Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

NIPO
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateWed Oct 2010Posts1Thanks0Thanked 13 Times in 1 Post ,Ama kweli upo !!
 
good one Zitto nimekereheka na unyanyasaji wote uliofanyika Arusha nawachukia sana hawa police waliofanya vitendo hivi siku yao inakuja
 
hongera zitto.Huu ulikuwa mtego wako wa mwisho umeutegua vizuri.WANAHARAKATI TULIKUPENDA sana kwa misimamo yako ila ulitusaliti ikatuuma sana.Bado unayo nafasi ya kutushawishi kuwa unaweza kutuongoza.Kila mtu huteleza ila usikubali kuanguka.CCM wanakuthamini bcs
upo CDM, KAMA VIPI JITOE CDM ujionee nani wa CCM atakupaparikia. Hongera kwa kauli ya leo
 
bado niko NYUTRO kwa huyu bwana, ila kauli yake ni nzuri bado sikuamini bro...

Hatujui moyoni anawaza nini,lakini kauli hii inatia moyo!hongera Zitto!!

Inavyoonesha ZITTO hana uchungu na nchi

Huyu NIPO(MEMBER) NI KAMA M16 ALIYELETA HABARI ZA TUNDUMA ETI WAMEWASHIKILIA POLICE


NAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO

nAKATAA HAYA SIO MANENO YA ZITTO


Zitto amebadili ID siku hizi?

Kama umetubu na kurudi kundini tuambie mh Zitto.

Good one Zitto hongera...

... hebu turudi kule PPF tugawane zile pesa ulizofaidi:hat:

ulikuwa wapi mkuu jana ? sikukuona kwenye libeneke! au ulikuwa unasubiri kutoa tamko ili watu warudishe matumaini walipoteza kwako? anyway tumekusikia mwayego
mix with yours

Big up Zitto. Welcome on board.

Kama ungeonyesha negative response katika hili basi Wana-CHADEMA tungendelea kuamini kuwa wewe ulishakuwa mwasi.

Lakini let me put a question to you ,Mr. Zitto Zuberi Kabwe.Were you in Arusha yesterday during this saga? If yes how did you escape the police thugs?And if not, why not in Arusha to join your CHADEMA Leaders and colleagues in order to demonstrate a party unit?

Otherwise thanks for your good and encouranging thread.

Thanks.

CRAP
Analazimika kwa sasa kujikomba kwa cdm but we know where he belongs.

huwa sidanganyiiki...............ila na imani ur back bro,datz gud

Kuna mtu kanisms kuwa wabunge waliokuwa Arusha ni watu wa kaskazini tu je, hili linaukweli? Zitto kwa nini mara kadhaa ukosekana kwenye matukio ya Chadema yanayogusa isia za watu wengi?

Aibu zimewakumba!!! mnarukaruka tu!

eti mtu anauliza alikuwa wapi!! you must be chairman! baadhi yetu tunaboa sana na kukatisha tamaa

A
 
nafikri tungechangia mada iliyoo kwanz ila kma tutapata wasaa ndo mlete mengine. sion kma ni busara mtu akikumbushia visasi msibani na hoja nyingine za kejeli. lililotokea arusha ni tatizo tena kubwa maana hii tabia ya kutumia nguvu kwenye kila jambo kwa plisi itatufikisha pabaya.
 
Kuna mtu kanisms kuwa wabunge waliokuwa Arusha ni watu wa kaskazini tu je, hili linaukweli? Zitto kwa nini mara kadhaa ukosekana kwenye matukio ya Chadema yanayogusa isia za watu wengi?
Unataka kutuambia nini wewe? Kumbuka hao watu wa kaskazini ndiko yaliko majimbo yao ya uchaguzi, au ulitaka umkute Shibuda/Mnyika/Tundu Lisu huko? Zitto unamtakia nini? Kwanza unafahamu siku hiyo alikuwa wapi na jukumu gani? Good enough wa2 wa type yako tumeshawafahamu......
 
