ukibishana na usiyejua utamaliza maneno na kuchosha ubongo, au labda ametumwa ili aweze pata mwelekeo kwa kutaka kuleta hoja ya ka-udini dini. nawachukia mno watu wenye hoja za namna hiyo, kwa kuwa kwa hakika ndio sumu yetu hawa. msimalize nguvu kumweleza maana baada ya hapo anaweza kuja na hoja mbovu zaidi. kalaga baho na ubozi wako