Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

Ziwa malawi
Mimi najua linaitwa ziwa Nyasa, na upande wa kaskazini mashariki ni upande wa Tanzania. Upande wa kusini mashariki ni upande wa Msumbiji, upande wa magharibi ni wa Malawi. Itabaki hivyo mpaka mwisho wa uhai.
 
Halafu leo serikali inanunua ndege B 787 eti ikidai itasaidia kukuza utalii kwa kuwaleta watalii moja kwa moja wakati kenya airways ndege za aina hiyo wanazo lakini wameamua kutangaza vivutio vya utalii kwa bao la mkono.
 
Nakumbuka Kuna siku jamaa mmoja alikamatwa na misokoto ya cha Arusha getini la ikulu yake. Alikuwa anaipeleka wapi, mimi sijui. Kuna majibu ya kesi ya uchochezi hapa...
Alikuwa anaipeleka kwa mrisho gambo angekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM asingepata tabu maana kona zote anazijua. Na ilala bangi linaitwa "cha malawi"
 
Tafadhali sema nini umejifunza kutokana na kadi hii ya kuwatakia wakenya heri ya mwaka mpya iliyotolewa na viongozi wa juu wa taifa hilo
4975b1d86aa14872bf6df14d26e37034.jpg
 
Niliwahi kuona tangazo la Kenya Airways limeandikwa "come and see the Kilimanjaro in Kenya".

Kuuliza why? Nikaambiwa ni ukweli. Unauona mlima Kilimanjaro ukiwa Kenya!

Cha kujiuliza, kwao wanauona tu na wanatumia fursa, sisi ambao upo kwetu?

Kweli, penye miti hapana wajenzi.
 
Viongozi wa hapa kwetu wako busy kupambana na akina Lema. Kutangaza sekta ya utalii siyo kipaumbele chao.
 
Waache watangaze bana, sasa kama kwenye bombadia zenyewe badala hata zingeitwa kilimanjaro airways au ikawekwa picha ya mlima kilimanjaro eti wameweka twiga, swain. Sasa twiga si wapo kote duniani mpaka ulaya ila mlima kilimanjaro uko Tanzania tu, au kwasababu Mt. Kilimanjaro iko kaskazini ndomana haipewi kipaumbele? Uhanishieni chato basi ili muupe kipaumbele. Wakenya endeleeni hivyo hivyo ili mtuamshe usingizini.
 
15665721_1507860822575799_5401258061350771418_n.jpg


[HASHTAG]#Tell[/HASHTAG] Uhuru to stop using Mt Kilimanjaro on his fotos background shame on him and his government full of thieves!
Aah we waache watumie bana, kikwete mwenyee alisema sasa kama hatuutumii waache wenzetu watumie, besides mlima upo East Africa kwahiyo wameamua tu watusaidie
 
Serikali yetu inaona bora kufukuzana na wapinzani kuliko maharamia wa utu na uchumi wetu,wanawaza kuhusu Lema,Lisu,Seif na akina Saanane.
 
15665721_1507860822575799_5401258061350771418_n.jpg


[HASHTAG]#Tell[/HASHTAG] Uhuru to stop using Mt Kilimanjaro on his fotos background shame on him and his government full of thieves!
Ndio maaana tunaona kama wao ni wachokozi! Wana uharali gani wa kutumia view ya mlima wetu kwenye card yao?
Nionavyo mimi hata ile kufukuza watanzania wenye magari ya tours kwenye viwanja vyao vya ndege sio tetesi tena;
 
Back
Top Bottom