"Khatima ya Zanzibar na Mustakbali wa Muungano" - Seif Sharif Hamad

Kazi ipo wapi ??? SI bora ukaanzisha Chama kuliko kudandia sera za wengine ? Nakuhakikishia utapata wafuasi kibao ukiwa na sera hizo za kuvunja Muungano siku hihiyo Chama chako/chenu kitakapoasisiwa.
Karibu Zanzibar watamiliki anga lao ,ingawa Mbowe alishindwa kupeleka helikopta huko,wakitishia kuitungua ikiwa itakaribia.Ni wakati wa Utawala wa CCM hao,ila huu wakati wa CUF wanafuata sheria na mikakati ya uhakika ambayo itawezesha Zanzibar kuwa na mamlaka ya anga na kuruhusika kutulisha ndege wazitakazo.

Bado,bado akili yako wewe siyo nzuri, mtasubiri miaka mingine hamsini, ni mpaka tuwe na uhakika wa akilin zenu, mind you UN wanatambua hilo pamoja na wengine ktk Jumuia ya kimataifa!
 
Mwanaharakati !!!
mwanaharakati gani usiyependa mabadiliko? Hizo harakati za nini? Mimi naweza kusema kama mwanaharakati wa kweli... Na "demand change" katika mfumo mzima wa siasa za Tz. Siasa zilenge katika kuleta maendeleo na sio kuwagawa watu, kuwakandamiza au kuwatawala ,kwa maana ya kuwanyima uhuru wa maoni juu ya mustakbali wa nchi yao.
Mimi ni miongoni katika wale walipata bahati kusoma nje...Nimetoka katika familia ya kawaida na scholarship ilidhaminiwa na IDB ...Na hivi sasa imeengeza idadi ya wanafunzi kutoka nchi za Afrika . Nilisoma Uturuki . Hivi sasa ninaowafahamu ambao wako katika serikali ni Dr, Hussein Mwinyi na Dr, Abdalla Juma ambae ni mbunge wa Rahaleo zanzibar, vile vile ni naibu waziri wa Afrika Mashariki.

Hakuna malalamiko ya kipuuzi katika muungano. Malalamiko ni ya kweli , yanaweza yakaonekana ya kipuuzi kwa kutegemea umetoka upande gani wa muungano. Suala zima la muungano limewekwa siri, na huu ndio UPUUZI mkubwa. Miaka 47 ya kero za muungano huu ni UPUUZI vile vile. Inaoneka wazi kama upande mmoja hauko serious kutafuta ufumbuzi.

Suala la serikali moja hio nakuhakikishia halita tokea. Hao wanaojiita wana CCM zanzibar vile vile hawata likubali. Watu wa zanzibar wanachotaka ni uhuru wa mamlaka ya juu ya nchi yao na hilo wataendelea kulidai mpka kufa ...

Mimi nitamalizia hapa katika mada hii... Kile chambo tumekimaliza sasa tusubiri chambo kingine.

Duh kweli una hasira,no jazba, not a single point, umelipiwa wewe, na whatever you mentioned lkn umeipata Tanganyika, nakukumbusha tena, you,Zenjiz-Unguja/Pemba, there is no existence for you unless you mention Tanganyika, well you shout, what else umefanya, tena upo Bara huku unaandika ujumbe kwa kificho, nenda kwenu basi like the guy said, surely if you're any working hard individual you will pursue your dreams, well if you have them anyway, mnaweza kuta hayo mafuta hakuna anyway, prove otherwise! Soma tena hiyo content aliyokwandikia Nguruvi, halafu chambua taratibu, don't panic, jeshi lilipo Zenj ni letu, Police ni yetu, the so called Serikali ni yetu! What've got man au tukufuatilie hapo ulipo kama unabisha,teh teh iam kidding, but read before blaffing!
 
[

Mimi msimamo wangu uko pale pale. Nadhani tunatofautiana matumizi ya kiswahili na hii inachangia kutokunielewa. Kwa kifupi, mimi nataka tuelekee kwenye serikali tatu au tuvunje muungano....sasa naona hii iko wazi zaidi... Wewe unataka serikali mbili kuelekea moja. Nadhani niko sahihihi hapa?

Hiyo ndoto yako ya kwamba iko siku kutakua na serikali moja, naona ni ndoto ya mchana... kwa maana ni ndoto ya kupuuzwa...

Mkuu, mbona unakiri mwenyewe kwamba Zbar hakuna serikali, hence hapa kuna serkari moja tu? sasa ambacho unakamia na kukana na kupuuza kama ndoto ni kipi, serikali ipo moja tu ndugu, kule ni ya mkoa (some scattered regime)! Understand what comes out of your mind, otherwize unajichanganya mwenyewe kisha unatusingizia kukuchanganya! Read between lines!
 
Mkuu Mkandara , siasa huzielewi na hasa siasa za Zanzibar. CUF na CCM hawajaungana , kila chama bado kina sera zake vile vile. Kura ya maoni ililazimika kuweka utulivu wa kisiasa Zanzibar. Na sasa utulivu upo , kilichobakia ni kujipanga na kutetea maslahi ya zanzibar. Sasa wako kitu kimoja kudai haki za Zanzibar katika muungano.

Sio muda mrefu sana mume na mke atajulikana, watu wanajipanga wanasubiri mchakato wa katiba mpya...

Katiba mpya ipi? ya kwenu si mmepiga kura tayari na inaendelea shwari, hii ya kwetu msiiseme kabisa, tunataka kuchambua namna gani ninyi mrudi kwenu!
 
SOURCE: HABARI LEO 31/7/2011

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameonesha ukomavu na kupanuka kwa demokrasia licha ya kutokuwepo kwa kambi ya upinzani, na kusisitiza kuendelea kutumika kwa mfumo wa Serikali mbili visiwani humo.

Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akiahirisha kikao cha Baraza la Wawakilishi mwishoni mwa wiki kilichokuwa kikijadili na kupitisha Bajeti ya Serikali pamoja na matumizi ya Wizara za SMZ kwa mwaka wa fedha 2011/12.

Alisema demokrasia katika Baraza hilo imepanuka sana na wajumbe wameonesha ukomavu wa kuhoji na kuibana Serikali kwa mambo mbalimbali bila ya kujadili itikadi za vyama vya siasa.

"Mheshimiwa Spika nimefurahishwa na jinsi wajumbe walivyokuwa wakiihoji Serikali katika mambo mbalimbali.....hali hiyo imeonesha ukomavu wa kisiasa kwa wajumbe bila ya kujadili itikadi za vyama vya siasa," alisema Balozi.

Balozi aliwaahidi wajumbe hao pamoja na wananchi kwa ujumla kwamba Serikali itafuatilia mambo yote ya msingi yalihojiwa na katika baraza hilo kwa maslahi ya taifa.

Alisema Serikali ya Awamu ya Saba chini ya Rais Dk. Ali Mohamed Shein, itakuwa makini na haitovumilia kuona uchafu ukifanyika ikiwemo wa uvunjaji wa sheria na taratibu zilizowekwa na nchi.

Katika hilo, aliwataka watendaji wakuu wakiwemo mawaziri kuwa makini kusimamia utekelezaji wa majukumu yao na kamwe wasitoe nafasi kuwepo vitendo vinayorudisha nyuma imani ya wananchi kwa Serikali yao.

Kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Balozi alisema mfumo wa Serikali mbili ndiyo uliokubaliwa hadi sasa na Chama Cha Mapinduzi ambacho sera zake ndiyo zilizotumika kikatiba katika kuongoza nchi na Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

"Hili nataka kulifafanua tena, mfumo wa Serikali mbili ndiyo uliokubalika na wananchi walio wengi ambapo kwa upande wetu sisi tunatekeleza sera ya Chama Cha Mapinduzi katika mfumo wa Serikali ya umoja wa kitaifa," alisema Balozi Idd.

Aidha, alikemea tabia za Wazanzibari kuwatimua wenzao wa Tanzania Bara ikiwemo kuwahamisha na kuwafukuza kwa nguvu kwamba ni sehemu ya vitendo vya kibaguzi ambavyo havikubaliki.

