"Khatima ya Zanzibar na Mustakbali wa Muungano" - Seif Sharif Hamad

Mi sijui mawazo ya muungano yalianza kwa nani na kwa faida ya nani!Kama ni wananchi mbona hawasikilizwi?
 
Ukiangalia saana, kwa zanzibar ale wanaotaka Zanzibar ijitenge asilimia kubwa ni wazanzibari wenye asili ya kiaarabu, i.e Maalimu Seif, Shamuna, Jusa, mnaweza kuongezea. Rejea wakati muungano umetangazwa Mh Hanga aliwaambia balozi za Urusi na China, kuwa ni bora Zanzibar itawaliwe na Tanganyika kuliko kutawaliwa na hizo nchi hizo. Mwalimu na Tanu waliisaidia saaana ASP kuchukua madaraka, na hata walihakikisha hawa waarabu Babu na Rashidi hawafukukuti kwa Karume. leo hii ndugu zetu weusi akina Asha Abdalah wamesahau kuwa ili ASP iweze kudumu madarakani, Nyerere alituma askari 400 wa Tanganyika kuimarisha ulinzi?

Wazanzibar wenye asili ya kiafrika someni nyakati kama Mama Samia, mnawafata hawa wenye asili ya kiarabu, mtakuja juta na vizazi vyenu, mkiondoka haturudi safari kuwasaidia.
 
Bro kama maalim atatuwachia sisi vijana basi muungano tunauvyeka siku hiyo hivo waache wakaupeleke huko kanisani sio Zanzibar. hatutaki kutawaliwa tena hapa lazima wazanzibari wajitawale wenyewe tumatawaliwa for so long.
Jitoeni hata leo ili mfyekane mapanga na majambia vizuri
 
Kuna hoja ya mafuata inayowatia wazimu wazanzibar. Wakati nchi zinaungana hakuna aliyejua kuna mafuta.
Inashangaza sana wazbar wanasema mbona madini si sehemu ya muungano? Walichotaka ni kuwa sehemu ya mapato ya madini yagawanywe na Zbar wapate. Fair enough! Wasichojua au wasichotaka kujadili ni je Zbar inachangia nini katika serikali ya muungano? na je walitegemea serikali ya muungano iendeshwa na nini na nani? Hawajiulizi mishahara ya wafanyakazi wa SMZ inatoka bara sasa wanataka mgao wa madini ili iweje ili hali wanapata mgao mkubwa tu ikiwa ni pamoja na umeme wa bure!

Hili la muungano limetuchosha, tunafika mahali sasa tuulize, wazbar walioajiriwa bara waache nafasi zao warudi SMZ.
Hatuna sababu ya kuacha wanafunzi wenye uwezo vyuo vikuu ili nafasi za upendeleo ziende kwa viwango hafifu kutoka Zbar.
Hatuna sababu ya kulipia elimu ya juu kwa kodi zetu ili hali wanaserikali yao na chuo kikuu chao cha Tunguu.
Hawana sababu ya kulalamika, wao waondoke kwa usalama bara muungano utafikia hatima.
Bara hawana cha kupoteza!
 
Mkuu hilo suala la mafuta ni hoax tu, kuna mtu aliwadanganya wazenji kuwa kuna mafuta. Ukweli ni kuwa kuna mwamba wa mafuta Pemba, na kuna dalili za kuwepo kwa mafuta. Lakini hakuna uhakika kama mafuta yakichimbwa yanaweza kurudisha investement iliyowekwa kwenye uchimbaji, kwa hiyo ni hear say tu inayotumiwa na wanasiasa wenye lengo la kujitafutia madaraka. Hakuna lolote. Kama kweli mafuta yangekuwepo Zanzibar for sure makampuni malafi yangeshafika na kuanza kuchimba, mafuta ya Afrika ni many cases ni mazuri kuliko ya uarabuni, so kama kweli yangekuwepo yangechimbwa tu. Anayesema yapo anatakiwa kutuambia ni lini walifanya utafiti na ni nani na majibu ya utafiti huo yako wapi na yamefanyiwa kazi gani, na waseme ni kwanini hayajafanyiwa kazi.

Mkuu baadhi ya wazanzibar wa ile kauli ya chetu changu, changu changu. So wanajua kabisa wana maana gani. Sidhani kama kuna haja ya kuuliza kama muungano ukivunjika waliko hapa bara watafanya nini. Jibu ni rahisi kabisa walipo hapa bara watarudi kwao, wakitaka kukaa wanakaribishwa, watakaa kama wageni wengine. I am sure wanajua hilo, naona ni vizuri wakiruhusiwa kufanya wanachokitaka. Si kama wao hawajui itakuwaje muungano utakapovunjika, wanajua kabisa lakini wanaona ni heri uvunjike ili wapate mafuta.
 
Mkuu baadhi ya wazanzibar wa ile kauli ya chetu changu, changu changu. So wanajua kabisa wana maana gani. Sidhani kama kuna haja ya kuuliza kama muungano ukivunjika waliko hapa bara watafanya nini. Jibu ni rahisi kabisa walipo hapa bara watarudi kwao, wakitaka kukaa wanakaribishwa, watakaa kama wageni wengine. I am sure wanajua hilo, naona ni vizuri wakiruhusiwa kufanya wanachokitaka. Si kama wao hawajui itakuwaje muungano utakapovunjika, wanajua kabisa lakini wanaona ni heri uvunjike ili wapate mafuta
Hii document aliyoleta Companero ndio kielelzo kizuri cha Maalim S. Kila baada ya uchaguzi alikuwa na ziara ndefu ulaya na America akiongea na wzbar kuhusu uonevu dhidi ya Wzbar. Lengo leka lilikuwa ni kuhakikisha Zbar inajitoa muungano kwa kile alicho amini ni nguvu za bara dhidi ya ushindi wake. Akawachochea Wzbar kwa hoja mbali mbali bila kuwaambia ukweli. Hili la mafuta lilipoanza kusikika akalifanya agenda. Akaacha agenda ya misaada kutoka Uarabuni itakayokidhi bajeti ya Zbar.

Mambo yalipokwama akakatiwa keki sasa yu kimya akijua ana mafao ya uwaziri kiongozi na ya umakamu yapo mbioni. Kama anaamini aliyoyaandika mbona hatujamsikia akisimama na kutetea?

Kama mafuata yapo ni yao na sioni sababu ya wao kuwa na wasi wasi.
Wasichoambiwa ukweli ni kuhusu mambo mengi wanayofaidika zaidi ya wanayolalimikia. Tanzania bara hawajalalmika mkurugenzi au mfagizi katika ofisi akiwa Mzbar, lakini hakuna Mbara anayeajiriwa Zbar hata kwa bahati mbaya. Ni kwa mantiki hii sioni kwanini wabara waendelee kuwa wakarimu kwa hisani ya matusi. Nadhani wakati umefika nafasi kwa wa bara zibaki kwa bara, na wafanyakazi waanze kuhoji uhalali wa mzbar kufanya kazi bara ili hali ni tofauti kule visiwani. Kwanini kijana wa bara akose ajira na apewe yule wa SMZ?

Nafasi za masomo sasa ziangaliwe upya. Ule upendeleo wa kuchukua Div 4 ya Zbar na kuacha 2 ya Bara kwa vyuo vyetu sasa ufike mwisho. Kama watachukuliwa walipiwe kama wageni wengine na si kwa kodi za wabara. Wanachuo chao cha Tunguu na wanauwezo wa kusomesha watoto wao Oxford, Nairobi na Kampala.

Tuhoji kwanini pesa za mishahara ya SMZ zichukuliwe kwenye kodi zetu kwa hisani ile ile ya matusi?Kwanini mtu wa bara abebe mzigo wa deni la umeme wa bure kwa Zbar ili hali wana SMZ pamoja na ZESCO?Kwanini mbunge wa Zbar alipwe kwa kodi za mbara kuwakilisha watu wake na si SMZ?Wanachangia nini katika muungano uliopo sasa hivi?Wanataka serikali tatu za nini na ziendeshweje na kwa gharama gani.

Endapo TRA wanakusanya kodi huko waondoke, kwasababu kodi hiyo ni kidogo sana na waachie ZRA na SMZ. Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa mzigo unaoingia bara unalipiwa kodi kama ule unaotoka Singapore.

Hakuna anayewazuia Wzbar na nchi yao, hawaelewi wanataka nini. Kama wangelijua basi wangeondoka bara na kutumia BLW kuvunja muungano. Simple. Wanachotaka ni kupewa zaidi kwa ulalamishi na matumaini ya mafuta. Well , all the best but now tunaanza kuhoji uwepo wenu bara seriously iwe makazini au mashuleni au vyuoni.

Kile chenye manufaa kwa Zbar hicho ni cha muungano, vingine ni mali yao peke yao. Wanataka serikali tatu ili waweke yale magumu kwa upande wao yawe ya muungano na si vinginevyo. Hawaelezi serikali 3 zinaendeshwaje na kwa gharama za nani, hili si waziri au mbunge yoyote wa Zbar ana jibu, wanachojua ni kuwa serikali 3 zitalipiwa kwa kodi za Mbara ili waweke intereast zao. Inasikitisha waziri wa SMZ anakurupuka na kusema serikali 3 akiulizwa iweje, jibu lake mafuta si ya muungano!! serious!!!

Inachosha kuishi kwa kutuhumiana bila kuambizana ukweli. The time is up! Watanganyika stand up for your right now!
 
Mkuu Nguruvi3 naungana na wewe kabisa. Tunatakiwa tufike mahali wajue kabisa kuwa hatutaki kunyooshewa vidole, ukweli ni kuwa serikali tatu ni obvious kuwa haziwezekani, umeweka sababu wazi kabisa, nani atakaye zilipia? wenzetu wanaonekana kuwa hot sana ikifika kwenye benefits, lakini wako mute sana inapofika kwenye responsibilities.

It is very stupid kusikia kuwa wanataka kuishi kwa misaada, bara ndio inawafanya wasipate misaada. Can you imagine mtu anaupigia debe umatonya? tena hadharani? hapo ndipo walipofikia wenzetu.

Sasa hivi ni bora tuanza kuwahighlight ili ikifika siku ya siku wajue kuwa hawataruhusiwa hata kuwa wamachinga.
 
Mkuu Nguruvi3 naungana na wewe kabisa. Tunatakiwa tufike mahali wajue kabisa kuwa hatutaki kunyooshewa vidole, ukweli ni kuwa serikali tatu ni obvious kuwa haziwezekani, umeweka sababu wazi kabisa, nani atakaye zilipia? wenzetu wanaonekana kuwa hot sana ikifika kwenye benefits, lakini wako mute sana inapofika kwenye responsibilities.
It is very stupid kusikia kuwa wanataka kuishi kwa misaada, bara ndio inawafanya wasipate misaada. Can you imagine mtu anaupigia debe umatonya? tena hadharani? hapo ndipo walipofikia wenzetu
Hapo kwenye bold utasikia benefit tu tena kwa upande mmoja, responsibilities hakuna hata mmoja atakayeongelea si waziri, au bloga, NONE! ikifika hapo hadithi zitaanza unajua, eeh, sisi tuna abc na mafuta si suala la muungano,tulikuwa na tv ya rangi, Nyerere kaiba pesa zetu, kaondoa wajomba zetu waarabu n.k.

Hili la misaada limepungua nguvu siku hizi kwasbabu lipo la mafuta, huwa najiuliza kama udogo wa nchi na misaada ni neema, mbona Haiti, Fiji na Tonga au jirani Comoro hawana afadhali. Mauritius haikupiga hatua kwa misaada nenda ukaone wanafanya nini.
Kwa maneno mengine, wenzetu wanasukumwa na hadithi kuwa nje ya muungano Zbar ni pepo.

Ndani ya muungano kuna urahsi sana wa wao kuendelea lakini dhati hiyo haipo. Wafanyabiashara wengi wamefanikiwa wakiwa bara sasa waulize kwanini wasirudi pemba ku invest?
Jibu rahisi ni kuwa soko la Zbar haliwezi kuleta ustawi kwa mtu wa kawaida isipokuwa walioshika mpini. Katika muungano huu huu wasioutaka na wanouita ukoloni mtu wa kawaida kabisa kama mvuvi au mfanyabiashara mdogo tu ana uwezo wa ku access 40 milion population unobstructed.

Nimewahi kujibiwa kuwa ukubwa wa soko la bara hauna maana kiustawi kwasababu yapo masoko mengine. Nauliza kwanini basi kuwe na waajiriwa wengi na wafanyabiashara wengi kutoka Zbar huku bara kuliko Kenya, Uganda, Comoro, seychelles n.k?
Kwanini kuwe na link kubwa hasa usafiri wa majini kati ya Dar na Zbar na sio Zbar na Mombasa, Kisimayu au Aden?

Wanasema TRA inachukua mapato ya badari huru yao, ok! lakini wanalilia kuwa bidhaa zinazotoka Zbar ziingie bara bure. Yaani ZRA ikusanye kile kinachopatikana halafu bara waache soko huru kwa kisingizo cha muungano. Bidhaa ziingie tu. No way TRA itakuwepo na kama hawataki tax itafanya kazi mzigo ukitinga bara.

Wiki iliyokwisha wamelalamika kuna kontena 350 zimekwama bandari ya Dar! nikajiuliza kwanini wafanyabiashara waizishushe bandari huru Zbar?
Mfanyabiashara mwenye akili na uelewa anafahamu kuwa kontena 350 ni peanut bara, lakini ukizitua kwa watu laki 500 ni biashara ya miak 10, nani anasuburi miaka 10 kontena ziishe!!

Kinachoudhi zaidi watasema mafuta si ya muungano, hawaongelei ardhi kwa vile ina masilahi kwao, hiyo ni ya muungano.

Mimi napenda nchi zikiungana kama mataifa makubwa yanavyoona mbali lakini huu wa ulalamishi kila kukicha, huu wa changu changu,chako changu no! no! unakera unachefua na sasa tuwaambie wazi, we have nothing to lose, anytime pack and go. If you decide to stay then you must adhere to terms and conditions which we're going to enforce soon.
To start with, let us shout on employment, higher education, land, free power, salary from gov coffer etc.

The only language Zbar will comprehend is tit for tat.As much as they love their country we love ours too. We must tell the Zbar on their face, the time is up pack and go to the land of milk and honey.
 
We really have nothing to lose. Wanadhani kuwa sisi tunabenefit kutoka kwao, infact sisi wa bara tuna-pay for union. Kama wanataka usultani tena tuwaache, inaonekana wengine wanakinyongo kutokana na kuondoka sultani na wengine wanapenda kuombaomba.

Kipindi kile watu waliwaona G-55 ni wajinga, lakini ukweli ni kwamba G-55 were not stupid at all. Haya mambo ya kuahirisha matatizo ndio yantufanya tusumbuliwe sasa. Kama G-55 wangesikiliza for sure sasa hivi watu wangeanza kupiga magoti.
 
We really have nothing to lose. Wanadhani kuwa sisi tunabenefit kutoka kwao, infact sisi wa bara tuna-pay for union. Kama wanataka usultani tena tuwaache, inaonekana wengine wanakinyongo kutokana na kuondoka sultani na wengine wanapenda kuombaomba.

Kipindi kile watu waliwaona G-55 ni wajinga, lakini ukweli ni kwamba G-55 were not stupid at all. Haya mambo ya kuahirisha zmatatizo ndio yantufanya tusumbuliwe sasa. Kama G-55 wangesikiliza for sure sasa hivi watu wangeanza kupiga magoti.

wazanzibar kwa tanganyika hawapigi magoti abadan

kiukweli suali la muungano linakaribia kufikia pazuri. na hakuna kutishana kwa sasa.
 
Mkuu wabara hatuna desturi ya usultani wa kutaka kupigiwa magoti, muungano upo kwa kuwa tunaamini kuwa wazanzibar ni ndugu zetu. Kama mnaona sisi si ndugu, kheri. Kama mnaona hatuna maana, kila la kheri. Mimi binafsi naona mtatufaa sana mkiwa nchi huru nje ya muungano. Naomba mungu juhudi zenu kutaka kujitenga zifanikiwe. Ni vizuri kama hakuna wa kuwatisha, na ajabu ni kuwa kuna baadhi wanaojaribu kuchimba wabara mkwara mbuzi.....ni vizuri sana kama muungano umefikia pazuri. Naomba mungu mvunje, nawaombea sana.
 
Kuna hoja ya mafuata inayowatia wazimu wazanzibar. Wakati nchi zinaungana hakuna aliyejua kuna mafuta.
Inashangaza sana wazbar wanasema mbona madini si sehemu ya muungano? Walichotaka ni kuwa sehemu ya mapato ya madini yagawanywe na Zbar wapate. Fair enough! Wasichojua au wasichotaka kujadili ni je Zbar inachangia nini katika serikali ya muungano? na je walitegemea serikali ya muungano iendeshwa na nini na nani? Hawajiulizi mishahara ya wafanyakazi wa SMZ inatoka bara sasa wanataka mgao wa madini ili iweje ili hali wanapata mgao mkubwa tu ikiwa ni pamoja na umeme wa bure!

Hili la muungano limetuchosha, tunafika mahali sasa tuulize, wazbar walioajiriwa bara waache nafasi zao warudi SMZ.
Hatuna sababu ya kuacha wanafunzi wenye uwezo vyuo vikuu ili nafasi za upendeleo ziende kwa viwango hafifu kutoka Zbar.
Hatuna sababu ya kulipia elimu ya juu kwa kodi zetu ili hali wanaserikali yao na chuo kikuu chao cha Tunguu.
Hawana sababu ya kulalamika, wao waondoke kwa usalama bara muungano utafikia hatima.
Bara hawana cha kupoteza!

Nimejaribu kukuheshimu lakini huheshimiki ! Wanaolazimisha muungano nani? Zanzibar au Tanganyika? Kwanini wewe binafsi unapinga kuwepo kwa serikali tatu? Achilia mbali kuvunja Muungano? Kwanini muendelee kubeba mzigo au kuwapendelea wa-zanzibari ? Hao wafanyakazi unaodai kuwako huko Tanganyika wataondoka ukiwa na serikali yako ya Tanganyika...

Hapa hutapata mtu wa kumuongopea... Tayari watu wanamuamko wa kisiasa na wanajua nini kinaendelea...Ule wakati wa vitisho umepitwa .Kama kweli umechoshwa na kelele za muungano? sasa ni wakati wa kudai kura ya maoni kwa wa tz wote? Hilo la umeme ni unafiki mtupu, hakuna logic yeyote kwamba mnatoa umeme bure ... Kwamba mna huruma sana au wakarimu sana?

Usipige kelele kuwepo kwa wafanyakazi wa-kizanzibari katika wizara za Muungano bara, bili ya kuongelea wanajeshi wa JWTZ waliopelekwa makusudi eti kuwatisha wazanzibar... Nyakati zimebadillika , strategy yenu ya kuimeza Zanzibar kidogo kidogo imeshindwa ...Mkilazimisha zaidi ya hapa mtaumbuka bure. Humna uwezo wa kuitawala Zanzibar, mtashindwa na tayari mushashindwa...Tafuteni ufumbuzi wa matatizo yenu kwanza kabla ya kijiengezea majukumu mengine. Mimi nimefika Mtwara na sehemu nyengine za Tanganyika , hivi najiuliza kwanini hawa watu wanalazimisha kuwatawala watu wengine wakati wao wenyewe hawana mbele wala nyuma? Hivi nini hasa wanakitaka ?

Kelele za Muungano hazikanza leo wala jana. Kisa cha Jumbe na Ramadhani Hiji kulazimishwa kujiuzulu ni kuwa walitaka kuwepo kwa serikali tatu ,tangu enzi zile, hapakua na mafuta wala mazungumzo ya gas asilia.
 
Wala bado kelele zitaendelea mpaka mtakapo toa uamuzi... wazanzibari wako tayari bado Tanganyika.

mkuu watanganyika wapo tayari CCM haipo tayari .. ongeeni na wawakilishi wenu ... initiation itaanza kwao.. kelele za mtaani na mtandaoni wala hazisaidii
 
Sawa Mkuu Viper, hatua ya kwanza ni kupeleka ujumbe kila mahala. Hapa tayari umefika na sehemu nyengine unapelekwa vile vile. Sio misikitini tuu, hata baadhi ya makanisa Zanzibar wameanza kuongelea serikali tatu.... Maendeleo mazuri .
 
Hapo kwenye bold utasikia benefit tu tena kwa upande mmoja, responsibilities hakuna hata mmoja atakayeongelea si waziri, au bloga, NONE! ikifika hapo hadithi zitaanza unajua, eeh, sisi tuna abc na mafuta si suala la muungano,tulikuwa na tv ya rangi, Nyerere kaiba pesa zetu, kaondoa wajomba zetu waarabu n.k.

Hili la misaada limepungua nguvu siku hizi kwasbabu lipo la mafuta, huwa najiuliza kama udogo wa nchi na misaada ni neema, mbona Haiti, Fiji na Tonga au jirani Comoro hawana afadhali. Mauritius haikupiga hatua kwa misaada nenda ukaone wanafanya nini.
Kwa maneno mengine, wenzetu wanasukumwa na hadithi kuwa nje ya muungano Zbar ni pepo.

Ndani ya muungano kuna urahsi sana wa wao kuendelea lakini dhati hiyo haipo. Wafanyabiashara wengi wamefanikiwa wakiwa bara sasa waulize kwanini wasirudi pemba ku invest?
Jibu rahisi ni kuwa soko la Zbar haliwezi kuleta ustawi kwa mtu wa kawaida isipokuwa walioshika mpini. Katika muungano huu huu wasioutaka na wanouita ukoloni mtu wa kawaida kabisa kama mvuvi au mfanyabiashara mdogo tu ana uwezo wa ku access 40 milion population unobstructed.

Nimewahi kujibiwa kuwa ukubwa wa soko la bara hauna maana kiustawi kwasababu yapo masoko mengine. Nauliza kwanini basi kuwe na waajiriwa wengi na wafanyabiashara wengi kutoka Zbar huku bara kuliko Kenya, Uganda, Comoro, seychelles n.k?
Kwanini kuwe na link kubwa hasa usafiri wa majini kati ya Dar na Zbar na sio Zbar na Mombasa, Kisimayu au Aden?

Wanasema TRA inachukua mapato ya badari huru yao, ok! lakini wanalilia kuwa bidhaa zinazotoka Zbar ziingie bara bure. Yaani ZRA ikusanye kile kinachopatikana halafu bara waache soko huru kwa kisingizo cha muungano. Bidhaa ziingie tu. No way TRA itakuwepo na kama hawataki tax itafanya kazi mzigo ukitinga bara.

Wiki iliyokwisha wamelalamika kuna kontena 350 zimekwama bandari ya Dar! nikajiuliza kwanini wafanyabiashara waizishushe bandari huru Zbar?
Mfanyabiashara mwenye akili na uelewa anafahamu kuwa kontena 350 ni peanut bara, lakini ukizitua kwa watu laki 500 ni biashara ya miak 10, nani anasuburi miaka 10 kontena ziishe!!

Kinachoudhi zaidi watasema mafuta si ya muungano, hawaongelei ardhi kwa vile ina masilahi kwao, hiyo ni ya muungano.

