Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

To be sencere wakenya ni wabunifu na wanabidii sana yote hii imejengwa kutoka mfumo wa elimu walionao. Wanatoa elimu practical sana na inayofundisha how to manipulate environments to opportunities. Tofauti sana na tz elimu yetu ni ya kukariri hapo practical. Just see kwenye vitu vidogo km kadi wameona ni fursa ya kutangaza vivutio vya uyatalii, nani hapa tz aliyefikiria kutangaza kwa disign Km hii au njia tofauti kwa hiki kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka?
Elimu elimu elimu elimu
Wabunifu kwa kuiba haki miliki?
 
Kwa Dunia ya sasahivi ya utandawazi nani hajui mlima upo tz... So hapo anatutangazia tuu.. Si cha kufanya tuigeuze hiyo kuwa opportunity... Kwetu
 
Wacha waitumie fursa hiyo maana sisi tumeshindwa kabisa......hata TBC kila siku wanaweka taarab
 
To be sencere wakenya ni wabunifu na wanabidii sana yote hii imejengwa kutoka mfumo wa elimu walionao. Wanatoa elimu practical sana na inayofundisha how to manipulate environments to opportunities. Tofauti sana na tz elimu yetu ni ya kukariri hapo practical. Just see kwenye vitu vidogo km kadi wameona ni fursa ya kutangaza vivutio vya uyatalii, nani hapa tz aliyefikiria kutangaza kwa disign Km hii au njia tofauti kwa hiki kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka?
Elimu elimu elimu elimu

Watanzania Kazi yetu kupiga domo tu.Bhaharesa na Reginand Mengi wamesomea Kenya? Tatizo hamlisemi watanzania kuwa mna asili ya woga kuchukua maamuzi ya kibiashara
 
Sisi wa Tanzania tunalalamika sana, lakini hatufanyi juhudi za kutosha katika kutangaza vivutio vyetu. Mpaka tutakapoamka wacha Kenya wafanye.
Tunacho jus cc ni kodi tu
Nimeona kadi hii ya Christmas yenye picha ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Rutto.
Lakini ukiangalia vizuri kwenye background ya picha hiyo utauoana mlima Kilimanjaro,

Nimejiuliza sana; Kwanini wakenya wanapenda kusafiria nyota zetu?

Huu mlima waliuweka kwenye ndege zao za Kenya Airways, wakaona haitoshi.

Sasa wameuweka tena kwenye kadi za Christmas ili kuendelea kuiaminisha dunia kuwa Upo kwao, hivyo kukuza sekta ya utalii kwa ulaghai wa namna hii.

Utakumbuka pia binti wa Raila Odinga akiwa anahutubia umoja wa mataifa aliwahi kusema bonde la Olduvai lipo Kenya japo alikuja kukanusha lakini nina hakika watanzania Tungekaa Kimya bado dunia ingeaminishwa bonde hii hili lipo Kenya.

Wakuu tabia Hii ya Kenya kusafiria nyota ya Tanzania Mpaka lini?

Bahati yao hawakuandika kuwa "MT. Kilimanjaro,

Tungeingia kwenye Vita Baridi hadi kieleweke, Balozi wao Si yupo hapa..!
 
Watanzania Kazi yetu kupiga domo tu.Bhaharesa na Reginand Mengi wamesomea Kenya? Tatizo hamlisemi watanzania kuwa mna asili ya woga kuchukua maamuzi ya kibiashara
Wewe unadhani huu woga umetokea wapi kama siyo mifumo tulinayo ya kielimu, elimu haimjengi mtu kuyatawala mazingira na kuyatumia zaidi inamuweka mtu kuwa tegemezi...
 
Hivyo vingi vinaifadisha vipi Tanzania fukara?
Sinto weza kuiita Tanzania ni fukara wala watu wake ni fukara, na najua Tanzania ilivyo jaliwa na Mungu. Labda na wewe nikuulize swali, ingekuwa vyema kama mali za nchi hii zingekabidhiwa kwa watu wachache wajinufaishe huku wengi wetu tukibaki tunachungulia madirishani kama ilivyo Kenya?
 
Kwani tatizo lio wapi? Hivi ninyi huwa mna tatizo gani? Ml.Kili siyo mali yetu Watanzania bali ni mali ya Binadamu wote na umetokea tu kuwa ndani ya mipaka yetu Kijografia!

Wewe unaweza kutangaza mlima Everest na kudanganya dunia Upo kwenu?
Hawa watu mi siwaelewi
 
acha tu watangaze sisi tuko busy na kutoa kadi za heri ya Christmas kwa media binafsi! Hii ndiyo Tz ya watu kwenye IQ kuliko nchi nyingine zote duniani!
 
To be sencere wakenya ni wabunifu na wanabidii sana yote hii imejengwa kutoka mfumo wa elimu walionao. Wanatoa elimu practical sana na inayofundisha how to manipulate environments to opportunities. Tofauti sana na tz elimu yetu ni ya kukariri hapo practical. Just see kwenye vitu vidogo km kadi wameona ni fursa ya kutangaza vivutio vya uyatalii, nani hapa tz aliyefikiria kutangaza kwa disign Km hii au njia tofauti kwa hiki kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka?
Elimu elimu elimu elimu

Hii attitude imewakaa watanzania wengi sana na inatutafuna kama Kansa.

Ukweli ni kwamba hakuna kitu cha maana wanacho kwenye Elimu yao kinatushinda watanzania, labda useme utofauti wa kujiongeza tuu.
Wengine wanadai Kenya iko juu kiuchumi kuliko Tanzania lakini hawaangalii historia,

Tanzania tumesaidia nchi nyingi za Afrika kupata Uhuru wao, tumetumia resources nyingi sana.

Pili kipindi cha EAC Walikubaliana viwanda vijengwe Kenya na baada ya EAC kuvunjika wakabaki na adv.

Tatu Tanzania baada ya Uhuru tuli-adopt mfumo wa kijamaa ambao hauruhusu ushindani kwenye biashara na wakati Kenya wali-adopt mfumo ya kibepari unaruhusu ushindani kibiashara na kujimilikisha Mali.

Nafikiri ifike mahali sasa watanzania tutumie uwezo wetu ipasavyo na kujiamini kwamba tunaweza.
Yes We can!!
 
Back
Top Bottom