Alisema Mtanzania kwa mujibu wa Katiba, anayo haki ya kuishi sehemu yoyote ya Tanzania kama ilivyo kwa Wazanzibari kuishi sehemu yoyote katika ardhi ya Tanzania Bara bila ya kubughudhiwa.
My take:Nimewahi kusema Wabara wanaoishi Zbar wapo katika hatari na waangalie usalama wao. Nikasisitiza kuwa Wabara hawana sababu za kuwatimua Wzbar kwa shari ikiwa ni pamoja na nguvu au kuchoma moto bali kuwaomba waondoke. Nimewahi kusema tayari wabara wanatimuliwa kwa kasi huko Zbar na kwamba hawana hata nafasi ya umiliki wa ardhi au ajira.

Kila nilipoandika au kusema ilionekana kama kujibu chuki za Wbar, na hata pale nilipoleta ushahidi wa chuki mbaya 'XENOPHOBIA' dhidi ya wabara ilionekana ni mambo ya kwenye forum tu.

Kauli za makamu wa Rais balozi Seif Idd ndani ya Baraza la wawakilishi Zbar ni ushahidi usio na shaka hata kidogo kuwa Wabara au Watanganyika wanaoishi Zbar wanatendewa udhalimu na ukiukwaji wa haki za binadamu pengine kuliko raia mwingine wa ukanda huu wa Afrika mashariki. Wazanzibar wanaosishi Bara wametendewa wema kuliko raia mwingine wa ukanda huu wakifaidi rasilimali za Tanganyika bila ubaguzi wa aina yoyote ile na wala hawajapata tishio la maisha yao kama tunavyoshuhudia yanatokea kwa Watanganyika waishi huko.

Kwa mujibu wa kauli za makamu wa pili wa rais mh Seif Idd ndani ya BLW, kuna umuhimu wa kuwaeleza Wabara waishio huko kwamba hadhari ichukuliwe na wao wenyewe kwa usalama wa maisha yao kwa kile kinachoitwa xenophobia. Hakuna ajue ukubwa wa chuki hiii kama ni mitaani na ndani ya BLW TU au pia inagusa SMZ. Kauli ya makamu wa rais ni ushahidi kuwa ubaguzi umepamba moto tena dhidi ya Watanganyika na si raia wengine.

Kuna umuhimu wa wabara kuwaambia Wzbar kwa sauti na lugha wanayoielewa wao kwa urahisi zaidi ya kuwa tumewasikia!! kama mnavyoipenda nchi yenu tunaipenda yetu pia, na hatudhani kuwa ninyi ni bora kuliko wananchi wengine.

Ni kwanini wzbar wadhani kwamba wao ni Wanadamu bora kuliko wanadamu wengine!!

Alisema Mtanzania kwa mujibu wa Katiba, anayo haki ya kuishi sehemu yoyote ya Tanzania kama ilivyo kwa Wazanzibari kuishi sehemu yoyote katika ardhi ya Tanzania Bara bila ya kubughudhiwa.My take:Nimewahi kusema Wabara wanaoishi Zbar wapo katika hatari na waangalie usalama wao. Nikasisitiza kuwa Wabara hawana sababu za kuwatimua Wzbar kwa shari ikiwa ni pamoja na nguvu au kuchoma moto bali kuwaomba waondoke. Nimewahi kusema tayari wabara wanatimuliwa kwa kasi huko Zbar na kwamba hawana hata nafasi ya umiliki wa ardhi au ajira.

Kila nilipoandika au kusema ilionekana kama kujibu chuki za Wbar, na hata pale nilipoleta ushahidi wa chuki mbaya 'XENOPHOBIA' dhidi ya wabara ilionekana ni mambo ya kwenye forum tu.

Kauli za makamu wa Rais balozi Seif Idd ndani ya Baraza la wawakilishi Zbar ni ushahidi usio na shaka hata kidogo kuwa Wabara au Watanganyika wanaoishi Zbar wanatendewa udhalimu na ukiukwaji wa haki za binadamu pengine kuliko raia mwingine wa ukanda huu wa Afrika mashariki. Wazanzibar wanaosishi Bara wametendewa wema kuliko raia mwingine wa ukanda huu wakifaidi rasilimali za Tanganyika bila ubaguzi wa aina yoyote ile na wala hawajapata tishio la maisha yao kama tunavyoshuhudia yanatokea kwa Watanganyika waishi huko.

