Wabunifu kwa kuiba haki miliki?To be sencere wakenya ni wabunifu na wanabidii sana yote hii imejengwa kutoka mfumo wa elimu walionao. Wanatoa elimu practical sana na inayofundisha how to manipulate environments to opportunities. Tofauti sana na tz elimu yetu ni ya kukariri hapo practical. Just see kwenye vitu vidogo km kadi wameona ni fursa ya kutangaza vivutio vya uyatalii, nani hapa tz aliyefikiria kutangaza kwa disign Km hii au njia tofauti kwa hiki kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka?
Elimu elimu elimu elimu