Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,732
218,315
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

Screenshot_2024-02-28-14-10-53-1.png
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya , Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu...
Hii mtaa wa Lumumba jijini DSM ilipo ofisi ndogo ya chama dola kongwe CCM wenye dhamana ya propaganda waione, na kuacha kuwagombanisha polisi na raia.
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu...
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.
 
Kabisa
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Shida ni chama chetu
 
Hao hawana noma ila linapokuja suala la kushakizwa kama mbwa , ili washambulie watu ndio wanafeli.

Wanafanya mambo ya hovyo kulinda kibarua na familia zao .
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.
🤣🤣🤣🔊
 
Nilikua napata picha kua ww n mstaafu fulani una kitambi cha kufutia simu janja 😃😃😃kumbe n muhendsam na hatujui.
Huyo jamaa sio yeye ila ni kwamba huyo aliepiga picha hausiki chochote na mambo ya ulinzi na usalama na wala hausiki na hao polisi ni kweli jamaa aliomba kuingia kwenye gari la polisi ambalo lilienda hadi mwisho wa maandamano likiwa kama escort.
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Ah! Polisi ni pilisi tu
 
Huyo jamaa sio yeye ila ni kwamba huyo aliepiga picha hausiki chochote na mambo ya ulinzi na usalama na wala hausiki na hao polisi ni kweli jamaa aliomba kuingia kwenye gari la polisi ambalo lilienda hadi mwisho wa maandamano likiwa kama escort.
Uko sahihi
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.
Wadanganye wajinga wenzio
 
Back
Top Bottom