Kwa mujibu wa kauli za makamu wa pili wa rais mh Seif Idd ndani ya BLW, kuna umuhimu wa kuwaeleza Wabara waishio huko kwamba hadhari ichukuliwe na wao wenyewe kwa usalama wa maisha yao kwa kile kinachoitwa xenophobia. Hakuna ajue ukubwa wa chuki hiii kama ni mitaani na ndani ya BLW TU au pia inagusa SMZ. Kauli ya makamu wa rais ni ushahidi kuwa ubaguzi umepamba moto tena dhidi ya Watanganyika na si raia wengine.
My take:Nimewahi kusema Wabara wanaoishi Zbar wapo katika hatari na waangalie usalama wao. Nikasisitiza kuwa Wabara hawana sababu za kuwatimua Wzbar kwa shari ikiwa ni pamoja na nguvu au kuchoma moto bali kuwaomba waondoke. Nimewahi kusema tayari wabara wanatimuliwa kwa kasi huko Zbar na kwamba hawana hata nafasi ya umiliki wa ardhi au ajira.

Kila nilipoandika au kusema ilionekana kama kujibu chuki za Wbar, na hata pale nilipoleta ushahidi wa chuki mbaya 'XENOPHOBIA' dhidi ya wabara ilionekana ni mambo ya kwenye forum tu.

Kauli za makamu wa Rais balozi Seif Idd ndani ya Baraza la wawakilishi Zbar ni ushahidi usio na shaka hata kidogo kuwa Wabara au Watanganyika wanaoishi Zbar wanatendewa udhalimu na ukiukwaji wa haki za binadamu pengine kuliko raia mwingine wa ukanda huu wa Afrika mashariki. Wazanzibar wanaosishi Bara wametendewa wema kuliko raia mwingine wa ukanda huu wakifaidi rasilimali za Tanganyika bila ubaguzi wa aina yoyote ile na wala hawajapata tishio la maisha yao kama tunavyoshuhudia yanatokea kwa Watanganyika waishi huko.

Kwa mujibu wa kauli za makamu wa pili wa rais mh Seif Idd ndani ya BLW, kuna umuhimu wa kuwaeleza Wabara waishio huko kwamba hadhari ichukuliwe na wao wenyewe kwa usalama wa maisha yao kwa kile kinachoitwa xenophobia. Hakuna ajue ukubwa wa chuki hiii kama ni mitaani na ndani ya BLW TU au pia inagusa SMZ. Kauli ya makamu wa rais ni ushahidi kuwa ubaguzi umepamba moto tena dhidi ya Watanganyika na si raia wengine.

Kuna umuhimu wa wabara kuwaambia Wzbar kwa sauti na lugha wanayoielewa wao kwa urahisi zaidi ya kuwa tumewasikia!! kama mnavyoipenda nchi yenu tunaipenda yetu pia, na hatudhani kuwa ninyi ni bora kuliko wananchi wengine.

Ni kwanini wzbar wadhani kwamba wao ni Wanadamu bora kuliko wanadamu wengine!!

[
Sasa umewahi kujiuliza kwanini watanganyika wachukiwe? Au anataka kutuambia kama wazanzibari wemeumbwa kuchukia watanganyika? Kama hizo chuki zipo , basi hayo mazingira ya chuki yametengenezwa na hao CCM wenyewe....
 
Katiba mpya ipi? ya kwenu si mmepiga kura tayari na inaendelea shwari, hii ya kwetu msiiseme kabisa, tunataka kuchambua namna gani ninyi mrudi kwenu!

Ha ha ha... sasa yule mzee Sitta alikwenda kutafuta nini Zanzibar ? Kaumbuliwa bure . Mimi nitafurahi siki Tanganyika ikirudishwa.
 
