie hasira, litutie hamasa kudai nchi yetu.
Katiba ya nchi inatuamuru, kusimama na Kulinda uhuru wa Taifa letu, na imemzuia mtu yeyote kuwazuia watanzania pale watakaporaise up kupigania Uhuru wao dhidi ya adui yeyote yule mwenye kutaka kuuondoa uhuru huo.
Nchi inauzwa kila siku mdogomdogo huku tukishuhudia. Mwishowe tutajikita wapagazi, watwana katika nchi yetu wenyewe!
1. Majuzi Tumeingia mkataba wa Kizushi wa kuuza madini (Rare earth metals)
2. Kwenye dhahabu tumeshaachiwa mashimo
3. Kwenye gesi nako Rais alitepita alisema imeshakula kwetu
4. Sasa wanaanza kutaka kuuza hata bandari ambayo ni MOYO wa Taifa.
Tusimameni tuwakatalie madalali wa kuuza Uhuru wetu. Uwezo wa kuwakatalia tunao, Sababu za kuwakatalia tunazo, Na Tuwakatalie sasa ili kulinda uhuru wetu na Urithi wa vizazi vyetu!