Kifo cha CCM kimetimia

na wewe ni mmoja kati ya waliopevuka?
kila mwenye uwezo wa kuandika na kusoma, ni mtu mwenye uelewa wa jambo fulani muhihu katika jamii husika, hivyo basi,kwa uelewa wa kuona mambo makubwa kama haya, huyo ni mtu aliye pevuka, je! Wewe ni mmoja kati yao?
 
Wadau kama historia inavyoonyesha, chama huzaliwa,hukua, huzeeka na mwishowe hutoweka. Ndivyo dalili zinaonyesha kuwa chama cha mapinduzi kipo kwenye nyakati za anguko. Kwanza ni fedha za watanzania kuilipa dowans kutoka kwenye bajeti za wizara. Pili ahadi zisizotekelezeka etc. Tujiandae kwa ukombozi mpya.
 
CCM kitakuwa chama cha Upinzani kama kutakuwepo na makubaliano ya kubadilishana majina na chadema yaani Ccm iitwe chadema na chadema iitwe ccm hapo ccm kitakuwa chama cha upinzani chini ya kamanda Mbowe na Chadema chini ya Jakaya Kikwete kitakuwa chama tawala!
 
wap nan kasema? Uktaka ukomboz kubar kumwaga dam je mko tayar? Make hao mafsad hawawez kuachia madaraka coz wanajua wakiachia tu icc inawasubl
 
Masaburi views
CCM kitakuwa chama cha Upinzani kama kutakuwepo na makubaliano ya kubadilishana majina na chadema yaani Ccm iitwe chadema na chadema iitwe ccm hapo ccm kitakuwa chama cha upinzani chini ya kamanda Mbowe na Chadema chini ya Jakaya Kikwete kitakuwa chama tawala!
 
Kwa hali kisiasa ilivyo hapa bongo,ni rahisi sana Raila sana kuwa rais wa kenya kwa hali ilivyo sasa kwao kuliko ccm kung'olewa 2015,kwasababu pesa itakayotembea muda huo ukifika,ghiliba,vitisho,hila umwagaji damu utakaotokea,wabongo tutatia adabu,hawa jamaa wamepanga kutoondoka magogoni kwa namna iwayo yoyote ile.Lakini hii isiwe sababu ya kuacha kuelimisha watanzania,na kuhamasishana.
 
Huyo nae ni dalili kuwa atakuwa janga kama JK, kaunafiki kapo sana tu, style ni ile ile tu kama ya JK. Kupendwa sana, kushabikiwa sana lkn nakwambia hilo pia litakuwa janga la kitaifa just like this or more than this.
 
hilo halina ubishi na ccm inazikwa 2015,rejea kanu ya kenya iliposhindwa wahuni wale waliofanana na ccm ya leo walikiacha na kikabaki ktk history tu,naelewa ccm itakwisha kabisa.
 
kwa upinzan kuchukua madaraka ni sawa.sio leo wa kesho,maana sion chama chenye weled wa kuongoza nchi kwa sasa zaid CCM
 
Naomba matumizi ya hiki kifungu cha maneno kibadilishwe...sote tunajua kuwa serikali hii iliwekwa mamlakani kwa ajili ya watanzania na sio Ccm..kwahivyo hii serikali imeshindwa kuwatumikia watanzania na sio chama.....hivyo hii ni serikali ya mafisadi wachache waliopewa mamlaka ama kwa kukusudia au kwa bahati mbaya na kuwasaliti raia
 
Naomba matumizi ya hiki kifungu cha maneno kibadilishwe...sote tunajua kuwa serikali hii iliwekwa mamlakani kwa ajili ya watanzania na sio Ccm..kwahivyo hii serikali imeshindwa kuwatumikia watanzania na sio chama.....hivyo hii ni serikali ya mafisadi wachache waliopewa mamlaka ama kwa kukusudia au kwa bahati mbaya na kuwasaliti raia