Duh kweli una hasira,no jazba, not a single point, umelipiwa wewe, na whatever you mentioned lkn umeipata Tanganyika, nakukumbusha tena, you,Zenjiz-Unguja/Pemba, there is no existence for you unless you mention Tanganyika, well you shout, what else umefanya, tena upo Bara huku unaandika ujumbe kwa kificho, nenda kwenu basi like the guy said, surely if you're any working hard individual you will pursue your dreams, well if you have them anyway, mnaweza kuta hayo mafuta hakuna anyway, prove otherwise! Soma tena hiyo content aliyokwandikia Nguruvi, halafu chambua taratibu, don't panic, jeshi lilipo Zenj ni letu, Police ni yetu, the so called Serikali ni yetu! What've got man au tukufuatilie hapo ulipo kama unabisha,teh teh iam kidding, but read before blaffing!

weka namba yako simu nitakupigia atajua niko wapi...sina haja ya kujificha.
 
Sasa umewahi kujiuliza kwanini watanganyika wachukiwe? Au anataka kutuambia kama wazanzibari wemeumbwa kuchukia watanganyika? Kama hizo chuki zipo , basi hayo mazingira ya chuki yametengenezwa na hao CCM wenyewe....

Maneno ya chuki si yangu ni ya makamu wa pili wa rais mheshimiwa balozi Seif Idd na hapa namnukuu
'alikemea tabia za Wazanzibari kuwatimua wenzao wa Tanzania Bara ikiwemo kuwahamisha na kuwafukuza kwa nguvu kwamba ni sehemu ya vitendo vya kibaguzi ambavyo havikubaliki'

huyu ni mwana CCM na ilani ya chama chao haionyeshi mahali pa uhasama huenda ipo nasiijui.
Kwahiyo suala la kama wamezaliwa na chuki au wanafundishwa sina uhakika nalo ila nina uhakika na jambo moja nalo ni CUF kuhubiri sera za chuki dhidi ya bara na hata sera zao ukizisoma kwa makini zinaonyesha hivyo.
Waandishi wengi wanaohubiri chuki magazetini na blogs ni wanachama wa CUF, labda tusaidiane inaweza kuwa CUF ndio wanaohimiza kuwachoma moto, kuwatimua na kuwabagua Wabara!! Just discussion tupate mtazamo wako.

Hivi mathalani wabara wakianza kuwahamisha, kuwabagua kuwatimua Wbar maofisini, mashuleni na kwenye biashara zao kama alivyoonyesha Seif kwa yanayotokea kwenu, wewe Takashi utajisikiaje.
Na je unadhani hiyo ndio njia muafaka ya kupata suluhu ya tatizo.
Kwani huu mungano ukivunjika ina maana ndio uadui kabisa. Mbona Uganda na Libya ni marafiki zetu sasa baada ya kuhasimiana siku za nyuma.

Kwanini Wzbar mnaamini katika rabsha na si majadiliano, kipi kigumu kujenga hoja ima ya kujenga au kuboma hadi mkimbilie viberiti na mapanga?
 
Mkuu Mkandara , siasa huzielewi na hasa siasa za Zanzibar. CUF na CCM hawajaungana , kila chama bado kina sera zake vile vile. Kura ya maoni ililazimika kuweka utulivu wa kisiasa Zanzibar. Na sasa utulivu upo, kilichobakia ni kujipanga na kutetea maslahi ya Zanzibar. Sasa wako kitu kimoja kudai haki za Zanzibar katika muungano.

Sio muda mrefu sana mume na mke atajulikana, watu wanajipanga wanasubiri mchakato wa katiba mpya...
Hivi kweli hata wewe unanunuliwa na hadithi hizi..Unajua mimi hudhania Wazanzibar ni wajanja na wametangulia long time ktk mambo mengi. haikuna kitu Wamoja ktk dunia hii ya leo. Na kama Wazanzibar wangeungana basi wangeungana kwa kupitia chama yaani wana sauti moja. Na hakuna mahala ambapo sauti moja inaweza kutokea pasipo kuwa na kichama kimoja.

