Kazi ipo wapi ??? SI bora ukaanzisha Chama kuliko kudandia sera za wengine ? Nakuhakikishia utapata wafuasi kibao ukiwa na sera hizo za kuvunja Muungano siku hihiyo Chama chako/chenu kitakapoasisiwa.
Karibu Zanzibar watamiliki anga lao ,ingawa Mbowe alishindwa kupeleka helikopta huko,wakitishia kuitungua ikiwa itakaribia.Ni wakati wa Utawala wa CCM hao,ila huu wakati wa CUF wanafuata sheria na mikakati ya uhakika ambayo itawezesha Zanzibar kuwa na mamlaka ya anga na kuruhusika kutulisha ndege wazitakazo.
Bado,bado akili yako wewe siyo nzuri, mtasubiri miaka mingine hamsini, ni mpaka tuwe na uhakika wa akilin zenu, mind you UN wanatambua hilo pamoja na wengine ktk Jumuia ya kimataifa!