KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

mpuuz wewe makamuzi ,kama ungekuwa mkubwa ungejibu koziyakula na kulala kwenye thread yangu nyingine ww kaa kimya tu ala
 
Mpigamsuli., je unaelewa vigezo vinavyotumika kutambua ubora wa chuo kwa nchi, kanda au kimataifa?
 
Ilitolewa complain hapa jamvini kwamba huyu dogo apigwe ban kwa thread zake za kipumbavu sijui kama mods wanalifanyia kazi hilo swala..
 
Ngoja nikupe mfano mdogo tu,
Harvard kinasemekana kua ndio Chuo bora duniani, lakini moja ya Products zake ni Mzee wa V. G. Cent Bwana Andrew Change.

Sasa kuna watu hawajafika hata hivyo unavyoviona bora kwa hapa na wanamwaga Points vilevile.
 
makamuzi ,ushajulikanaa aibu 2pu majina kama mpigamsuli na mkeshajiusiku yanakuudh nivema ukachangia au kaa kimya ****
 
Mpigamsuli search google tu utapata ranks zote.Kuchangia itakuwa kama vile na waonea wengine.
 
makamuzi ,ushajulikanaa aibu 2pu majina kama mpigamsuli na mkeshajiusiku yanakuudh nivema ukachangia au kaa kimya ****
dah hili tifu haliishi?! Mi najitolea kuwa refa atakaye shindwa apigwe ban naona mnapigana majungu uzi mzima.!
 
dah hili tifu haliishi?! Mi najitolea kuwa refa atakaye shindwa apigwe ban naona mnapigana majungu uzi mzima.!

Mshauri dogo asome,,,thread anazoanzisha hazina kichwa wala miguu...ndiyo maana kumbe hajawahi kuchangia na kuanzisha thread jukwaa la siasa....analeta hapa mambo ya advance..anadhan wote hapa ni watoto kama yeye
 
mpuuz makamuz kama ungenijua mim had shule nliyosomea walikuwa wananiita politicalscientist achb kunishobokea ndg
 
mpigamsuli you are not my enemy...so if u get a chance of being selected at any institution let me know..nice day young boy/girl
 
Dah mazao ya Shule za Lowasa haya......chuo bora kichwa chako tuu labda ungesema mchepuo unaosoma Ndio uulize kipi kinatoa product nzuri sasa wewe umechanganya medicine, business, agriculture etc Swali lako halijibiki zaidi ya kupewa madongo Kama hayo apo juu.....pole kwa kutokuelewa kupotea njia Ndio kujua njia
 
jiulizekwanza,mimi nimesomea taboraboys so mimi ni noumer zaidi ya wewe
 
Aggrr kumbe ni topic ya mpiga msuli,hebu nimuache akapige msuli hana jipya huyu.
 
Back
Top Bottom