Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,251
Nimeona kadi hii ya Christmas yenye picha ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Rutto.
Lakini ukiangalia vizuri kwenye background ya picha hiyo utauoana mlima Kilimanjaro,

Nimejiuliza sana; Kwanini wakenya wanapenda kusafiria nyota zetu?

Huu mlima waliuweka kwenye ndege zao za Kenya Airways, wakaona haitoshi.

Sasa wameuweka tena kwenye kadi za Christmas ili kuendelea kuiaminisha dunia kuwa Upo kwao, hivyo kukuza sekta ya utalii kwa ulaghai wa namna hii.

Utakumbuka pia binti wa Raila Odinga akiwa anahutubia umoja wa mataifa aliwahi kusema bonde la Olduvai lipo Kenya japo alikuja kukanusha lakini nina hakika watanzania Tungekaa Kimya bado dunia ingeaminishwa bonde hii hili lipo Kenya.

Wakuu tabia Hii ya Kenya kusafiria nyota ya Tanzania Mpaka lini?

IMG-20161228-WA0033.jpg
 
Kenya kuna view ya Mlima Kilimanjaro,
Ndiyo wamesimama hapo

jifunzeni uvumilivu huu mchezo hauhitaji hasira ingawa miss Kenya juzi tu alionyesha hasira kwenye miss world,
Sisi ni ndugu tuliokaribiana sana, kuoneana wivu wa maendeleo na kutofautiana ni lazima ila tuwe happy life is short usichafukwe na roho sana as if Mkenya sio binadamu au Mtz sio binadamu.
 
Mkuu umenivunja mbavu hapo uliposema wamesimama mbele ya mlima Knjaro kwenye view ya upande wa Kenya!!
 
Kenya kuna view ya Mlima Kilimanjaro,
Ndiyo wamesimama hapo

jifunzeni uvumilivu huu mchezo hauhitaji hasira ingawa miss Kenya juzi tu alionyesha hasira kwenye miss world,
Sisi ni ndugu tuliokaribiana sana, kuoneana wivu wa maendeleo na kutofautiana ni lazima ila tuwe happy life is short usichafukwe na roho sana as if Mkenya sio binadamu au Mtz sio binadamu.
Kweli kwa % gunia.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom