Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

Tofauti kati ya huyu jamaa na Kibonde ni kwamba, Kibonde hakuacha shule. Alisoma mpaka akamaliza, kisha akapata ZIRO....Bill Gates aliacha chuo na kwenda kuanzisha biashara, HAKUFELI!

Unajuaje kama hakuweka efforts katika masomo? Manake wapo wengine wana uwezo tena mkubwa tu lakini hawakuweka jitihada katika masomo na hivyo kupelekea kupata alama ambazo si za juu lakini hiyo haimaanishi kwamba kichwani ni watupu.

Na sufuri kwenye masomo ya shule si kushindwa maisha. Wangapi wana straight As lakini maisha yamewashinda? Usikute Kibonde ana maisha mazuri tu kukushinda wewe. Kutwa kucha kumnanga tu eti alipata ziro...so what kama alipata ziro? Wewe ulipata divisheni ngapi?

And who said academic excellence is the be-all and end-all of human existence?

Si kweli wana jf wanamchukia kibonde .kibonde yuko bias na ccm na watawala .Big up mzee wa anti virus

Matunda ya Tido yanaanza kuonekana, kibonde keshaona Clouds nyota yake inafifia ni vizuri aanze mapema.

nadhani vitabu kama vya robert kiyosaki vinaweza kumsaidia kupata mawazo mbadala kuhusu shule... Maana kila mtu anadhani akifaulu shule, basi kafaulu na maisha; lakini wapi bwana...

rich dad, poor dad

Atajklaemwajiri lazima atakuwa ounguani anatamani kusikia vituko vyake tusubiri

Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
Ni vigumu sana kumpata mtu mwenye shughuli zake akawa na info za Kibonde

Unajuaje kama hakuweka efforts katika masomo? Manake wapo wengine wana uwezo tena mkubwa tu lakini hawakuweka jitihada katika masomo na hivyo kupelekea kupata alama ambazo si za juu lakini hiyo haimaanishi kwamba kichwani ni watupu.

Na sufuri kwenye masomo ya shule si kushindwa maisha. Wangapi wana straight As lakini maisha yamewashinda? Usikute Kibonde ana maisha mazuri tu kukushinda wewe. Kutwa kucha kumnanga tu eti alipata ziro...so what kama alipata ziro? Wewe ulipata divisheni ngapi?

And who said academic excellence is the be-all and end-all of human existence?

Hoja yangu ililenga kumsahihisha Faiza Fox pale alipomlinganisha Kibonde na Bill Gates. Bottom-line is Gates hakufeli shule bali aliacha (drop-out), ila Kibonde alimaliza shule na akafeli.

Kama alirudia shule, au la amefanikiwa kwenye maisha kiunja unjanja anajua mwenyewe. Inajulikana kabisa kwamba kufeli shule siyo kufeli maisha.

Ukifail form four ndo umefail maisha kwan?? Acha wivu wa kike!

Hapo kwenye red unaonekana akili zako na maisha yako yalivyo!
Kama wewe si mdhalilishaji wa wanawake basi wewe ni mnyanyasaji......
Jaribu kufikiri kabla ya kuongea!

Hapo kwenye red unaonekana akili zako na maisha yako yalivyo!

Kama wewe si mdhalilishaji wa wanawake basi wewe ni mnyanyasaji......

Jaribu kufikiri kabla ya kuongea!

Asante na ww umeliona hilo.....nilimuuliza wa kiume unafananaje hajajibu, ila bado nasubiri!

Ni vigumu sana kumpata mtu mwenye shughuli zake akawa na info za Kibonde

Heheeee, kwa hiyo woote kwenye hii thread hawana shughuli eeh?

Mi naona Kibonde anatushughulisha sana aisee...vinginevyo tusingeamka kila siku na ma title Kibonde hivi, Kibonde vile...

Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.

Dizaini hii ni ile mijitu inayosoma tu, mpaka kupata PhD lakini ikipata ajira utendaji 0 square! Amka mzee, huoni hao wasomi wanavyomega hii nchi!! Ndo maana bibi flan wa kichaga, alipata kusema "ukiona jitu linasoma tu, ujue halielewi mwanangu, mtoto wa Kimaro ni Std 7 tu lakini sasa ana biashara kubwa tu, majumba na mke mzuri na watoto wazuri, lkn ww mjukuu wangu, ww bado unasoma tu! umemaliza Std 7 bado hukuelewa, ukamaliza Form4, bado hukuelewa tu, ukamaliza Form6, bado hukuelewa tu, ukaenda mlimani, degree1 na ya 2 ukamaliza, bado hukuelewa, na sasa unasomea PhD, inaonekana ww huwelewi kabisa! yesu!! utaenda kuelewa mbinguni mjukuu wangu"

Similar Discussions

Back
Top Bottom