Kuna mpasuko mkubwa Zanzibar kati ya Balozi Ali Karume na Rais Mwinyi. Inadaiwa Ali Karume kaitwa na Majasusi kumuweka 'sawa'

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kwa kifupi kabisa inadaiwa Ally Karume hamtambui Dkt. Mwinyi ambaye ni Rais wa sasa kuwa alishinda Urais, badala yake anaamini Maalim Sharifu Hamadi alishinda Urais huko Zanzibar.

Inadaiwa leo baada ya kutoa kauli tata, kikosi Maalum cha WanaTISS kimemwita kumweka sawa, amefanyiwa mahojiano zaidi ya saa mbili.

Hii sio ishara nzuri, ikumbukwe huyu bwana naye aliutaka Urais enzi za Dkt. Shein wakampiga Ubalozi ili kumtuliza wenge.

Sasa wanahaha maana ana Kinga ya Ubalozi huwezi mfikisha mahakamani. Njia peke ni kumpiga kizuizini na Ili naona linakuja soon.

 
Raisi Dr Mwinyi hahitaji kutambuliwa na huyo mlevi wa kutupwa Ali Karume

Dr Mwinyi Kachaguliwa na wazanzibari walio wengi

Huyo Ali Karume sema waandishi wa habari hupenda kumhoji wakiona keshalewa pombe.Ali huanza kulewa kuanzia asubuhi kabisa.Sijawahi ona mlevi wa kupindukia kama Ali Karume kwa Zanzibar Yeye chai yake pombe Hunywa pombe kuanzia asubuhi hadi usiku
 
Back
Top Bottom