Unaposema wapo kitu kimoja kudai haki ya Wazanzibar ni akina nani hao? viongozi ambao woopte wamehamia bara na kujenga mahekalu huko leo unategemea kweli hawa watu watajivua Uongozi ambao umewapa viwanja sehemu muhimu za makazi bara!...Haaa mkuu wangu hata kama ninbgekuwa mimi na hasira zangu ningekuacheni mataani maanake haijulikani mnachokitaka..Kibaya zaidi yasijewakuta ya Sudan ambao wameomba nchi yao lakini leo wagumu kurudisha passport za Sudan waliyoikimbia. Sijui wanataka lipi haswa maanake umetaka Uhuru umepewa rudisha passport oooh mna roho mbaya!....
Alaaa! huku haupo huku haupo wataka kumla huku!
 
Ha ha mkandara!natamani ningekufikia nikakupa kikombe cha uji wa pili pili manga jua likishazama. Yaani ni wamoja wakati Waziri Mansour anasema wanataka serikali 3, makamu wa rais anasema 2. CCM wanasera zao na CUF wanazao lakini ni wamoja! kama ulivyosema wangekuwa wamoja kwa chama kimoja.

Ukweli unabaki kuwa Wzbar wakawaida kabisa wanaoendesha maisha yao bara na visiwani hawana tatizo, ukiacha wachache wanaoambiwa serikali 3 na hawawezi kuzitetea kwanini 3, yaani wanaimbishwa na wenzao walioko nje ya nchi. Nikuhakikishia yule mvuvi pale msasani au kigamboni ukimwambia kuhusu kuvunja muungano atakupiga usoni na kasia la ngawala.

Sudan kusini wanaambia ajira sasa basi wanalalamika kuwa wanaonewa. Wameambia uzeni nyumba zenu mpate pesa za kuijenga nchi yenu wanasema ni ukiukwaji wa haki za binadamu.Wanaambia rejeeni nyumbani wanasema tuwe na makubaliano ya kuishi upande wowote.

Ni ngumu sana kuelewa nini Wzbar wanachokihitaji zaidi ya wanachokipata. Ukweli kuwa wanataka serikali 3 ni wazi wanahisi muungano unafaida zake, vinginevyo tungesikia kauli mbiu ya vunja muungano. Wala hawana sababu ya kudai Tanganyika kwasababu haina masilahi kwao,lakini wanaidai ili kujenga uhalali wa mazingira wanayojua yana tija kwao.

Wanasema wanataka mambo 11 yaliyomo katika article of union, fair enough! ukiwauliza kama lipi, jibu ni mafuta si ya muungano. Kama mafuta ni nishati kwanini umeme usiwe katika kundi hilo? Hayo 11 ukiwauliza elimu ya juu ni sehemu yake, jibu ni hapana lakini wanafaidi nafasi za upendeleo na ada juu. Ukiwauliza elimu ya juu iliingiaje katika yale 11 watakwambia ni Nyerere. Ukweli wao ndio waliomba n.k

Kama kuna kumbukumbu za yale 11(yalishawekwa hapa) hebu tuyarejee tena moja baada ya jingine ili tuone manung'uniko ya wenzetu nini hasa! ukiacha yale ya uteuzi wa mkuu wa majeshi, mabalozi, mkuu wa polisi.
Wimbo wa taifa wanao, bendera wanayo, Bank, ZRA na ZAA n.k

Kama ni kuvunja muungano basi zitumike taratibu za kiungwana za majadiliano na mambo yaishe, hii sera ya kuchoma moto, kutumia nguvu na matusi haionyeshi ustaarabu wa kiwango chochote hasa kwa nchi inayojinasibu kuwa kitovu cha ustaarabu(sijui kama wanyamwezi, wahaya, wamakua na wanyakyusa n.k. hawakuwa wastaarabu). Na ustaarabu unajengwaje pasipo utamaduni.

Na mwisho kama Wabara wanaharibu utamaduni wa Zbar ajitokeze mtu atumwambie utamaduni wa Zbar ni upi na unaharibiwa vipi. Vinginevyo hili la utamaduni ni kujenga uhalali wa kuwasha vibiriti. Twambieni utamaduni wa Zbar ni upi.
 
Hapa hapana jipya bado nyimbo ndio zile zile... Tumetoka mbali lakini tumeshaanza kuona mwanga katika shimo la giza...
I just can't wait to see the reborn of Tanganyika...
 
