Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

[h=6]NAAMINI MUNGU KAAMUA KURUDISHA AMANI YA MJI WA ARUSHA ILI SHUGHULI ZINGINE ZIENDELEE NA WATALII WAJE KWA AMANI, AJIRA ZIONGEZEKE, UCHUMI WA ARUSHA UKUE....[/h]

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge
 
CCM kupitia Nape waache kudanganya umma wa Watanzania tupeni data ni kwakiasi gani hao watalii wamepungua?na Je Lema ndiyo sababu?
Mi naona huu ni uvivu wa kufikiri na mawazo mgando!
 
Huyu kijana Nape, unafiki wake utaumbuka muda si mrefu. Atajuta kuwa mwanasiasa through ccm, baada ya 2015 atasahaulika katika medani za siasa. Sijui atafanya kazi gani jamani!
 
Lema Anasema Hivi/ yaani anatoa Tuhuma Hizi

Hukumu ya leo imeibua mambo mazito ambapo Lema amesema kuwa anajua amevuliwa ubunge kwa shinikizo kutoka Ikulu hasa baada ya kuwa amekataa ombi la mmoja wa viongozi wakuu wa serikali wakati huo la kutaka agombee nafasi hiyo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi kwa ahadi ya kumpa cheo kikubwa.

Nape anaandika hivi kwenye Wall yake

NAAMINI MUNGU KAAMUA KURUDISHA AMANI YA MJI WA ARUSHA ILI SHUGHULI ZINGINE ZIENDELEE NA WATALII WAJE KWA AMANI, AJIRA ZIONGEZEKE, UCHUMI WA ARUSHA UKUE...

Je Mtu Anaweza kumpuuza Lema kweli?
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
 
Huwa Natembelea ila siwezi kukoment baada ya Kuni Un friend Pale nilipokwenda na wewe Toe to Toe, Yaani CCM typical ambao ukiwakosoa basi wewe ni Adui yao
 
Nape ameandika hivi kwenye Wall yake ya Facebook

Nimejaribu Kusoma Katikati ya Mstari nimetfsiri/Nimegundua kwamba

1. Piga Ua Garagaza ilikuwa ni Lazima Lema ang'olewe Ubunge wa Arusha kwa Maana kwa Mujibu wa CCM Lema alikuwa anazuia Shughuli za Uchumi na Biashara ziendelee

2. CCM Ilipanga hukumu ile ila Nape hawezi kuweka kitu Kifuani aidha kwa Chuki au Chochote kile ameamua kuweka wazi siri yote. Ila Sishangai si hawa ndio walivujisha barua juu ya Utata wa Uraia wa Sioi

3. CCM wanamuogopa Lema na Wasingependa Agombee tena (Ili Kurudisha "Amani" na "Utulivu" Arusha) So CDM wajiandae kisheria Naamini Mapambano ya CCM/Serikali yake hayajaisha jana. Watakuwa wanasubiri Muda wa Lema kukata/kukubaliana na Rufaa upite wafungue kesi nyingine ya Pingamizi.

4. Kwa hali inavyoelekea itachukua Muda Mrefu sana kwa Arusha kupata Mbunge

Ina maana Watalii walishaogopa kwenda Arusha kuhofia vurugu? duh hii sasa kali. Kwa nini lakini? Lema anahusika vipi na amani na utulivu kukosekana Arusha? Majmabazi na vibaka walikuwa huru sana nini?
 
Mh hii nayo kali, mbona amani ya Arusha has always been the same na shughuli ziko poa tu, au anamaanisha in wht sense?
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Do you really think mtachukua hilo jimbo? Kule ni wazi kabisa kuwa ngome ya chadema afterall ccm haikubaliki huko na sehem zote za miji mikubwa. Think what? Hamna chenu tena u r a hoot nape, u r a hoot!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Nape ni ungwana pia kujibu maswali ya wanabodi.
1.Ni kweli Lema amepunguza idadi ya watalii?kama kweli kwa kiasi gani?takwimu plz
2.Kukosekana kwa Ajira kwa vijana ni Lema?kama ndivyo mbona ndiyo waliompa kura na ndiyo watamrudisha!
3. Miundo mbinu mibovu ya jiji na Stendi isiyo na hadhi haya yote ni Lema?
 
Dah Umeiweka Vyema sana Mkuu
 
kudadaadeki! I dare to speak CCM hata wakimsimamisha nabii kama Yesu au Muhamadi hawashindi Arusha... Chezea vichwa vya Rchuga nyieee!
 
Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM

Sipendi kuamini uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo Nape. Kusema kuwa amani, utalii na ajira vitapatikana kwa Lema kutokua Mbunge....No wonder mnaishia kulusinde ktk majukwaa badala ya kuja na ajenda ya kampaeni. Tumia muda huu kufikiri nn iwe ajenda ya ccm ktk kampeni za ars mjini. Soma,consult wataalam nenda ars ongea na wananchi.Majira yamebadilika watu wanaakili huwezi kusema tuu mkichagua ccm mtapata amani na upinzani vita wa2 wakaelewa, wanaona sehemu nyngne TZ na nje ya TZ amani ipo na biashara ipo hata bila chama tawala. Msiendeleze business as usual Nape!!!
 
Kwel nape una akili mugando. Hivi unataka kuaminisha umma kuwa uchumi, amani na ukosefu wautali arusha ni kwa sababu ya lema? Ki ukwl 2najua ahadi za magamba azi tekelezek na amna jpya kama chama bali mnataka mkalinde masilai yenu pale arusha ambapo uwepo wa lema nikikwazo kwenu.
 
Back
Top Bottom