Lowasa alikuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni, Nilidhani Bunge zima lingehairishwa Ili limuage badala ya kuwashupalia Chadema tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ingependeza Zaidi kama wabunge wote wangemuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni hayati Lowasa Kwenye Viwanja vya Bunge kama walivyomtendea Shujaa Magufuli

Kamati ya Maridhiano litazameni na Hili msiwabane Chadema Peke yao

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃
 
Nyakati nyingine una busara
 
Back
Top Bottom