Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Yote tisa ila kinachonifurahisha kwa makanisa ni kuwa sio wabaguzi,nakumbuka mdogo wangu akisoma kagera kule hekima sec,yani hata waislam waliruhusiwa hali mradi utimize masharti ya kujiunga,ila kanisani ni lazma na sala zote,huwezi amini mabinti wa kiislam walivaa mpaka rozali ili mladi wapate elimu bora,pia loyola high school wote wameruhusiwa ila kila ijumaa kila mtu anaenda kwenye ibada ya dini yake isipokuwa siku maalum ambapo wote lazma waingie ktk misa takatifu na wote wakristo kwa waislam wanaingia,...tusikimbilie kulaumu,ukipenda boga usichukie mti wake!