He is back in da house once again. najua tumbo zenu tiar zilishaanza kupata mchecheto maana jamaa atakua anapigilia misumari ile mbaya.
Unaongea nini hapo. ?
He is back in da house once again. najua tumbo zenu tiar zilishaanza kupata mchecheto maana jamaa atakua anapigilia misumari ile mbaya.
Unaongea nini hapo. ?
wewe uliongea nn pale?
Lowersa ataishia kuwa kama nani??
Usidhihirishe ufupi wa fikra zako... Huyo mwanaume kawagongeni mbele na nyuma.
Mbaya sana mmeungana mkawa wa4 bado akawapiga vitu vya Nyosso. Dogo kichwa
Acha mahaba kwani huko Tanga kuna wabunge wangapi wa upinzani mpaka uitaje hapo, mbeya kwenyewe mmeishia viti 3 tu. Tuambia arusha na klm tutakuelewa
Kigoma ni ngome ya upinzani toka kuanza kwa siasa za vyama vingi. Katika bunge lililopita tumeshuhudia mchango mkubwa wa wabunge kutoka mkoa wa kigoma ikiwemo akina Kafulila. Machali, Zitto, Mkosamali, Buyogela na hata Serukamba. Historia ya vyama vingi inaonyesha kwamba mchango wa wabunge wa chama tawala bungeni ni hafifu kulinganisha na vyama vya upinzani.
Kigoma ilipata heshima kubwa kutokana na wabunge wenu hawa. Sasa hatutegemei kusikia tena jambo la maana kutoka kwenu maana sasa imebaki kuunga mkono hoja kwa kura za ndiyooooooooooooooo!
Sasa turudi nyuma. Wakati watu Lindi, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Arusha wanaamua kuachana na Lipumba, Dr. Slaa na Zitto kwa kuamini kuwa hawa hawana jipya bali kugawa kura za wapinzani mliwaona wapuuzi kwa kuamini katika Zitto TU? Kwamba, Bora Zitto mmoja kuliko wabunge wakutosha wakutetea hoja za wananchi na kuchagua wanaolinda hoja za serikali? CUF walikuwa na kiti kimoja toka Bara sasa wana elekea 20, sasa nyinyi mlikuwa na 5 mmerudi 1, kisa Zitto? Huyo ndiye Mchawi wenu. ACT ni shiiiiida!

Zitto will get stronger than any head from uchagani...
2020 mtakutana nae uraisini...
TOOOOOOOOOOKaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Kafulila kafia mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
zito ataishia kuwa kama kina Cheyo, Shibuda, mrema..... wapinzani uchwara walio tumiwa na ccm na baadae kuwa damped....tuombe uzima tu.....
Mnachekesha xana, baada ya kutusuliwa na MACCM ndo leo mnagundua kuwa Kigoma ni ngome ya upinzani, eti, kabulu alihangaika sana kwa ajiri ya upinzani mlipoona amewafikisha mnapotaka mkamnyanganya chama chenu, Zitto kahangaika nacho, baada ya kuwafikisha mnapotaka mkaamua kumuuondoa kwenye chama chenu, hiyo ni massage mkuu, kwamba wao hawashikwi masikio na wanaweza kuamua watakavyo, 2010 CDM mlipata kura nyingi za urais zaidi kigoma kuliko sehemu nyingine yeyote iiwemo uchagani, badala ya kuwapa heshia yao mkaanza kumudhalilisha Zitto, mkawaita wasaliti, eti mlitegemea tena wawape kura zao, nyie vipi.
Acha uongo. Nsanzugwanko ni mchapa kazi wapi, hole mchapa kazi wapi. Zito alitumwa na ccm kuharibu upinzani na kurudisha majimbo yote ccm. Hebu fikiria mbunge wa upinzani unajadiliana na mbunge wa ccm kubadilishana majimbo.Inaingia akilini kweli. Kigoma hawajitambuiHujamaa haijui Kgm,Huku watu hawachagui chama,wanachagua mchapakazi,mwenye nguvu ya utetezi ktk masuala yanayohusu jamii.Tena tofauti ya kura kati ya mshindi na Machali ni ndogo sana.Tatizo si ACT isipokuwa kujipanga kwa CCM ndiyo sababu ya ushindi wao,hata kam wote wangekuwa CDM bado wangekatwa tu.