Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nnauye Jr,

..sasa ilikuwaje ukapanda jukwaani na Edward Lowassa huku umekuwa ukizunguka nchi nzima kusema kwamba utamvua gamba??

..kwa kweli pale ulijivunjia heshima kabisa. Nape huna principles. sidhani kama kuna uhalali wowote ule wa kuendelea kuamini kauli zako.

..je, in the future tutarajie kwamba utashiriki pamoja na Andrew Chenge ktk kupiga kampeni???
 
Nape is the biggest Gmba of which you are just forced to talk on behalf of the gambazz, rudi shule naona IQ yako ina run to negative, R chuga msitegemee hata mumlete JK agombeee. <br>PEEEEOPLESSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nape,
miongoni mwa maswali ambayo huwa yananiumiza kichwa ni je,uliwezaje kuwa katibu mwenezi wa CCM??? you guy have a charisma of a cabbage, intellectually disabled should i go on??? Unaongea zaidi kwa mipasho kama akina dada wa uswahilini( with all due respect to my sisters from uswahilini!!!!) ... akili zako na uwezo wako wa kufikiri havina tofauti na Salva Rweyemamu domokaya wa ikulu, really kama ninavyomshangaa Salva ndivyo ninavyokushangaa wewe, your reactions always make me puke. Mimi niliyepata "bahati" ya kuiona CCM ya Nyerere ninajiuliza hivi angekuwepo hadi leo wewe ungekuwa hata na hadhi ya kupika chai pale Lumumba kama alivyokuwa akipika chai Anna Makinda???

Maswali yangu huwa yanapata majibu partially ninapomuangalia bosi wenu Kikwete - walatini walikuwa na msemo ab uno disce omnis yaani inapaswa kumuangalia mmoja ili uwaelewe wengine yaani inatosha kumwangalia Kikwete ili upate picha ya wanaomzunguka wakoje. Pole Tanzania yangu!!!!

 
It is better to stay quiet and people think you are idiot rather than to speak and remove all the doubt... Umejitia aibu katibu mwenezi
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

525546_326747157385437_100001504651458_913394_2055026091_n.jpg
 
Jaman huyu jamaa mnayemdiscuss hapa hana lolote hebu muulizeni kipind anasoma Nsumba Sekondari Mwanza uwezo wake darasani ulikuwaje na matokeo yake ya form form foor yalikuwaje, msihadaike na elimu yake ya kuunga unga baada ya form 4 yake he was oppress in the class na alikuwa mchamungu mzuri sana, kweli nimeamini huwezi tumikia mabwana wawili leo nape kamuhasi mungu kwa matendo yake ya kuendekeza ufisadi na uongo + kashifa
 
Aicc mikutano imepungua imeenda dar serena hotels,

ccm kupitia nape waache kudanganya umma wa watanzania tupeni data ni kwakiasi gani hao watalii wamepungua?na je lema ndiyo sababu?
Mi naona huu ni uvivu wa kufikiri na mawazo mgando!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

This has made me to think so low of you . . . People are discussing issues of national interests and you are just bursting being happy cause some few people are visiting you wall page! And these are our leaders!
 
Mimi ni mwana ccm ila sijawahi kuona **** kama nepi, huyu jamaa pamoja na lusinde wana tuharibia chama...
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

This has made me to think so low of you . . . People are discussing issues of national interests and you are just bursting being happy cause some few people are visiting you wall page! And these are our leaders!
 
Kwanza nimpe pole bwn Nape mimi nipo kwenye huo utalii Mh Lema haja punguza chochote ila gharama za uendeshwaji zipo juu kwani kenya chumba kwa mgeni kushare ni dola za marekani 250$ wakati Tanzania hotel serena chumba ni dola 500$ shared room bado park fees ni50$ per personal wakati kenya ni 35$ dola. SWALI kwa Nape je raisi wake anapokuwa Bililah hajui wageni wanataka unafuu pia? au nikupiga nao picha tu? kwanini asiwaulize wanafikiri nini kuhusu gharama?naomba ajibu hapo nitapita baadae kidogo
 
Nilichokiona ni kuwa LEMA ndiyo shida hapa Ars na kwa mtazamo huu wa CCM ni kuwa mwinginine anaweza kugombea ilimradi asiwe Lema.
 
Mentality ya wana CCM walio wengi ni kujadili personality za watu ktk siasa kama ambavyo EL alivyo tatizo kwenye CC. Vivyo hivyo, wanadhani ARS tatizo ni umaarufu wa Lema badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi.
Nawasilisha
 
Nape anaona kapata sana kuna katibu mwenezi wa ccm, anavyojibu watu hapa JF inasikitisha kama kweli anafaa kuwa kiongozi in a long run..

Nape badilika jibu hoja kwa hoja najua unaweza ila umevimba kichwa tangu uteuliwe kwenye hiyo nafasi ngoja muda wake uishe ndio utajua umuhimu wa JF na wananchi wengine; unless uache siasa uje kwenye sector yetu ya infomal sector..lol
 
What I see from CCM ni watu wasiokuwa na fikra za kujenga nchi. Nahisi uwezo wa Nape kufikiri wa kufanya analysis ya wapi chama chake kinapoelekea kwa sasa ni mdogo. Too short sighted!! I am from Arusha, na hukumu ya lema imeleta dharau kubwa sana kwa CCM. What people need is performance and not blaablaa!! Hivi kwenye majimbo ya CCM ni vijana wangapi wamepata ajira kwa kuwa na wabunge hao wa CCM? Mrema alipokuwa Mbunge wa Arusha kwa miaka 15 alifanya nini cha kukumbukwa Arusha? Hiki kipindi kifupi alichokaa lema, purukupushani za CCM mabadiliko yapo. Acheni kutujuza. Mtashangaa uchaguzi ukiitishwa. Nape my friend, seems wewe na mwenyekiti wako upeo wenu ni mdogo. Look far, na soma alama za nyakati!!!
 
Back
Top Bottom