Kikwete avunja monopoly

mkuu ma DC wameishateuliwa au unafukuzia zile nafasi za viti maalumu zilizobakia?

Mtanilipa nini huko, ikiwa posho za laki mbili kwa siku mnapigia kelele? mie nafunguwa disko niuze vitoto vya kike, inalipa sana, kama unabisha muulize mwenyekiti.
 
........ Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo..........

Kwamfano shule gani?


Duuuhh............kwani hii Minaki toka itaifishwe ilishawahi kurudishiwa kanisa?...........
 
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.


Unaangaliaga matokeo ya mitihani yakitioka? Ni vyema ukaangalia record za matokeo ya hizo shule kabla ya kuja hapa na hiyo mada yao. Inaonekana mtazamo wako bado ni wa kuangalia idadi ya shule na siyo out put na outcome. Purely African political statement coupled with poverty policy of Africa. Pili go a little more deeper to understand what monopoly is all about.
 
Tatizo mmezidi kuwa provocative halafu watu wakisema ukweli mnaanza kudai mmetukanwa.

Anyway back to the topic, mtu yeyote anayeita elimu ya shule za kata elimu, either hajui elimu ni nini au na yeye hana elimu. Hivi shule yenye walimu wawili inatoa elimu ya aina gani? Na unaposema uwiano vyuo vikuu umepungua, labda utuambie hao wanavyuo unaowa-refer wanapitia shule zipi kufika elimu za juu, kwa sababu asilimia kubwa ya wanafunzi shule za kata matokeo yao ya form 4 hayawaruhusu kwenda hata A-level.
 
Umejificha kwenye chaka la ccm sasa unaanza kuonyesha rangi zako......
Kitakachofuata ni BAN.

Tunakujua wewe ni mtu mwenye hasira na dini isiyokuwa ya Kikwete.
Utajisahau tu muda si mrefu, na utarudishwa lupango na id kuwa merged!!!
Be careful! Acha tabia za mtaa wa gerezani
 
Naona hujui kuwa Forodhani ilikuwa St. Joseph kabla ya kuwa Forodhani.

Kwa kumbukumbu nilizonazo ni kuwa, Mazengo Secondary hapo zamani ikiitwa Alliance Secondary imerudishwa kwa kanisa la Anglican imekuwa St John University. Tuache ushabiki na tuongee ukweli, kwa mfano tulinganishe vilivyokuwa Chuo cha Tanesco Msamvu - Morogoro na iliyokuwa Amon Nsekela NBC College Iringa, zote zilichukuliwa na taasisi za dini katika almost wakati mmoja na kuwa vyuo vikuu, nashauri uvitembelee leo na utafakari maendeleo, kimoja kimedoraaaaaaa na kimoja kimepaaaaaa, kajioneee mwenyewe usingoje kuambiwa, mambo ni mwendo mdundo, kila mmoja mwelekeo wake!!!
 
Nimepitia kwenye post zote na nimeona MtamaMchungu analogic sana na yaelekea wote waliotoa hawana uelewa sana na hii system ya elim ya tz. Kwanza kabisa nia ya kujenga shule za kata kwangu mimi haikuwa kuwapa elimu vijana wa kitanzania la hasha bali ilikuwa ni njia mbadala ya family planning ama niseme fighting VS early marriages. Waliotoa sera za MMEM &MMES walikuwa na lengo moja tu kwamba kama kijana atakaa elim ya msing for 7 yrs bila hata kuwa na mwalim itampunguzia muda wa kufanya uovu kuliko kutokwenda darasan kabisa pia kijana huyu akienda sekondar kwa miaka 4 ukiassume kuwa alimaliza std 7 akiwa na miaka 14 au 15 basi ukimuwekea mingine 4 atakuwa amepevuka zaid na umempunguzia muda wa kuzaaa akiwa mtoto. Lengo la mbinu hii limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa idadi ya wanafunzi wanaokwenda shule ni wengi sana.

