Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

nilijua issue kama hii ya cloudz huwezi kukosa kujitokeza

You betcha! I can't let breathtaking ignorance go by like that.

Toka lini matokeo ya form four ndiyo yakawa kipimo cha akili za mtu? Akili za mtu zinapimwa na mitihani?
 
Hoja yangu ililenga kumsahihisha Faiza Fox pale alipomlinganisha Kibonde na Bill Gates. Bottom-line is Gates hakufeli shule bali aliacha (drop-out), ila Kibonde alimaliza shule na akafeli.

Kama alirudia shule, au la amefanikiwa kwenye maisha kiunja unjanja anajua mwenyewe. Inajulikana kabisa kwamba kufeli shule siyo kufeli maisha.

Alifeli shule....big deal! Hata mimi nilifeli shule vilevile.

Wewe ulipasi?
 
<br />
<br />
ILIKUWA SHULE YA KATA?

Who cares? Hata mimi nilifeli form four but I can go toe to toe with anyone on pretty much anything, anytime, and anywhere. Watu mnapokosa hoja zenye merit ndiyo mnaenda personal. Eti alifeli shule....kwa hiyo? Ukisikia ujinga ndiyo huo sasa.
 
Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
wakuu kwenye huu mjadala wa kibonde mi napita tuu.ila nilicho kundua ingawa jamaa ana madui wengi humu JF pia anao wanaompenda.huwezi kuwa adui wa kila mtu.kama huo mchongo ni kweli,2nahitaji kumpongeza.
 
Ukiona watu wanakujadili jadili sana basi ujue wanakukubali lakini hawawezi tu kukuambia uso kwa uso. Matokeo yake ndiyo wanaanza vi cheap shots vya - ooh alifeli - ooh anatumia arvs - ooh mlevi na utumbo mwingine kama huo.

Kibonde angekuwa a nobody wala asingekuwa gumzo namna hii. It seldom goes a week without him being the topic of duscussion here. The man is doin' it.
 
umeonaeeee,shoboo.lol
 
umeonaeeee,shoboo.lol

Na aendelee tu kutoa vigongo vya kuwatoa nyongo hawa waosha vinywa kwani yuko juu na kama angekuwa chini asingejadiliwa hivi. Mara ya mwisho Scolastica Mazula kuanzishiwa mada humu ilikuwa lini?
 
Na aendelee tu kutoa vigongo vya kuwatoa nyongo hawa waosha vinywa kwani yuko juu na kama angekuwa chini asingejadiliwa hivi. Mara ya mwisho Scolastica Mazula kuanzishiwa mada humu ilikuwa lini?

hivi clouds wakisemwa unaumia kweli au unapenda tu watu wajue kama upo!
 
ulazima ulikuwepo nijue kama unaumia kweli ili watu wapunguze kukuumiza!

Kama kwenye bichwa lako uliona kuna ulazima, basi hamna tabu. Nakushauri tu ujali ya kwako na uache kunifuatafuata. Hii yote ni kwa manufaa ya amani hapa jamvini. Natanguliza shukurani.
 
Kufeli sio kifo jamani,wangapi wamefeli na bado wana life gud kuliko waliofaulu?kila mtu huzaliwa na riziki yake kama ipo ipo tu na kama haipo haipo
 
Kufeli sio kifo jamani,wangapi wamefeli na bado wana life gud kuliko waliofaulu?kila mtu huzaliwa na riziki yake kama ipo ipo tu na kama haipo haipo

Mimi nilifeli form four lakini mpaka sasa maisha yangu ni mazuri kuliko hawa waliopasi form four wakaenda A level na kupasi form six na kwenda UDSM.

Na kama kuna anayebisha niko tayari kupimana naye ubavu wa wallet.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom