<br />
<br />
Hivi kumjadili Kibonde nayo ni hoja au kiroja?
Wewe vipi?? Umeambiwa anakwenda kufanya kazi ya kutangaza kwa kiswahili kipindi cha michezo. Hii haiitaji kupata division one ndio utangaze michezo. Acha hizo wewe.Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.
<br />wakuu kwenye huu mjadala wa kibonde mi napita tuu.ila nilicho kundua ingawa jamaa ana madui wengi humu JF pia anao wanaompenda.huwezi kuwa adui wa kila mtu.kama huo mchongo ni kweli,2nahitaji kumpongeza.