Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

Makamanda wa chadema walio na hasira na madudu yanayofanywa na ccm kuhusu katiba mpya waamua kukacha kikao baada ya wehu hawa kushindwa kufanya maamuzi magumu
 
Kwa kweli kambi ya upinzani imeshusha nondo za uhakika sio kidogo leo. Kama kweli kuna kusikilizana kambi ya upinzani ilikuwa na hoja za msingi sana!
 
huyu mama anne kilango si wale wale magamba tu. Ajajua kuwa ccm ndo itakayo chafua nchi kama haita endana na matakwa ya wananchi.
 
Kwa kweli kambi ya upinzani imeshusha nondo za uhakika sio kidogo leo. Kama kweli kuna kusikilizana kambi ya upinzani ilikuwa na hoja za msingi sana!
una nakala ya waliyosema kambi ya upinzani, tupatie ndugu
 
Wana JF naangalia yanayojiri mjengoni muda huu via TBC1 na wabunge wa upinzani wote (wa CDM) wametoka nje ya ukumbi wa bunge, nadhani kupinga muswada huu kusomwa kwa mara ya pili.
 
Kweli CUF watadumu kwenye ndoa. Mbunge wao haongelei contents anamsifia tu JK. Sijui ushauri wa David Cameroun umeanza kufanyiwa kazi!
 
kuna mambo mengine unaweza kuitwa mtabiri kumbe hakuna vita....aliyoyasema Lowasa yananukia......
 
Anne Kilango anatoka povu mdomoni kwa juongea kwa jazba halafu hajui abachoongea. Anarudia rudia maneno yaleyale. CUF nao hawaeleweki kama ni wapinzani am lah... Mbunge toka Zanzibar anaiponda cdm then wabunge wa ccm wanamshangilia.

Haya bana, watz bado tuna safari ndefu.
 
Kifupi jamaa hawakubaliani na mswaada wa katiba kusomwa mara ya pili spika akauendeleza na baada ya mnyika kuomba muongozo na kukataliwa na mama kilango kuruhusiwa kuongea ndipo wakatoka nje
 
Tatizo ubabe hauwaishi CCM maana mama kilaza SPIKA kaonyesha ubabe wazi wazi
acha waendelee na ubabe kinachofata tunaingia balabalani na hapo kikwete ndiyo atajua nini maana ya nguvu ya umma...
 
Back
Top Bottom