KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

ningekuwa mod ningeanzisha jukwaa la watoto nao wapate mahali pao pa kupigia kelele.......kama hawa wanaolumbana hapa.....mtu mzima mwenye kujielewa hawezi akapigizana kelele na hawa vijana
 
Ukate mzizi wa fitina we na nani? Hamna ligi za kipuuzi ka kushindanisha vyuo hasa hivi vya Tanzania. Chuo bora ni wewe mwenyewe.. Kama umetoka na msingi mbovu toka primary hata ukasome Harvard ni bure..

acha kupotosha watu,udsm itabaki kuwa yenyewe! Eti wewe mwenyewe,acha uhuni wewe,udsm ulinganishe na sua,muccobs,saut,ifm etc! Matusi hayo!ni chuo gani tz hapa ambacho kina wahadhiri wenye sifa sifa kem kem,vyuo vingine ukiondoa udsm ni wavi tu ingawa mimi sikusoma udsm,udsm is the best university not only in east africa but also in africa!
 
Ilitolewa complain hapa jamvini kwamba huyu dogo apigwe ban kwa thread zake za kipumbavu sijui kama mods wanalifanyia kazi hilo swala..

Ukitaka JF i-shine basi nyimamadogookumanga enheeee nyimamadogookumanga!
 
acha kupotosha watu,udsm itabaki kuwa yenyewe! Eti wewe mwenyewe,acha uhuni wewe,udsm ulinganishe na sua,muccobs,saut,ifm etc! Matusi hayo!ni chuo gani tz hapa ambacho kina wahadhiri wenye sifa sifa kem kem,vyuo vingine ukiondoa udsm ni wavi tu ingawa mimi sikusoma udsm,udsm is the best university not only in east africa but also in africa!

Halaf ukimaliza Udsm unalalamika ajira hakuna...au ndo ushabiki wa matukio kuliko matokeo
 
acha kupotosha watu,udsm itabaki kuwa yenyewe! Eti wewe mwenyewe,acha uhuni wewe,udsm ulinganishe na sua,muccobs,saut,ifm etc! Matusi hayo!ni chuo gani tz hapa ambacho kina wahadhiri wenye sifa sifa kem kem,vyuo vingine ukiondoa udsm ni wavi tu ingawa mimi sikusoma udsm,udsm is the best university not only in east africa but also in africa!
hapo umesema uongo!! Kwa africa??? Au unasemea udsm nyingine sio hii tunayoifaham!!!?? Kajipange upya...
 
hebu niendelee kuona mashushu haya maana naona dogo kakimbia kaona hapa sipo...hahahahah!!!!!
 
Kiukweli cku hiz tunaweza shindwa tambua ni kipi bora kwa 7bu wa2 wamekuwa wachakachuzi mnoo maana ubora wa chuo hua tunangalia gradates wake wanakuwa vp makazini kiutendaji na uwezo wa kudeal na mambo ya kiofc, maana kuna wa2 wanatoka vyuo na GPA kali xana lkn mpeleke field utacheka mfano kwa wale wa ICT m2 unakuta ajui ata kufanya troubleshoot hajui ukichek GPA ana 4.5+ sasa hapa kuna ubora gani au m2 ata kufunga RJ hajui xaxa kaxoma nn huyu mtu na hiki chuo utasemaje ki bora huku kinatoa mambumbu?? Hapa inabidi tuangalie zaid graduates wa chuo husika ndio tuseme hiki bora au hiki si bora kuringasha na kile.
 
Wanangu wanasoma Havard, Oxford na Yale. Mmoja asiyejiweza zaidi ndiye nimemsweka University of Cape Town, South Africa. Hivi vyuo vya hapa vyote ovyo tu, labda kidogo UDSM. Of course, mie nilisoma University of Dar es salaam kabla ya kuzuka hivi vyuo vikuu vya kata.

(Jamani nawatania, msinikunjie ngumi mbele ya screen zenu)
 
Narudia kusema,udsm level yake sio hvi vijivyuo kama muccobs,saut,ifm au mzumbe.udsm inapambanishwa na vyuo kama cape town,makerere,cairo na nairobi.
 
Back
Top Bottom