Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Hivi Lemma amemaliza kulipa madeni yake? Karibu benki zote zinamdai wakati akiwa ughaibuni, na nyumba zake Dar na Arusha ilikuwa zipigwe mnada.

Pia alimponza kaka yake aliyekuwa akimiliki Villa Park Mwanza mpaka akafungiwa. Aliigeuza Villa Park ofisi ya Chadema ya Mkoa, wakati Villa Park alikuwa kapanga katika eneo la CCM.
 
Sasa habari za madeni ya Lema zinaingiaje kwenye uzi huu?
 
Back
Top Bottom