Ha ha ha...sasa uji wa nini , si huwaga mnapeana offer za bia... Tutafika Mkuu, kheri ya Ramadhani iwafikie.
 
Mimi narudia pale pale kutokana na athari za makovu ya ukoloni.

Zanzibar iliachwa na kovu la Ukabila kwa maana kila kisiwa kilikuwa na watu wake kwa kujinasibu hata walipoungana yaani Waunguja na wapemba.

Lakini kwa tanganyika wakoloni walitumia divide and rule sasa kwa kuwa kulikuwa na makabila mengi hapa walitumia UDINI ambao sasa unawaumbua.

Tunashukuru Zanzibar wameliona hilo na sasa wamelirekebisha.

Sasa kwa Upande wa tanganyika wanajifanya halipo wakti linawatafuna. Kazi ipo kwani siku zote mficha donda kifo ,,,,,
 
Maneno ya chuki si yangu ni ya makamu wa pili wa rais mheshimiwa balozi Seif Idd na hapa namnukuu
'alikemea tabia za Wazanzibari kuwatimua wenzao wa Tanzania Bara ikiwemo kuwahamisha na kuwafukuza kwa nguvu kwamba ni sehemu ya vitendo vya kibaguzi ambavyo havikubaliki'

huyu ni mwana CCM na ilani ya chama chao haionyeshi mahali pa uhasama huenda ipo nasiijui.
Kwahiyo suala la kama wamezaliwa na chuki au wanafundishwa sina uhakika nalo ila nina uhakika na jambo moja nalo ni CUF kuhubiri sera za chuki dhidi ya bara na hata sera zao ukizisoma kwa makini zinaonyesha hivyo.
Waandishi wengi wanaohubiri chuki magazetini na blogs ni wanachama wa CUF, labda tusaidiane inaweza kuwa CUF ndio wanaohimiza kuwachoma moto, kuwatimua na kuwabagua Wabara!! Just discussion tupate mtazamo wako.

Hivi mathalani wabara wakianza kuwahamisha, kuwabagua kuwatimua Wbar maofisini, mashuleni na kwenye biashara zao kama alivyoonyesha Seif kwa yanayotokea kwenu, wewe Takashi utajisikiaje.
Na je unadhani hiyo ndio njia muafaka ya kupata suluhu ya tatizo.
Kwani huu mungano ukivunjika ina maana ndio uadui kabisa. Mbona Uganda na Libya ni marafiki zetu sasa baada ya kuhasimiana siku za nyuma.

Kwanini Wzbar mnaamini katika rabsha na si majadiliano, kipi kigumu kujenga hoja ima ya kujenga au kuboma hadi mkimbilie viberiti na mapanga?

Suala zima la Muungano linahitaji kuangaliwa upya. Kama muungano lazima ,basi uwe wa maslahi kwa pande zote. Mimi binafsi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Sijawahi hata kupiga kura tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.
CUF wana msimamo mkali juu ya haki za Zanzibar. Na hii inatasfriwa vibaya Tanganyika, kwa vile walizowea mteremko katika utawala wa chama kimoja...

Ninachoelewa mimi kwamba wazanzibari wamechoka kuzarauliwa, kukejeliwa, na kudhulumiwa . Watu hawakua na sababu ya kumchukia mtanganyika wakawaida kwani wapo wengi tuu, na kwa miaka mingi wanaishi na kufanya kazi zao kwa amani na usalama. Matatizo yameletwa na CCM wenyewe. Kupeleka watu kutoka bara ,kuipigia kura CCM. Kupeleka wanajeshi kutoka bara ,kutandika na hata kuwauwa raia ili CCM ishinde.

Haya yote yamechangia kuweka mazingira ya kuto waamini watanganyika... Uchanguzi uliokwasha ndio pekee amaboa haukuwa na umwagaji damu. Kama watu wa aina hii wanakubali kutumiwa kuwadhulumu watu wengine haki zao, basi na wao wasitarajie ukarimu kwa waliyo wadhulumu.