Mimi napenda nchi zikiungana kama mataifa makubwa yanavyoona mbali lakini huu wa ulalamishi kila kukicha, huu wa changu changu,chako changu no! no! unakera unachefua na sasa tuwaambie wazi, we have nothing to lose, anytime pack and go. If you decide to stay then you must adhere to terms and conditions which we're going to enforce soon.
To start with, let us shout on employment, higher education, land, free power, salary from gov coffer etc.

The only language Zbar will comprehend is tit for tat.As much as they love their country we love ours too. We must tell the Zbar on their face, the time is up pack and go to the land of milk and honey
.

Kama kweli ni mkweli wa hayo maandiko yako ...Basi ungana na wale wanaotaka kuwepo kwa serikali ya Tanganyika...vinginevyo wewe ni mnafiki...
Muungano unawaumiza lakini kuwachia huwezi...Serikali tatu hutaki , kuvunja muungano hutaki sasa tukuelewe vipi?
 
Hii document aliyoleta Companero ndio kielelzo kizuri cha Maalim S. Kila baada ya uchaguzi alikuwa na ziara ndefu ulaya na America akiongea na wzbar kuhusu uonevu dhidi ya Wzbar. Lengo leka lilikuwa ni kuhakikisha Zbar inajitoa muungano kwa kile alicho amini ni nguvu za bara dhidi ya ushindi wake. Akawachochea Wzbar kwa hoja mbali mbali bila kuwaambia ukweli. Hili la mafuta lilipoanza kusikika akalifanya agenda. Akaacha agenda ya misaada kutoka Uarabuni itakayokidhi bajeti ya Zbar.

Mambo yalipokwama akakatiwa keki sasa yu kimya akijua ana mafao ya uwaziri kiongozi na ya umakamu yapo mbioni. Kama anaamini aliyoyaandika mbona hatujamsikia akisimama na kutetea?

Kama mafuata yapo ni yao na sioni sababu ya wao kuwa na wasi wasi.
Wasichoambiwa ukweli ni kuhusu mambo mengi wanayofaidika zaidi ya wanayolalimikia. Tanzania bara hawajalalmika mkurugenzi au mfagizi katika ofisi akiwa Mzbar, lakini hakuna Mbara anayeajiriwa Zbar hata kwa bahati mbaya. Ni kwa mantiki hii sioni kwanini wabara waendelee kuwa wakarimu kwa hisani ya matusi. Nadhani wakati umefika nafasi kwa wa bara zibaki kwa bara, na wafanyakazi waanze kuhoji uhalali wa mzbar kufanya kazi bara ili hali ni tofauti kule visiwani. Kwanini kijana wa bara akose ajira na apewe yule wa SMZ?

Nafasi za masomo sasa ziangaliwe upya. Ule upendeleo wa kuchukua Div 4 ya Zbar na kuacha 2 ya Bara kwa vyuo vyetu sasa ufike mwisho. Kama watachukuliwa walipiwe kama wageni wengine na si kwa kodi za wabara. Wanachuo chao cha Tunguu na wanauwezo wa kusomesha watoto wao Oxford, Nairobi na Kampala.

Tuhoji kwanini pesa za mishahara ya SMZ zichukuliwe kwenye kodi zetu kwa hisani ile ile ya matusi?Kwanini mtu wa bara abebe mzigo wa deni la umeme wa bure kwa Zbar ili hali wana SMZ pamoja na ZESCO?Kwanini mbunge wa Zbar alipwe kwa kodi za mbara kuwakilisha watu wake na si SMZ?Wanachangia nini katika muungano uliopo sasa hivi?Wanataka serikali tatu za nini na ziendeshweje na kwa gharama gani.

Endapo TRA wanakusanya kodi huko waondoke, kwasababu kodi hiyo ni kidogo sana na waachie ZRA na SMZ. Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa mzigo unaoingia bara unalipiwa kodi kama ule unaotoka Singapore.

Hakuna anayewazuia Wzbar na nchi yao, hawaelewi wanataka nini. Kama wangelijua basi wangeondoka bara na kutumia BLW kuvunja muungano. Simple. Wanachotaka ni kupewa zaidi kwa ulalamishi na matumaini ya mafuta. Well , all the best but now tunaanza kuhoji uwepo wenu bara seriously iwe makazini au mashuleni au vyuoni.

