Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
wajanja walishamsanukia mbona!!!kama si yeye kibonde basi mkewe manake hajajulikana huyo nyani ni jinsia gani kama si kibonde basi atakuwa mrs kibonde!Huyo Nyani Ngabu ndiyo Kibonde mwenyewe
wajanja walishamsanukia mbona!!!kama si yeye kibonde basi mkewe manake hajajulikana huyo nyani ni jinsia gani kama si kibonde basi atakuwa mrs kibonde!Huyo Nyani Ngabu ndiyo Kibonde mwenyewe
wajanja walishamsanukia mbona!!!kama si yeye kibonde basi mkewe manake hajajulikana huyo nyani ni jinsia gani kama si kibonde basi atakuwa mrs kibonde!
Mimi nilifeli form four lakini mpaka sasa maisha yangu ni mazuri kuliko hawa waliopasi form four wakaenda A level na kupasi form six na kwenda UDSM.
Na kama kuna anayebisha niko tayari kupimana naye ubavu wa wallet.
Mimi niko tayari tupimane kwa uzito..... Mimi nilifeli STD 7 na bado nina afya njema tu lol!
Teh teh teh JF raha sana.....
Kwa hiyo nimekuzidi kisomo? Teh teh teh....
Std.7 failure na form 4 failure...mweh! Ama kweli JF burudani
Mimi nauliza tu wandugu, hivi Star tv siku hizi inaitwa Al Jazeera?
Chance for my detractors to take cheap shots. I remain ufazed.
u better not disconcerted!
Kweli Love it can not be hidden.Kaka Avatar yako tu, mi niko hoi!!!!!!
Billy Gate is a college dropout, na sio failure. Yeye alikuwa na akili zake pale Havard ila akaamua kuacha mwenyewe ili kufukuzia upepo wa kiuchumi kwa wakati huo, hiyo ndiyo maana yake. Failure ni kufanya mtihani na ukashindwa.
He received his Bachelor of Science degree in geology from the City College of New York in 1958 and was a self-admitted C average student. He was later able to earn a Master of Business Administration degree from the George Washington University in 1971, after his second tour in Vietnam.
Kwahiyo unataka kutuambia nini Kibonde? Kwamba umehalalisha ukilaza na zero yako ya Mzizima kwa kujifariji na mifano ya kina Collin Powells?
Nitamwaga matokeo yako hapa usije nilaumu lakini.
Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
<br />Tushindane kwa hoja na sio viroja, na ukizidiwa hoja si vibaya kusema naunga mkono hoja. hutopungukiwa na kitu.
<br />
<br />
Hivi kumjadili Kibonde nayo ni hoja au kiroja?