Wanatoka chama gani, utwaweza kuitenganisha ccm vipi na hii serikali dhaifu na ya wizi
 
Mumeanza kuikana serikali yenu KIkwete na Kinana na Nape wametuambia ni serikali ya CCM wamewaambia watumishi wote wanawajibika kwa serikali ya CCm,mfanyakazi yeyote atakaeongea habari za CDM atafukuzwa rejea sherehe za CCM Mwanza -Diallo na Matata na Mangula na Nape na Jakaya
 
Na ukionana na watu 100 ukiwauliza kuhusu CCM watakwambia chama cha magaidi, wezi,wahujumu uchumi,matapeli,wanyanyasaji wa haki za binadamu,wafelishaji wanafunzi,mafisadi, wadhalilishaji wa wanawake na kadhalika, waharibifu wa maisha ya watoto wetu kwa maana ya kuwapa elimu yenye mapungufu isiyokidhi matakwa ya utandawazi na kadhalika, wamekuwa wakinyanyasa wanawake kwenye Mahospitali kwa muda mrefu bila kulifikiria hilo, polisi ni wezi na mafisadi na kila kona wana kashfa mpya!
 
Watu wanamlaumu yule Askofu aliyesema kuwa Kikwete ni chaguo la Mungu, ni kweli kabisa na mimi nasupport kuwa Kikwete ni Mungu ili CCM iaibike milele na anguko lake ndo limetimia sasa. Ni chaguo la Mungu ili wale watu waliokuwa wamefumbwa macho wakiendelea kuvalishwa kanga na tshirts na kuhongwa pombe ili CCM iendelee kuwa madarakani sasa wamefumbuliwa macho na wanaichukia CCM na wafuasi wake wote. Bado nasema kuwa Kikwete ni chaguo la Mungu ili uovu wake na familia yake (wafuasi wa CCM) Ujulikane. Kwisha kazi CCM!!!!
 
Chama tawala kimekuwa na wakati mgumu wa kudhoofisha CDM kwa njia za udini, ukabila, ukanda. Mbinu chafu kabisa ni ile ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CDM. Sasa mmekuja na sera mpya, mnaandaa VIDEO then mnafungua mashitaka ya UGAIDI. Ili kujua kuwa CCM mnahusika katika kesi ya Lwakatare, kila shitaka linaishia na kibwagizo "UGAIDI",. Kama mmeshindwa mbinu zenu zote hata mbinu hii itashindwa. Katika mipango yenu mwisho wa siku huwa mnaumbuka wenyewe. Mfano, KIKWETE aliwaambia muache kutumia polisi, na kweli katika mikutano ya CDM mauaji yamekoma. Katika ishu ya Lwakatare mmeumbuka tena baada ya CDM kunasa mawasiliano ya simu kati ya MWIGULU na Ludovick. CCM nataka niwataadharishe kitu kimoja.Mjue kuwa mnafanya mauaji lakini iko siku mtashitakiwa hata kama ni baada ya miaka kadhaa. Msidhani mtatawala milele. Kumbuka tuna evidence zote za mauaji, kuanzia USA RIVER, SINGIDA, MOROGORO na IRINGA.
 
Ni kwa kuwa viongozi wao wanaopanga hizo mbinu ni vilaza.

Kwa mfano mtu aliyepata F ya Civics, F ya Mathematics na F ya English ndio katibu mwenezi wa chama. Unategemea mbinu zao ziwe endelevu kweli. Usimuamshe aliye lala, waache waendelee kuipa maujiko CHADEMA hadi 2015
 
ukishakula nyama ya mtu huwezi acha,na Jakaya nyama za watu zimemkolea,tunashukuru tume ya haki za binadamu inaorodhesha matukio ycte.
Huyu na shemeji yake Mwema na mpiga debe wao Mwigulu washtakiwa hapa hapa,shime come2015 tuwatose wauaji wakubwa hawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom