Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

Kwa watu makini atawapunguzia upotoshaji,kwa watanzania ataongeza milage ya kiswahili na tunategemea atalipwa kutoka nje hivyo kutuongezea pato la kigeni

Heri jamani big up uko hakuna kuchonga habari za bongo kizushi.Kazi njema kama ni kweli.

Hongera zake kibonde, ana kiwango cha kimataifa cha utangazaji pia nafikiri ni MC best kwa Tz kwa sasa.

Ila asipeleke ushabiki wa CCM huko, waarabu watamtimua. Akitulia ana uwezo wa kufikia kiwango cha Riz Khan!

Hongera sana!

ghafla riz khan tena, duh! wa tz tuna ndoto nyingi.

Kwa watu makini atawapunguzia upotoshaji,kwa watanzania ataongeza milage ya kiswahili na tunategemea atalipwa kutoka nje hivyo kutuongezea pato la kigeni

Heri jamani big up uko hakuna kuchonga habari za bongo kizushi.Kazi njema kama ni kweli.

heri mimi sijasema!

Ongera zako kaka Kibonde.
MM nashangaa sana watz ambao kazi yao nikuangalia sijui huyu kafeli form4 au 6, unajua nn kilitokea mpaka akapata hivyo? Unajua wavumbuzi baadhiyao walifeli mitiani yao katika shule nawengine waliacha kabisa darasa na kubadilisha dunia katika sayansi.
Embu tuache upupu huu kwan hata wewe unayekaa kuchunguza sijui huyu jamaa halipata nn unapoteza muda. Embu watz tupambane na kupeana sapoti kijana kufeli shule sio kufeli maisha. ninyi ndo mkoteyari kuwanunulia watoto wenu pepa feki hili wafaulu napia kuwapeleka shule zenye walimu kibao kama academic. Msituzingue pelekeni watoto wote kayumba kama vp ndotuone sasa kama kweli zimo au vp.

Raisi wa brazili unajua historia yake (Luiz Inácio Lula da Silva )? Embu tuache hizo tufnye kazi na tusaidiane kupambana na hali mbaya ya nchi yetu.
Nawasilisha.

Inashangaza sana jukwaa linaloongozaga kumponda Kibonde leo linamfagilia kwa asilimia 100. Eti kufaulu darasini siyo hoja! Sasa mbona waajiri wanaulizia matokeo ya darasini kabla ya kuajiri? Kama siku hizi wamebadilika basi ni habari nzuri! Al Jazeera wasihangaike kutafuta wafanyakazi, waje huku kijijini kwetu kuna vijana wengi huwa wana MC sherehe za jando, nadhani watafaa zana.

Inashangaza sana jukwaa linaloongozaga kumponda Kibonde leo linamfagilia kwa asilimia 100. Eti kufaulu darasini siyo hoja! Sasa mbona waajiri wanaulizia matokeo ya darasini kabla ya kuajiri? Kama siku hizi wamebadilika basi ni habari nzuri! Al Jazeera wasihangaike kutafuta wafanyakazi, waje huku kijijini kwetu kuna vijana wengi huwa wana MC sherehe za jando, nadhani watafaa zana.

huyo kibonde hawezi,labda apewe kwa vigezo vingne na sio vipindi vya mpira..hana utalamu wa kutosha kuchambua Soka,bora hata SHAFII DAUDA au MAESTRO..
Kushika mic na ku MC,sio kigezo cha kujua kutangaza.

huyo kibonde hawezi,labda apewe kwa vigezo vingne na sio vipindi vya mpira..hana utalamu wa kutosha kuchambua Soka,bora hata SHAFII DAUDA au MAESTRO..
Kushika mic na ku MC,sio kigezo cha kujua kutangaza.

Media industry kwa Tanzania ni matatizo matupu. Angalia watangazaji wengine wa radio nyingi uchwara hasa hizi FM stations ni mafailure, au wengine ni miss kitongoji au MCs, wengi hawajui media ni nini.

Kuna watu hawakusoma lakini kweli wanafanya mambo ya ukweli sana ila si kibonde,kwa lipi?ama kwa kubwajabwaja kwake upupu?hata Socrates hakuwa na elimu ila aliumbwa capable.,watu wa hivi ni wachache na si kila mtu anakuwa eti kisa hakwenda shule hivyo anaweza kudeliver majestically.No!

Tunasema hivi kwa maana tunajaribu kufanya ulinganifu na wengine katika tasnia hiyo bado Kibonde hana uwezo hata kwa kulinganisha na akina Edo,Shafy,n.k ...aende lakini ukweli ndo huo he needs to pull up more his socks kijana

Kama kalamba dume sharti tumpongeze kwani vyeti havifanyi kazi sisi wabongo ndio maana hua tunashindwa kuendelea issue ni kudeliver basi kama mtu kazi anaweza anapewa sio vyeti ndio vinaweza kuja baadae lakini hapa issue ni uzoefu na kuweza kudeliver basi. kaka nenda kapige kazi unaweza kuingia kwenye record ya 100 most influential people of Africa.

