Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Mi nadhan nape anamatatizo,hiv sehemu zote ambazo majimbo yanaongozw na upinzan hakuna aman?. Km hakuna aman bac hoja yake itakuwa na nguvu. Ila mi nadhan muoneeni huruma maana yaliyowapata arumelu sio madogo. Arusha mjin watapata kula 2000.
 
Lema Anasema Hivi/ yaani anatoa Tuhuma Hizi

Nape anaandika hivi kwenye Wall yake

Je Mtu Anaweza kumpuuza Lema kweli?

jamani mimi nashindwa kuelewa,iweje hukumu imetoka jana saa 4 asb,halafu baadhi ya viongozi wa ccm wanapo hojiwa wanasema wamejiandaa vyema kuchukua jimbo.je?wamejiandaa saa ngapi?au walijua matokeo muda mrefu na wakapata muda wa kujiandaa?
 
Wewe gamaba tu! Sasa unafikiri kutembelea wall yako Facebook ndo sifa. Kwanza angalia comments za friends wako kwenye wall yako facebook mwenyewe unahaha. Mwaka huu CCM mtakoma, sijui 2015 nyie mijizi mtakuwa wapi sababu adhabu ya nguvu ya UMMA itawaka juu yenu. Barack Obama aliwahi kusema "Nothing can stand on the way of the million voices calling for change". Its the time to say enough is enough, fifty years of sufferings and pains of poverty caused by failed CCM Leadership is enough. M...o yako.

Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
 
Mh. Nape heshima mbele mkuu-wewe ni mtu mwenye cheo kikubwa sana kwenye chama chako sasa unapotutupia pumba kama hizi humu jamvini, ujue unatufanya tuanze kutilia mashaka uwezo wako wa kufiri. That your thinking capacity is very poor at the muximum!!!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Tofauti na viongozi wa CCM naweza kusema wewe ni kiongozi pekee unayekubalika kwa wanachadema. Hii ni kwasababu tu unamacho yanayoona, unauthubutu wa kukemea na kiwango cha unafiki wako kinavumilika kwa kuzingatia nafasi uliyopo tofauti na kina Sita, Olesendeka, Kilango
 
CCM have set aside waiting for the supu while there is an empty port on the fire!Nape soma alama za nyakati kama kukimbia huko jiandae najua ulichosema kinatofautiana na kilicho moyoni mwako kip it time will tell! Arusha do't let the evils take back the City kumtoa LEMA mmempa nguvu na wakati wa kuzunguka nchi nzima kuhubili dhuluma dhidi ya serikli hii na ndipo M4C itakapo hitimika 2015.peeeepooooo......power when u wakeup in the morning after prayer say to ur collegues "peoples" u answer power is me!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

afadhali mpeleke hizo hongo zenu mzunguko wa fedha uongezeke lakini lazima mshindwe..mmechokwa na mnachukiwa ...mnatutesa tu watanzania..acheni roho mbaya
 
kudadaadeki! I dare to speak CCM hata wakimsimamisha nabii kama Yesu au Muhamadi hawashindi Arusha... Chezea vichwa vya Rchuga nyieee!

Nami ndivyo navyoamini. Ccm kuchukua jimbo la Arusha ni ndoto ya alinacha tena ya mchana.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nape akili huna, ndo maana unaweza toa maneno ya ovyo namna hiyo! Wizi unaofanya hapa manispaa ya arusha na wakubwa kupata mafungu huzungumzii, unasema utalii ulikuwa umekwama! Mungu akusaidie urudishiwe hekima
 
Amrudishie hekima mtu kama huyu!! Jamani mambo mengine bwana!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Lakini kumbuka mziki wa Chadema kwa sasa ni mkubwa ccm hamtaweza kurudisha hilo jimbo mikononi mwenu hata ukisimamia wewekampeni
 
Kwa kweli ni vigumu kuamini kuwa uwezo wa Kijana kama Nape wa kuweza kufikiri umeishia kikomo kias hicho eti BILA AIBU ET LEMA MPIGANIA HAKI ameirudish nyuma Arusha kimaendeleo wakati walanguzi na Wachuuzi wa rasilimali za wanyonge wakiendelelea kutunisha matumbo yao kwa kisingizio cha aman huku idadi kubwa ya walipa kodi wakizidi kutaabika, Chama cha Mapinduzi kwa sasa kutamka neno rushwa ni tusi kubwa mbele ya wafuasi wake kwani ndio ngao yao kwa kila kitu ili waweze kufanikisha jambo lolote kuanzia mabalozi wanyumba kumi mpaka Ikulu hii ni aibu kwa Taifa na chama cha Magamba, Kitendo cha kutengua ubunge Lema ni anguko lingine la Magamba kwani Arusha ni kitovu cha mabadlliko hivyo wajiandae kuvuna aibu nyingine tena kama waliyoivuna Arumeru Mashariki
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nape hata Bingu alikuwa jeuri lakini leo tutamfukia... Mtapata mishituko ya moyo sana kama wenzenu wengine...!
 
Ww inaonekana kwenye bichwa lako kuna kinyes co ubongo, maana m2 mwenye ubongo hawez kuongea mashud km yko, ***** ww uliyefungwa na kamba za ukale na uzee
 
Natamani kama kuna mahali ya kubonyeza dislike yani huyu chalii ananiboa sana hivi nini kinakupa kiburi? mimi shukuru mimi si mungu ningekuziba mdomo au nikuuwe kabisa i hate u!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
563030_399320490087805_100000295712048_1490548_385111377_n.jpg
 
Back
Top Bottom