Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

SPIKA ndio kaanzisha uchavuzi wa hali ya hewa kisa kuwatetea magamba wenzake!
Ila ndani ya miaka 4 mambo mengi yataeleweka tu
 
Tundu Lisu ni mashine! Huyu jamaa ni geneus! Tunahitaji watu kama yeye mjengoni! Wazenji nendeni tena UN!
 
Wakuu tujuzeni,chanzo/tatizo nn kilichowapelekea kutoka?
Nlichokiona na kukielewa mapema ni kwamba kupinga muswada wa katiba mbovu unaopitishwa kibabe na magamba na cuf.

Tindu lisu alipomaliza kutoa hotuba ya kambi ya upinzani tu,mnyika aliomba mwongozo Anne Makinda akaikataa na kumpa mchangiaji Mke wa malecela akaendelea ndipo walipo nyanyuka na kutoka.

Nikasikia sauti ikisema KAA NA DHANA YA UWOGA WAKO.
 
ila tuache utani!
Maoni ya kambi rasmi ya upinzani ni ya msingi sana!!!
Isipokuwa tu kwa ushabiki wa kisiasa watu wameyaponda!!! we have a wrong way to go!!!!!!!!!!!!!!!!
why should we go wrong way?
 
Bunge la leo limekosa utu na haki ya kila mtanzania,kwani kila mbunge ndani ya bunge anahaki sawa na wengine,inakuwaje spika anaombwa mwongozo hataki,eti kwasababu ni cdm ila angekuwa wa cuf au ccm angeluhusiwa,tufike mahali tuwe na ubinadamu ndani ya mioyo yetu hata kama hatumuogopi Mungu.
 
nadhani mwongozo wa spika umebaki msamiati wa enzi za akina chifu adam sapi..sasa hivi ni kuamka na kuongea unachoona ni sahihi,ukisubiri ruksa ya mmama imekula kwako
 
Sasa anaıngıa Mzee wa kılalacha,
Anasema yeye kaamua kubakı ndanı ılı atoe mchango wake,
Anadaı watu wawe wakwelı. Anaendelea kusema;
1. Hatakı unafıkı
2. Ahadı anazotoa Raıs aztekeleze.
3. Anadaı ndanı ya Katıba mambo yanayoleta ukınzanı nı: Raıs ameneutralıze maonı ya wananchı juu ya Katıba.
Aaaaaaghrr nımechoka kumsıkılıza anabwajaja tu!
 
Back
Top Bottom