Kifo cha CCM kimetimia

Sio kila kichwa kinahifadhi akili!

Hapo ndo utalinganisha akili yako na ya kwangu then, utaamua nani ana akili ya jongoo, na kama unaishi maeneo ya watu walilala kwa maana ya hawaelewi kinachoendelea huwezi ukahamini hayo niliyoandika
 
Katika kudhihirisha kuimarika kwa uchumi wa inchi yoyote ile duniani,mchezo wa kupokezana vijiti humfanya mkimbiaji kuwa na nguvu bila hata kuchoka na mwenye mori,wenzetu kenya leo wanaonja matunda ya kuiondoa KANU madarakani,na ni ukweli pia mambo ya kutoana kucha,meno,macho pia yalifanywa na viongozi huko kenya,hili lilipelekea serikali kujikita na kuelekeza nguvu nyingi yaani pesa na fikra ktk ujinga,sasa nasi twashuhudia leo TZ yalofanyika kenya leo yapo hapa,Nawasihi wa-TZ tusifanye makosa 2015.
 
Najua kwa uchaguzi wa haki CCM haiwezi shinda. Je uchaguzi wa haki unawezekana Tanzania?

hapo umenena 100% CCM imegeuka genge la wahuni wameamua kuhujumu mchakato wa katiba ya nchi iwe kama wanavyotaka wao, eti ndo kinga ya kuwasaidia , thubutu ! kipindi hiki lazima waone sura ya pili ya watanzania, walizoea watanzania ni wapole, wavumilivu, sasa uvumilivu umefika mwisho
 
mkuu, u can kill people but not ideologies, Ideology za CCM ni bora karne nyingi zijazo, vizazi vitapita CCM bado itakuwepo, utaondoka wewe wanao pia watakijua chama hiki hiki, CCM haiwezi kufa..
 
ccm kufa!? we unaota au.....?

ndugu yangu hata kama mimi siyo mwana ccm lkn dalili zinaonesha kuwa chama hiki bado kina uhai sana.....
 
Najua kwa uchaguzi wa haki CCM haiwezi shinda. Je uchaguzi wa haki unawezekana Tanzania?

Incredibly nonsense! Kwa hio hata CCM ikishinda kihalali wameiba? Uhalali ni kushinda CDM tu?basi mtashindwa tu.....
 
mkuu, u can kill people but not ideologies, Ideology za CCM ni bora karne nyingi zijazo, vizazi vitapita CCM bado itakuwepo, utaondoka wewe wanao pia watakijua chama hiki hiki, CCM haiwezi kufa..

Stroke you are GENIUS! Chama dume km jogoo kamwe halifi kwa utitiri!
 
Kuna kila dalili za CCM Kupoteza nafasi nyingi za uwakilishi bungeni kwa 65% hadi 70% ,kwa upande wa urais 75% na Madiwani watapoteza Zaidi ya 60% hii ni ndani ya uchaguzi mkuu 2015 na 2020 CCM itakuwa imesambaratika kabsa katika duru za siasa za Tanzania.Huu ndo ukweli kabsa kwa mujibu wa upepo wa kisiasa unavoonesha kwa sasa pamoja na kuendelea kukiandama chama kikuu cha upinzani Tanzania kwa kukipaka matope mara eti chama cha kidini,kikanda,kikabila na kigaidi ukweli uko wazi kabsa.CCM ndo chama kinachoendekeza siasa chafu hizi za udini na ukabila kama njama moja wapo ya kuwagawa waTanzania kwaminajili ya ukabila na dini zao ili waendelee kuwatawala lakini wameshindwa,kila mbinu wanayotumia inashindikana,Maisha duni kwa Watanzania yanaashiria CCM imeshindwa kuwaletea wananchi Maisha bora walio ahidi 2005 katika Ilani yao ya uchaguzi.Ukandamizaji dhidi ya upinzani unaofanywa na serikari ni dhahiri wameshindwa kabsa kutawala tena,Ufisadi na migomo ya wafanyakazi,wakulima,na wanafunz vyuo vikuu ni kushindwa.
 
MWIGULU NCHEMBA1.JPG
Siku zimepita miezi na miaka na tumeona joto la upinzani nchini likiwakosesha usingizi mkubwa sana wanaccm wanaojifunza siasa wakidhani siasa zinajengwa kwa pesa.
Huyu kamanda sasa ndiyo hata Katibu mkuu hana la kuongea maana anatamani angekuwa mpaka hakimu yeye kuamua ni nani awekwe magereza ikiwezekana kwa pesa ili mradi apate usingizi.
Nyerere aliposema miaka ile vyama vinaanza alisema,Nanukuu( Japo vibovu lakini vipo x2)
Tanzania ya sasa si tanzania ya kumlazimisha mtu akae na mfumo fulani wa siasa hata kama mnatumia pesa nyingi kupandikiza dhambi na maasi na ugaidi juu ya chama cha Chadema.
Hasira na maumivu yanayowapata sasa kwa kupingwa nchi nzima na watanzania mjue ni tiba tosha ya maradhi sugu ya umaskini mliopandikiza kwenye vichwa vya watanzania.
Taifa limesikia maneno yako na ushahidi wote juu ya taarifa za ugaidi kwa tanzania na mkijua nini maana ya ugaidi.
Hili haliishi kama la Mangosi na wengine, bado vichwa vina records na anguko la chama ni haya mnayolazimisha kwenye vichwa vya watanzania ili hali tukijua lipi ndilo la ukweli na la uwongo kwa sasa.
Tumekusikia na Tutafuatilia hii sinema Part 3.....Part one kukamatwa Lwakatare, Part two Bungeni na ushahidi wako.. Part 3 Ushahidi wako na maamuzi ya mahakama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom