Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

kuna kitu hakiko sawa mtu
ana nguvu zoote
halafu anaitwa fisadi na kutakiwa kujiuzulu ubunge
na anajiuzulu??????????/
Boss suala la RA nalifananisha mara zote na Bakhressa. Bakhressa alipewa maghala ya iliyokuwa NMC bila hata ya kutoa senti tano, nikajiuliza huyu jamaa ana nguvu kiasi gani hadi anachukua mali za Umma bure bure!? RA naye tunaambiwa kwamba anamiliki mali nyingi lakini si kwa jina lake. Hata Richmond ina mikono yake.

Yeye ana nguvu ndani ya vyombo vya maamuzi CCM lakini CHADEMA imefanikiwa kuzivunjilia mbali nguvu hizo kwenye jamii ya watanzania wa kawaida. Alijiuzulu kwa sababu akiendelea kuwa kwenye uongozi wa juu wa CCM mkakati 2015 utakuwa mgumu sana kwa sababu itabidi kwanza kupambana na nguvu ya Umma kabla ya kupambana na makundi yaliyomo ndani ya CCM. RA bado ana nguvu sana ndani ya CCM na yeye ndiye kivuli chake kinaendesha mambo ndani ya chama hicho.
 
Fanya kila liwezekanalo umalizie hii habari kabla hakijatokea kikwazo chochote, ni muhimu Watanzania wakajua mambo kama haya mapema.
 
Watanzania,

Hivi kweli mnapenda story za udaku namna hii?.

Kila siku huwa nasema na kusisitiza anzeni kufikiri kwa kutumia ubongo wenu acheni magazeti na mitandao kuwafikiria.

Ndio maana mnalialia kila kukicha maisha magumu, hayawezi kuwa raisi kama mnaamini story ya kutunga kama hiyo hapo juu.
Mkuu naona una uhakika sana wa jambo hili mpaka kuita UDAKU, any way, ukiondoa media utakuwa umewaua watu kwa nusu ya maisha yao maana hayo ni mawazo yanayotokana na watu kuwa hai na kufikiri kumbe hatutochoka kusoma habari labda tuzingatie ushauri wa kujikwamua katika maisha magumu kwa kuyatokomeza yale yanayochangia na kusababisha ugumu huo, na kwavile umeshauri tutumie ubongo hata haya kuna watu wametumia ubongo, hatuwezi kukwepa kutumia ubongo Mkuu ndiyo maana hata wewe umetumia ubongo kuona hili.

Tanzania itajengwa na watu wenye moyo wa kujaribu, kuamua na kutaka kuijenga na si vinginevyo!
 
Hivi Rostam kiu yako nini hasa? Ufisadi tu? Natamani nikutane nae uso kwa uso anijibu lakini kama washkaji na sitotoa siri! Kuna kitu kikubwa ktk maisha ya mwanadamu nitajifunza!
 
Lakini mkuu hii mada kama una mwegamo fulani hivi. Au unayajua haya!?
keep-your-mouth-shut_49.jpg
 
It is pity that in 2011, just a year after the 2010's election, we're already discussing presidential candidates for 2015. Five years in politics is a long time. More than enough for peril to be averted and political capital to be accumulated in the process. So, let's escape from that hypothetical and face the facts of brutal reality.

In 2015, the public will assess the present government in terms of the decisions made and the choices taken. They will also be delivering their verdict on the state of Tanzania in those five years. At the moment, what the public want to hear is not presidential candidates for 2015, but whether their problems are being heard and addressed.
 
Aya mambo yanatisha sana, nathani kwa mtazamo wangu Ugonvi wa CUF unaweza kutusaidia kujua mambo mengi sana ya siri za serekali. is good for us to know were we are.
 
It is pity that in 2011, just a year after the 2010's election, we're already discussing presidential candidates for 2015. Five years in politics is a long time. More than enough for peril to be averted and political capital to be accumulated in the process. So, let's escape from that hypothetical and face the facts of brutal reality.

In 2015, the public will assess the present government in terms of the decisions made and the choices taken. They will also be delivering their verdict on the state of Tanzania in those five years. At the moment, what the public want to hear is not presidential candidates for 2015, but whether their problems are being heard and addressed.

OOH my dear friend EMT, how wrong you are and it definitely looks like you are forgetting one very important point, this is Bongo ! Are you aware that after 2005 the very same public had five years to assess the government in terms of decisions made and the chioices taken ? And in 2010 they delivered their verdict and you know what ? - the same idiot was given another term of five years ! Was it because their problems had been heard and addressed ? I leave that to you.

I know you'd be surprised and shocked if I were to tell you there is also this devilish plan, from some quarters, to give Kikwete, the best president we ever had, a third term in 2015 ! Reason ? Tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele !
 
Wakuu naona nimeulizwa maswali mengi Sana ila nitajibu kwa ujumla.
Suala la Shein liliamuliwa na CC ya CCM na sio kingmakers. Kwahiyo story hapo juu ni uongo mtupu!

cha pili kuuana sio kweli ni mandikaji kutumia Mwakyembe na Mwandosya kuugua na kuunganisha story.

mchunguzi names calling will not help you. Thanks to people who know me, mie sio wa kununuliwa labda nimnunue mie Lowassa. Soma soma humu utaona watt wanaonifahamu wananikubali sio wa kununuliwa mie kaka.

Mchunguzi nenda kwenye PM nikueleze kwanini namkubali Lowassa, tujadiliane huKo mpaka mwisho. achana na magazeti kaka na mtandao.
 
143 Reactions
Reply
Back
Top Bottom