Kifo cha CCM kimetimia

Sasa ni wazi kabisa kua CCM haipo tena kwenye masikio ya Watanzania!limebaki jina la Magufuli ambalo halina mvuto na haliuziki tena ndio maana wanawatumia mpaka wasaliti wa UKAWA kumuuza ila imekua tatizo! Kila kona ya nchi hivi sasa CCM ni taabani.

Imefikia mahali imekua Shida kwa wanaccm kujitambulisha mbele ya halaiki hata vijiweni, jina CCM sasa halinyweki kabisa midomoni mwa wananchi.kinaonekana kama chama mfu kilichopoteza matumaini ya Watanzania!
Neno tamu kwa sasa ni LOWASSA na MABADILIKO.

Hiyo tathimini umeifanyia wapi?
 
Kwanini msiseme chadema ndio mabadiliko badala yake eti lowasa ndio mabadiliko, kwahiyo lowasa ndiye maarufu kuliko chama kwa msingi huo hamna chama tena na hilo ndio kosa mtalojutia baada ya 25 October

Chagua Magufuli mara Serikali ya Magufuli itakua ya viwandaa.. siyo Chagua CCM tena anajua ukiwatajia watu CCM wanaondoka kwenye Mikutano.. ha ha ha haaa... Mwenyekiti kaua chama chetu CCM.
 
wewe usiyefuatilia ccm ndo unasema ccm imekufa ila kwa wale wanaokifuatilia hakijafa labda tu kwa kuwa umeegemea kwa lowasa ndo mana unasema kimekufa.....subiri tar 25 ndo upate jibu kuwa ccm imekufa ikiwa lowasa atakuwa raisi wa tz lakini sio kwa sasa ambapo kila mmoja anawika kwa staili yake.
 
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.

Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.

Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!

NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!

-------------------------------
Ongeza na mgogoro wa sukari ( wala si uhaba wa sukari ) .
 
Huo mgogoro ni mafisadi baada ya kunyongwa wanapiga mateke ya mwisho mwisho angalau wafe kiume....

Tupo imara...tumeziba mianya yote, heshima ya kazi imerudi kwakua hakuna vya bure tena...kila mtu atajikuta anaingia kufanya kazi ili kujikimu....bado tunasonga mbele...HAPA KAZI TU!
 
Mwisho wa mafisadi ni kurejesha Azimio la Arusha na kufufua Regional Trading Company (RTC).
 
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.

Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.

Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!

NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!

-------------------------------
Huyu mtu yupo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom