Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

Mrema amebakia...anatoa hoja zake anazunguka hapo hapo!!!ana copy ya Tundu Lisu hana jipya!!anasisitiza kuhusu bunge la katiba!!
 
halafu wamepanga safu yao naona ameanza kilango angoea upupu anafuata huyu ccm b upup plus sasa mzee wa vunjo nayeanafuka tu wakuu ... Kwa kweli no way nikuingia barabarani tu
 
nini kimejili mpaka cdm watoke.mtujuze tafadhari

Tatizo ni spika' amegoma kupokea miongozo na utaratibu uliokuwa ukiombwa na wabunge wa chadema na upinzani.Bibi amekuwa mkali na hataki kumsikiliza mtu,hicho ndicho kilichojili.
 
Jamani Hivi Shibuda naye katoka au kabaki. Tujulisheni hatuna live accs ya bungeni
 
Chakushangaza' badala ya kujadili mswada wenyewe wanajadili maamuzi ya Chadema.
 
Yule mbunge wa cuf kaongea pumba mpaka nashindwa kuamini kama ni mpinzani, yaani lengo kuu ni kuwafurahisha ccm wanaomshangilia. Inasikitisha sana.
 
Mwalimu alipendekeza mfumo wa vyama vingi japo 20 asilia tu waltaka hivo. Hoja isiwe wingi bali uzito wa hoja. wapinzani kiduchu hoja nzito. Tuwe na busara kama mwali
U. UCCm hautatupeleka mbali peke yake
 
Back
Top Bottom