Asante Zitto, nilikuwa nataka kusikia kauli yako, i understand hukuwepo Arusha ulikuwa Mwanza kutetea Democrasia.
Mkuu naungana na wewe police kwa sasa ni kama majambazi kwa wananchi wanaopaswa kuwalinda na ni kama vijakazi kwa watawala (hasa mafisadi) wanaowatuma kuvuruga amani kisa kukipionga chama tawala,
nina uchungu mkubwa sana kwa yanayotokea, matumizi ya nguvu bila utashi wa kibinadamu na busara ni hatari kwa future ya taifa letu.
Mauaji na hata vurugu zisingekuwepo kama viongozi wa Chadema wasingekamatwa, so hii inaaminisha waanzisha fujo na mauaji ni police kwa maagizo ya wakubwa zao. Kwanini umkamate kiongozi wa chama kwa hisia zisizo za kuaminika,eti "intelijensia", kama wangekuwa na intelijensia ya kweli walikuwa wapi mpaka taifa linaibiwa resources zake.
Ccm mwisho wenu umekaribia na dalili zake zinaonekana. Kwa sasa nyie ni kama mnara wa babeli unaoyumba tayari kwa kuanguka, hata Rumi ilikuja kuanguka pamoja na kuwa na nguvu kwa muda mrefu. Its just a mater of time na chama kitamfia nani,
poleni watu wa Arusha, ila ndio njia ya kuelekea kwenye ukombozi wa kweli.
 
la katiba mumepewa sasa mwatafuta mengine hayeni bwana... Tunashukuru kwa kutekeleza nia yenu ya watanzania kumwaga damu... Hongera lema... Tangu mwanzo ilionyesha jimbo lako lazima limwage damu... And it has happened... Nyerere alitumia tu maneno yake kudai uhuru... Sasa ninyi mnashindwa je kujenga hoja?
nimekupotedheaa
 
NIPO

Kwanini unadanganya uma? Kauli hii sio ya kiongozi wa kada ya zitto! Kwanini mwisho wa stori hii kuna swali kama kauli hii inatosha? wewe unaye mwandikia zitto maneno haya unayatoa wapi? na kama ni mwenyewe zitto kwanini unajificha? come out.......Tueleze hisia zako you need to redeem yourself. uko wapi zitto please njoo jamvini tuambie msimamo wako ukoje sio propaganda hizi unazo tumia.

Sipotayari kukubali kama hii nikauli yako mpaka nitakapo jua NIP kapata wapi taarifa hizi kama nigazetini basi tujue nigazeti gani kama ni redio basi ni redio gani? acheni uhuni wa kumwandikia mambo mazuri ili aonekane sio yeye aliye unda huu mkakati ........acheni unafiki wa mababa paroko, mapadre maaskofu na wachungaji walio jua Dr. atashinda lakini chama chao kitachakachua ushindi kabla hata kampeni hazija anza.
 
Big up Zitto. Welcome on board.

Kama ungeonyesha negative response katika hili basi Wana-CHADEMA tungendelea kuamini kuwa wewe ulishakuwa mwasi.

Lakini let me put a question to you ,Mr. Zitto Zuberi Kabwe.Were you in Arusha yesterday during this saga? If yes how did you escape the police thugs?And if not, why not in Arusha to join your CHADEMA Leaders and colleagues in order to demonstrate a party unit?

Otherwise thanks for your good and encouranging thread.

Thanks.

Good question!!!
 
Ziito zitoooo Zittozitoooo

Acheni kufanya Siasa jukwaaa la taarabu.

Mbona hujauliza viongozi wengine wako wapi ?
Una share na zitto? .......Una Kisas na zitto?......Zitto kateka ubongo wako?............

Nimeuliza kwa sababu ya Wadhifa alionao ndani ya Chadema baada ya wale walioko juu yake kushikiliwa na polisi
 
Sawa Bw NIPO km kweli ni ZITTO maana inaonyesha umejiunga Oktoba 2010 wakati tumekuzoea kwa jina lingine hapa JF
hata hivyo bado tunakufagilia na tupo nyuma yako usiwe mbali na saa ya Ukombozi
 
Back
Top Bottom