Mzee Senior Member wa wapi wewe? mbona unaongea upuuzi hivyo,elimu yako ni chini ya darasa la saba nini?mtu akifeli Form Four Mzizima ndo hawezi kila kitu,au hujui kwamba kuna ku reseat mtihanii na then ukafaulu vizuri ukaendelea mpaka chuo kikuu au vyuo vingine zaidi ya hapo,au unachuki binafsi na Kibonde?,Mtanzania mwenzako anapopata bingo ni vizuri ukafurahi pamoja naye na si kuonyesha chuki isiyokuwa na msingi,...Hongera sana Kibonde.

Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
Du sasa Jahazi si ndio litazama,hii inanikumbisha wimbo wa Sikinde,nahodha kakiacha chombo,je kuna mabaharia jasiri wa kuifikisha meli bandarini,hakika pamoja na yote tuta mmiss gwa kukaja Kibonde,lakini ndio maisha kila mtu anaangalia jinsi ya kuweka ugali mezani.Kibonde ni mmoja wa watangazaji vijana walio mahiri ambao ni fearless,kila la kheri gwamyitu

Binafsi simfagilii sana huyu bingwa lakini kwa hili tuko pamoja,naondoa itikadi zangu nakuziweka pembeni.Namuombea iwe kweli akachukue ulaji huo hapo Nairobi,kwa kuanzia wabongo 2 (Tido na kibonde) na mkaendeleza competency zenu basi itakuwa ni changamoto kwa watangazaji wengine na vyombo vya habari hapa nchini na tsnia ya habari kwa ujumla,pili mtaendeleza wimbi la uwepo wa watanzania ktk media kubwa duniani, tatu mtaendelea kuthibitisha umiliki wa lugha ya kiswahili na mwisho inainua uchumi wake binafsi na wanaomzunguka moja kwa moja na kwa we indirectly.Jini likujualo halikuli likakwisha,nenda kijana kabla ma mamfia wa kikuyu hawachakachua ajira.

Wakuu

Hizi tetesi SI ZA KWELI

Hawa jamaa walitangaza kazi na mpaka sasa wanapokea maombi, then watafanya usahili. sasa hii ya kibonde imetoka wapi? sidhani kama hata anataarifa kwamba hawa jamaa wanampango wa kufungua idhaa ya kiswahili. Yeye kazi aliyonayo ndio his dream JOB wala hana mapngo wa kuondoka kwani muajiri wake anaajiri bila kuangalia vigezo vya elimu. wewe kama unasauti nzuri na unajua kuponda na kama ni mtaalamu wa kujikomba kazi umepata

hata Tido sio kweli hajachukuliwa na hawa jamaa

Wakuu

Hizi tetesi SI ZA KWELI

Kwa maana ingine wewe unaujua ukweli, sio?

Hawa jamaa walitangaza kazi na mpaka sasa wanapokea maombi, then watafanya usahili. sasa hii ya kibonde imetoka wapi? sidhani kama hata anataarifa kwamba hawa jamaa wanampango wa kufungua idhaa ya kiswahili.

Unajikanganya sasa. Mara unasema si kweli halafu unakuja unasema hudhani. Hujui uliongelealo!

Yeye kazi aliyonayo ndio his dream JOB wala hana mapngo wa kuondoka kwani muajiri wake anaajiri bila kuangalia vigezo vya elimu. wewe kama unasauti nzuri na unajua kuponda na kama ni mtaalamu wa kujikomba kazi umepata

Hizi ni chuki binafsi. If I ask you what is the basis behind your dislike of him I doubt you'd come up with anything objective and substantive. You are a hater and keep on hating. I'm certain brother Kibonde doesn't lose sleep over haters like you.

hata Tido sio kweli hajachukuliwa na hawa jamaa

Umejuaje? Kakuambia hivyo?

This is a college dropout:

William Henry "Bill" Gates III (born October 28, 1955)[SUP][3][/SUP] is an American business magnate, philanthropist, author and chairman of Microsoft, the software company he founded with Paul Allen. He is consistently ranked among the world's wealthiest people[SUP][4][/SUP] and was the wealthiest overall from 1995 to 2009, excluding 2008, when he was ranked third.[SUP][5][/SUP] During his career at Microsoft, Gates held the positions of CEO and chief software architect, and remains the largest individual shareholder, with more than 8 percent of the common stock.[SUP][6][/SUP] He has also authored or co-authored several books.

Tofauti kati ya huyu jamaa na Kibonde ni kwamba, Kibonde hakuacha shule. Alisoma mpaka akamaliza, kisha akapata ZIRO....Bill Gates aliacha chuo na kwenda kuanzisha biashara, HAKUFELI!

Similar Discussions

Back
Top Bottom