Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

Kuna mtu kanisms kuwa wabunge waliokuwa Arusha ni watu wa kaskazini tu je, hili linaukweli? Zitto kwa nini mara kadhaa ukosekana kwenye matukio ya Chadema yanayogusa isia za watu wengi?
Kichore unafikiri kichore sawa na jina lako. Zitto ana matatizo yake usimtetee kwa kuleta ukanda ndani ya chama chao. Mbona kuna wabunge zaidi ya nne wa kaskazini akiwepo mustafa, Paulina Gekul hawakuwepo pia. Usifikirie kwa kutumia PUA. Tumia akili.
 
But wachangiaji wengine wametutaarif kuwa alikuwa mwanza anaamasisha ushindi wa umeya

Acha kudanganya. Slaa alikuwepo mwanza dec 2010 na alishamaliza. Si ajabu zitto alikuwa anawasaidia ccm mwanza kisirisiri akashindwa, nani ajuaye. Simwamini.
Nahisi sasa amegundua kuwa anakotaka kwenda ccm hakujatulia. Nani asiyejua kuwa wabunge wote 4 wa NCCR mageuzi kigoma aliwafadhili na kuwasaidia dhidi ya Chadema? Tena kwa fedha za mafisadi ili kuja kudhoofisha chadema ndani ya Bunge?
 
NAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO

nAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO


NAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO

nAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO




Kwa nini? Kama ni yeye tumpongeze... na kama yuko Mwanza ambako CHADEMA imepata umeya anastahili pongezi kama wanavyostahili pongezi viongozi wote wa CHADEMA wanaoongoza mapambano dhidi ya utawala wa mabavu wa CCM.

Bravo ZITTO...
 
Tunalaani matumizi ya ovyo ya nguvu za dola

.



Zitto Zuberi Kabwe (Mb)

Naibu Katibu Mkuu (Bara)-CHADEMA

Nimetoa kauli hii Mwanza saa 1300hrs


JE INATOSHA?[/QUOTE]

Napata shida na hii kauli! Umeandika kuturidhisha kwa vule watu wamesema au vipi? Sina shida na 'statement' yenyewe maana iko bomba ila shida ni haya maneno mawili ambayo kwangu yanatoa wazi dhamira uliyokuwa nayo ukiandika. Naomba ufafanuzi au uifute.
 
Nimekupata sawia Mhe. Zitto. Ni kauli nzito inayoamsha hisia. Wananchi tupo nyuma yenu.

Mungu ibariki Tanganyika.
 
Safi, lkn kunahitaji Mshikamano Zaidi. Pia Utambue wanatanganyika wamepoteza IMANI nawe na itakusost kurudisha Imani kwao Unaonekana Mamluki Kaka Badilika.
 
Big up Zitto. Welcome on board.

Kama ungeonyesha negative response katika hili basi Wana-CHADEMA tungendelea kuamini kuwa wewe ulishakuwa mwasi.

Lakini let me put a question to you ,Mr. Zitto Zuberi Kabwe.Were you in Arusha yesterday during this saga? If yes how did you escape the police thugs?And if not, why not in Arusha to join your CHADEMA Leaders and colleagues in order to demonstrate a party unit?

Otherwise thanks for your good and encouranging thread.

Thanks.


Alikuwa mwanza kusimamia kura za Mstahiki Meya wa CHADEMA.
Hongera Zitto kwa kazi nzuri, naomba mhakikishe haki ya watanzania inapatikana, ikiwezekana hata kwa ncha ya upanga.
Tumechoka kudhulumiwa miaka yote.
Welcome in Arusha Zitto.
 
Big up Zitto. Welcome on board.

Kama ungeonyesha negative response katika hili basi Wana-CHADEMA tungendelea kuamini kuwa wewe ulishakuwa mwasi.

Lakini let me put a question to you ,Mr. Zitto Zuberi Kabwe.Were you in Arusha yesterday during this saga? If yes how did you escape the police thugs?And if not, why not in Arusha to join your CHADEMA Leaders and colleagues in order to demonstrate a party unit?

Otherwise thanks for your good and encouranging thread.

Thanks.

It seems He was in Mwanza leading the struggle for mayorship
 
Tunahitaji kuwa wa1 ili tuweze kushirikiana kuleta ukombozi wa Tanganyika, kama itagundulika mtu ni nyoka ndani ya chama, atakionja kama alivyoonja Alfonse Mawazo jana.
 
Mambo ya serikali ni ya kuua nzi kwa nyundo na kujaribu kupoteza haki za wananchi, tunakoelekea kuna wabongo wataingia msituni kutetea haki zao!
 
La katiba mumepewa sasa mwatafuta mengine hayeni bwana... tunashukuru kwa kutekeleza nia yenu ya waTanzania kumwaga damu... Hongera Lema... tangu mwanzo ilionyesha jimbo lako lazima limwage damu... and it has happened... Nyerere alitumia tu maneno yake kudai uhuru... sasa ninyi mnashindwa je kujenga hoja?
 
big up zitto. Welcome on board.

Kama ungeonyesha negative response katika hili basi wana-chadema tungendelea kuamini kuwa wewe ulishakuwa mwasi.

Lakini let me put a question to you ,mr. Zitto zuberi kabwe.were you in arusha yesterday during this saga? If yes how did you escape the police thugs?and if not, why not in arusha to join your chadema leaders and colleagues in order to demonstrate a party unit?

Otherwise thanks for your good and encouranging thread.

Thanks.

ulitaka ofisi yote iwe arusha? Can't put all the eggs in one backet ndg.
 
Back
Top Bottom