Kile chenye manufaa kwa Zbar hicho ni cha muungano, vingine ni mali yao peke yao. Wanataka serikali tatu ili waweke yale magumu kwa upande wao yawe ya muungano na si vinginevyo. Hawaelezi serikali 3 zinaendeshwaje na kwa gharama za nani, hili si waziri au mbunge yoyote wa Zbar ana jibu, wanachojua ni kuwa serikali 3 zitalipiwa kwa kodi za Mbara ili waweke intereast zao. Inasikitisha waziri wa SMZ anakurupuka na kusema serikali 3 akiulizwa iweje, jibu lake mafuta si ya muungano!! serious!!!

Inachosha kuishi kwa kutuhumiana bila kuambizana ukweli. The time is up! Watanganyika stand up for your right now!

Mkuu,

Hapa umemaliza maana umewachana chana kuliko hata alivyowachana Mh Sita, lakini hakuna Mzanzibari atakuja kujibu hili hawa watu wa ajabu mno.
 
Nimejaribu kukuheshimu lakini huheshimiki ! Wanaolazimisha muungano nani? Zanzibar au Tanganyika? Kwanini wewe binafsi unapinga kuwepo kwa serikali tatu? Achilia mbali kuvunja Muungano? Kwanini muendelee kubeba mzigo au kuwapendelea wa-zanzibari ? Hao wafanyakazi unaodai kuwako huko Tanganyika wataondoka ukiwa na serikali yako ya Tanganyika...

Hapa hutapata mtu wa kumuongopea... Tayari watu wanamuamko wa kisiasa na wanajua nini kinaendelea...Ule wakati wa vitisho umepitwa .Kama kweli umechoshwa na kelele za muungano? sasa ni wakati wa kudai kura ya maoni kwa wa tz wote? Hilo la umeme ni unafiki mtupu, hakuna logic yeyote kwamba mnatoa umeme bure ... Kwamba mna huruma sana au wakarimu sana?

Usipige kelele kuwepo kwa wafanyakazi wa-kizanzibari katika wizara za Muungano bara, bili ya kuongelea wanajeshi wa JWTZ waliopelekwa makusudi eti kuwatisha wazanzibar... Nyakati zimebadillika , strategy yenu ya kuimeza Zanzibar kidogo kidogo imeshindwa ...Mkilazimisha zaidi ya hapa mtaumbuka bure. Humna uwezo wa kuitawala Zanzibar, mtashindwa na tayari mushashindwa...Tafuteni ufumbuzi wa matatizo yenu kwanza kabla ya kijiengezea majukumu mengine. Mimi nimefika Mtwara na sehemu nyengine za Tanganyika , hivi najiuliza kwanini hawa watu wanalazimisha kuwatawala watu wengine wakati wao wenyewe hawana mbele wala nyuma? Hivi nini hasa wanakitaka ?

Kelele za Muungano hazikanza leo wala jana. Kisa cha Jumbe na Ramadhani Hiji kulazimishwa kujiuzulu ni kuwa walitaka kuwepo kwa serikali tatu ,tangu enzi zile, hapakua na mafuta wala mazungumzo ya gas asilia.
'***** ! mapimbi nyinyi mbona mnapiga kelele sana! Kama muungano umewashinda si mtumie nguvu yenu ya umma kuuvunja? Sisi huku bara hatuna tatizo!
 
Mkuu,

Hapa umemaliza maana umewachana chana kuliko hata alivyowachana Mh Sita, lakini hakuna Mzanzibari atakuja kujibu hili hawa watu wa ajabu mno.

Hamna lolote bali unafiki !!! Kama kweli mnawabeba wazanzibari wemesema hawataki kubebwa...Kwanini mnashwindwa au mnaogopa kurudisha Serikali ya Tanganyika? Kuweni na uamuzi angalau kidogo... Hakuna mzanzibari atakubali tena ,kutawaliwa tena na mtanganyika...
 
Back
Top Bottom