Coming back kwenye ubora wa elimu hapa zoez hili limeshindwa kufanikiwa kabisa kwani hao wanaokwenda kwenye kata wanatoka kwa kiwango kikubwa cha kufeli. sasa hivi tunaona miongoni mwao wahitimu wa seondari wanafaulu kwa kiwango cha daraja la 3 na la 4 kuliko la 1&2.
Ribosome labda nikuulize wewe ulisoma miaka ile ya 80-99? ulionaje ufaulu wa wanafunzi wa shule za makanisa? Natumaini utasema ulikuwa mkubwa sana na hii ni kweli kabisa. ukiangalia tena kwa makini zaid utagundua kuwa matokeo ya kidato cha nne ni shule za makanisa tu zilizofanya vizuri sana za serikali zile kongwe zilifuatia na za kata ndizo zilizokuwa na mass failiers.

Hata matokeo unayosikia Ndalichako akisema ufaulu umeongezeka huwa wanachukulia tu wale ambao kwa kufaulu kwao wanaweza kupata vyeti vya kitaaluma na si kuangalia wamefaulu kwa madaraja gani ya kielim. Ingependeza kama kweli baraza lingekuwa linatuambia ufaulu katika daraja la i ni asilimia ngapi and so on hapo ungeona umuhimu wa kusifia au kutosifia.
Makanisa yamefanikiwa sana kwenye sera ya elimu kuliko serikali jambo ambalo lazima ifike mahali serikali ione aibu. na tean ishukuru zaid ELCT na RC kwa mika le ya zamani walitaifisha shule zao kama pugu, weruweru, ashira girls, machame girls, minaki etc na sasa shule hizi makanisa wanazitaka sijui itakuwaje. manake weruweru wanairudisha kuwa ASSUMPTA COLLEGE upo hapo?

Hizi shule za kata ni hasara sana kwa taifa hili manake hazina tija yyte zaid ya kudelay early marriages basi.
 
Last edited by a moderator:
...Nani weye!? Malaria Sugu!? Mtu mzima hovyooooo!!!!! Udini utakuua!!!!
 
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.

Ha ha ha Go directly to jail, do not pass go, do not collect $ 200! Oh mama.
 
msimshambulie sana risibone,jitahidini kumwelewa hili ni tunda la ustaadh kapungu na ni lazima asimamie hapo kwani waswahili wana msemo unaosema mkono huna pale unapofikia.

kama mnataka kumfahamu kapungu ingia google click mfumo kristo mtajua ninini nazungumzia.
 
kwaio kikwete yupo kwa ajili ya kupambana na KANISA TAKATIFU? Basi kama ni ivyo mwambie asijaribu, nadhani ata wewe unajua hakuna aliyewahi pambana na KANISA TAKATIFU akasalimika...

Kabla hujaenda mbali sana jiulize hizo shule wanaofaulu kwa kiwango kizuri ni akina nani waislam au Wakristo??

Duhu, kweli hata kwetu kule tulipolazimishwa tukasome shule za kanisa , sasa tuna shule yetu. kanisa limechukia sana sisi kuwa na Shule ya kata. jk kaza buti
 
Umejificha kwenye chaka la ccm sasa unaanza kuonyesha rangi zako......
Kitakachofuata ni BAN.

Tunakujua wewe ni mtu mwenye hasira na dini isiyokuwa ya Kikwete.
Utajisahau tu muda si mrefu, na utarudishwa lupango na id kuwa merged!!!
Be careful! Acha tabia za mtaa wa gerezani

Hivi mtaa wa gerezani upo wapi?
 
Wengi tunapotea hasa mwanzisha mada. Hajui kabisa maana ya shule. Kilichijengwa ni majengo, na si shule. Kutoka katika shule tunapata wahitimu waliofuzu na kuelimika, je ndivyo ilivyo? Katika kujaribu kufunika kombe, wanajitahidi kuhalalisha kuwa div. IV ni kufaulu, si kweli hata kidogo.
 
h84rs2qZPxzWgAAAABJRU5ErkJggg==
 
Minaki ilikuwa shule ya kanisa enzi za ukoloni. Baada ya uhuru, kwa kutekeleza sera za Nyerere za kutoa fursa kwa wote ktk elimu shule za kanisa ambazo hazikuwa seminari kama Minaki zilitaifishwa.
Ribosome, read a book!
 
Hivi yule mnenguaji wa kanda bongoman akiitwa nani?
Je yupo hai, alinengua vizuri kwenye wimbo belie.
 
Back
Top Bottom