Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

na wewe ni GMBA2 kama unaotaka kuwavua magamba sema huna ubavu na lowassa akiwa rais siku hiyo uwahi airport mapema
 
Dada Jane ameandika mambo mazito.Nape hujui wala hutaki kujua watu wameumia na kuhuzunika kwa kiasi gani kufuatia hukumu ya jana dhidi ya Lema.Wananachama,mashabiki, wafuasi ,viongozi CHADEMA na Watanzania wengine wengi wameumia sana..Binafsi uamuzi wa jana umeniumiza sana..umeniumiza sana.Je, kama wana CHADEMA wa ARUSHA MJINI wakiyapa uzito maneno yako hapa Jf na wakaamua kuanzisha vurugu utawalaumu?Hapana! utabeba lawama maana utakuwa umekuwa perpetrator wa violence.
Mwanasiasa makini na anayejitambua hujua aseme nini, wakati gani,kwa nini,ili iweje, kwa namna gani na kwa nani!watu wanakuona si mtu makini.Laiti ungekuwani mtu makini ungechagua kukaa kimya kaka.
Kwa mara ya mwisho,mwanzoni mwa miaka ya 2000, nilikufamu kama mtu mlokole,mwenye hofu ya Mungu na uliyependa kumtumikia Mungu..siasa ikakuvutia, ukaweka biblia chini!Mimi ni miongoni mwa watu ambao wewe Nape umepata kuwalea kiroho mahali fulani..Sasa humu JF unashutumiwa,mara kwa mara, kwa kusema uongo wa wazi wazi mchana kweupe, eti nyie ndani ya CCM mnauita propaganda!!wewe unaendekeza mizaha!wala huangalii hisia za wasomaji wako.Ninayo mengi ya kuandika,panapo majaliwa kesho saa nane mchana,kwa kuwa umenikera sana, nitaandaa thread mahususi kuhusu wewe ili watu wapate kukuelewa vyema.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Naomba ninukuu kauli aliyowahi kuitoa ZITO KABWE 'KUNA UHUSIANO MKUBWA SANA KATI YA UMASIKINI NA CCM TANZANIA HII, MAENEO AMBAYO CCM INAONGOZA NDIO YANAYOONGOZA KWA UMASKINI" Mwisho wa kunukuu. Nnauye Jr naomba unisaidie kwa hili.
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

"Katibu mwenezi"? Unaeneza nini kijana wewe? Haya majibu hapa, hata chekechea hawezi kuyatoa! We ni mwendawazimu usiyejitambua!! Toka nasoma maelezo yako, sijawahi kukutana na habari yenye mantiki kutoka kwako. Nina uhakika, wewe ni miongoni mwa watu wanaoiangamiza CCM, believe me or not, that is the reality!.
 
nape kama kweli wewe ni msafi unawezaje kuishi katikati ya mafisadi naomba nikupe ushauri wa bure wewe bado ni kijana achana na ccm utakuwa wa ukweli vinginevyo unaunda kundi lingine la mafisadi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom