Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

Wabunge wote wa CHADEMA wamesusia bunge wametoka nje wote wakati wakuwasilisha mswaada wa Katiba!Wamebaki waganga njaa!
 
muda mfupi bada ya Tindu lissu kumaliza kuongea,na Spika kukataa muongozoo uliombwa na Mnyika.
 
bahati mbaya sijasikia alivyomalizia Lissu, lakini hawa CCM wamekuwa too arrogant!!!
 
Baada ya kusomwa kwa muswada wa katiba mpya, idadi kubwa ya wabunge wa CHADEMA watoka nje baada ya Spika kukataa hoja ya kuahirishwa kwa mjadala.
 
Hali si shwali bungeni, wabunge wa CDM wametoka nje ya bunge baada ya Lissu kumaliza kuwasilisha hoja ya kambi ya upinzani. Demu wa Malecela kasema waacheni waoondoke sisi tutajadili. CCM wamebaki na kuwadanganya wananchi!

Nawasilisha!
 
Ila tuache utani!
Maoni ya kambi rasmi ya upinzani ni ya msingi sana!!!
isipokuwa tu kwa ushabiki wa kisiasa watu wameyaponda!!! we have a wrong way to go!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya maoni ya kambi rasmi ya upinzani, wabunge wa upinzani waomba mwongozo wa kuahirisha mjadala na spika akataa hoja hiyo na kumruhusu mh kilango malecela kuendelea kuchangia hoja! spika hataki hata kuruhusu maombi ya mwongozo, my take nahisi alijiandaa kuhakikisha hapati upinzani leo, kama mambo ndiyo haya maamuzi yatakuwa kwa wananchi wenyewe!
 
Mara baada Tindu Lisu kumaliza hotuba yake na spika kukataa kutoa nafasi ya mbunge aliyeomba muongozo wa Spika, wabunge wa upinzani wametoka bungeni. Sasa hivi Mama Anna Kilango yuko hewani anachoongea hata simuelewii.

Haya wadau.

Muongozo wa JF tafadhali.
 
...upupu.
Hawataki mawazo ya watanzania, ila wanataka kuiga nchi nyingine zimefanya nini.
 
Back
Top Bottom