Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

Acid

Haufafani kabisa na ulichoandika hapo, kuandika bila kuwa na ushahidi.

Dont go that low, please.
any human being has highs and lows... unfortunately you have never seen any high of me na nina posts zaidi ya nne ulizoishia kusema premium member gani hivi au premium member gani vile

in fact, i see no change when it comes to you... so naweka kapuni!
 
Cha kufanya, kuanzia sasa tulieni, msiendeleze vurugu, endeleeni na maisha kama kawaida.
ona huu upunguani! watu wameuwawa wewe unasema endeleeni kama kawaida, how insensitive of you
 
Aibu zimewakumba!!! mnarukaruka tu!

eti mtu anauliza alikuwa wapi!! you must be chairman! baadhi yetu tunaboa sana na kukatisha tamaa

A
sasa hapo nimekuboa vipi? kwa kusema asante na hongera... and then nikauliza ya PPF?

kama ni hayo basi sawa lakini ukisoma thread ya PPF utanielewa, pia sijui kama uneona clip ya maelezo yake... bado hakuzungumza kama kiongozi wa chadema bali kama zitto

waberoya, i respect your point of view but you should also think outside your prespective... clip nimeiona asubuhi na jioni hii

sorry
 
Duhh! umekalia kidole gumba nini mkuu? Haya maneno yako ni kama mguno fulani hivi. Ebu inuka basi uanze kusema vizuri na kwa akili nzuri. Zitto alikuwa na shughuli za kichama Mwanza. Rwakatale alikuwa Nyanda za kati kusini ....... Tuachieni Viongozi wetu!!!
mchekini facebook na twiter huko mitaani kwenye fujo hamtamuona ng'ooooo...........huyo ndo zitto bwaana
 
Ndugu wana JF,

Tangu Raia wema wa Arusha waanze kudai haki yao jana asubuhi na kupelekea viongozi kadhaa wa juu wa chama hicho kuswekwa ndani sijamsikia Zitto Kabwe akiongea chochote, je yuko nchini au bado anasheherekea sikuku za christmass na Mwaka mpya?

==============

UPDATES:

baada ya Kuuliza Zito yu wapi amekuja na tamko hili hapa Chini kama alivyolileta Don Cicci (JF Member)

Hili kwa mtazamo wangu ni tamko zuri na limeongelea mambo ya msingi yaliyotokea.

Sidhani kama ni lazima Zitto awe Arusha ndio tuamini kuwa yupo pamoja na wenzake.
 
Hili kwa mtazamo wangu ni tamko zuri na limeongelea mambo ya msingi yaliyotokea.

Sidhani kama ni lazima Zitto awe Arusha ndio tuamini kuwa yupo pamoja na wenzake.
zitto amesaidia chadema kushinda umeya mwanza leo
 
No man is above the law and no man is below it; nor do we ask any man's permission when we require him to obey it.""Obedience to the law is demanded as a right; not asked as a favor.

A man who is good enough to shed his blood for his country is good enough to be given a square deal afterwards. More than that no man is entitled, and less than that no man shall have.
 
Hili kwa mtazamo wangu ni tamko zuri na limeongelea mambo ya msingi yaliyotokea.

Sidhani kama ni lazima Zitto awe Arusha ndio tuamini kuwa yupo pamoja na wenzake.

Zitto, Shibuda na wabunge wa Kanda ya Ziwa Chadema walikuwa Mwanza....
 
NIPO

Kwanini unadanganya uma? Kauli hii sio ya kiongozi wa kada ya zitto! Kwanini mwisho wa stori hii kuna swali kama kauli hii inatosha? wewe unaye mwandikia zitto maneno haya unayatoa wapi? na kama ni mwenyewe zitto kwanini unajificha? come out.......Tueleze hisia zako you need to redeem yourself. uko wapi zitto please njoo jamvini tuambie msimamo wako ukoje sio propaganda hizi unazo tumia.

Sipotayari kukubali kama hii nikauli yako mpaka nitakapo jua NIP kapata wapi taarifa hizi kama nigazetini basi tujue nigazeti gani kama ni redio basi ni redio gani? acheni uhuni wa kumwandikia mambo mazuri ili aonekane sio yeye aliye unda huu mkakati ........acheni unafiki wa mababa paroko, mapadre maaskofu na wachungaji walio jua Dr. atashinda lakini chama chao kitachakachua ushindi kabla hata kampeni hazija anza.

Tafadhali nenda;

Kauli ya kulaani vitendo vya Polisi Arusha « Zitto na Demokrasia

Je Inatosha? ni swali langu, samahani kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom