Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Boss suala la RA nalifananisha mara zote na Bakhressa. Bakhressa alipewa maghala ya iliyokuwa NMC bila hata ya kutoa senti tano, nikajiuliza huyu jamaa ana nguvu kiasi gani hadi anachukua mali za Umma bure bure!? RA naye tunaambiwa kwamba anamiliki mali nyingi lakini si kwa jina lake. Hata Richmond ina mikono yake.kuna kitu hakiko sawa mtu
ana nguvu zoote
halafu anaitwa fisadi na kutakiwa kujiuzulu ubunge
na anajiuzulu??????????/
Yeye ana nguvu ndani ya vyombo vya maamuzi CCM lakini CHADEMA imefanikiwa kuzivunjilia mbali nguvu hizo kwenye jamii ya watanzania wa kawaida. Alijiuzulu kwa sababu akiendelea kuwa kwenye uongozi wa juu wa CCM mkakati 2015 utakuwa mgumu sana kwa sababu itabidi kwanza kupambana na nguvu ya Umma kabla ya kupambana na makundi yaliyomo ndani ya CCM. RA bado ana nguvu sana ndani ya CCM na yeye ndiye kivuli chake kinaendesha mambo ndani ya chama hicho.