Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,413
- 11,066
Hello hello,
Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania.
Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti yenye thamani kubwa katika hali isiyotarajiwa kwa nini hawa waliokasimiwa jukumu hawakuweka Mlima Kilimanjaro kwenye noti ya elfu10.
Malaika wa kipekee wamenishukia mida hii nimewaza nikaona hilo la mlima Kilimanjaro kutoheshimika kama nembo muhimu ya taifa.
Wahusika ebu watafakari hilo, tembo yupo kila mahali, Mlima ni upekee usio na ubishi kwa Tanzania.
Wadiz na malaika wake kwa leo
Wasalaam.