Hao watu amabo walichomewa moto mabanda yao ya biashara , walikua tayari walisha onywa na Halmashauri wahame katika hayo maeneo. Mimi si halalishi walichofanyiwa, lakini mazingira haya wameyatengeneza wenyewe . Huwezi kuwapelekea wanakijiji biashara ya pombe,ngono na madawa ya kulevya na kukiuka maadili ya kijiji. Na hii sio Zanzibar tuu, popote pale tz wana kijiji watachukua hatua kuzuwia.

CCM, walipuuza malalamiko ya wanakijiji kwa sababu wale wafanya biashara amabazo sio za halali wanawatumia kuwapigia kura.
Kuhusu kujadili muungano kwa hoja! Hoja gani mtazikubali? Matatizo ya muungano yalinza tangu miaka ya 60s. Jee, miaka yote hii hapakua na wazanzibari wenye hoja? Kwanini walete hoja wakati wanachodai ni haki yao. Mnatumia formula ile ile mliyowafanyia waislamu watangayika...
 
Tazama, kwa makini wale wote wanaotaka Muungano uvunjike Zanzibar ni wale wenye asili ya kiaarabu. Mimi nakuachieni mfanye tafiti wenyewe na mtaona.
 
Tazama, kwa makini waleo wote wanaotaka Muungano uvunjike Zanzibar ni wale wenye asili ya kiaarabu. Mimi nakuachieni mfanye tafiti wenyewe na mtaona.

Hayo unasema weye lakini ukweli unabaki pale pale MVUNGANO oops MUUNGANO HAUNA MASLAHI YOYOTE KWA ZANZIBAR zaidi ya kuithibi nchi huru ya Zanzibar.

Hebu weye Shangaa jinchi jikubwa kama tanganyika kuamua kuuwa uraia na utaifa wake na kujificha chini ya mwanvuli wa muungano ka kajinchi kadogo kama zanzibar. Kuna namna hapo.

Tuwe wawazi na kuwa wakweli. hauna maslahi kiuchimi wala kisiasa sababu kubwa ni mifumo iliyowekwa na wakoloni.

Poleni sana
 
Takashi,
Kama Wazanzibari hawanywi pombe, hawashiriki katika vitendo vya ngono na madawa ya kulevya, ile biashara ya Watanganyika ingekufa kifo cha mende. Lakini kama biadhara yao ilishamiri basi kuna wateja.
 
Hayo unasema weye lakini ukweli unabaki pale pale MVUNGANO oops MUUNGANO HAUNA MASLAHI YOYOTE KWA ZANZIBAR zaidi ya kuithibi nchi huru ya Zanzibar.

Hebu weye Shangaa jinchi jikubwa kama tanganyika kuamua kuuwa uraia na utaifa wake na kujificha chini ya mwanvuli wa muungano ka kajinchi kadogo kama zanzibar. Kuna namna hapo.

Tuwe wawazi na kuwa wakweli. hauna maslahi kiuchimi wala kisiasa sababu kubwa ni mifumo iliyowekwa na wakoloni.

Poleni sana

Tanganyika kupitia Tanu na mwalimu walikubali kuisaida ASP na walikuwa wakiipatia pesa ili kuwaokoa wazanzibari weusi ambao wameteswa saana na waarabu. Lakini kama leo wazanzibari weusi wanadiriki kusahau hayo mateso basi Tanganyika aka Tanzania bara haitawalazimisha. Ndio maana Kassim Hanga, aliwahi kuwaambia mabalozi wa Urusi na China kuwa ni kheri zanzibar itawaliwe na tanganyika kuliko kutawaliwa na waarabu au hawa jamaa wa mashariki wakati huo. Na kwa mzanzibari mwenye akili timamu ajiulize vizuri, mfano mzuri Mkandara katoa kuhusu Sudani, nina uhakika leo ukivunjika muungano wazanzibari matalia na kusaga meno, mtapoteza uraia wa nchi kubwa na mambo mengi saana. Sitashangaa ikibadilika within few years na kuwa Somali ya pili.

Ila nakuhakikishieni, ondokeni ili vijana wetu (JWTZ) wapate mahali pa kuja kufanya mazoezi ya kivita, maana mkifanya nyoko yoko tu, tunakizunguuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom