Kanisa la TAG Kaskazini Pemba lachomwa moto

Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 ya Radio 5 fm imetangaza kupitia mtangazaji wao aliyepo PEMBA Ndugu Masanja Mabula kuwa watu wasiojulikana wameliteketeza kwa moto kanisa la Pentekoste TAG huko kaskazini Pemba juzi usiku.Lakini amemkariri kiongozi mmoja wa Kanisa hilo akidai wanawahisi baadhi ya watu lakini hawatachukua hatua bali wanamwachia Mungu.

Je, huu sio muendelezo wa kuwabagua wabara na kuwatisha ili wakimbie visiwa hivyo kwa hoja ya kutaka ZNZ kujitenga na Muungano ilihali wa ZNZ wanafanya mambo yao huku bara bila bugudha?

Ivi makanisa zanzibar yanatafuta nini?mbona mnataka kuwachokoza? mmesikia kuna mzanzibar ambaye ni kafiri? acheni chokochoko hazitowafikisha popote. ivi nyinyi mnaochangia zanzibar mmeenda mkaona palivyo na watu wanavyoishi? waacheni jamani msije kutuibulia mengine, nyie komaeni kule Iringa na Mbeya
 
Huko zanzibar kuna majini (mapepo) lazima yafukuzwe kwa jina la YESU, yarudi Oman na saudia ili ndugu zetu wafunguliwe kutoka kwenye hiyo minyororo ya giza.
 
Amen to that. Waliyageuza jina na kuyaita POPOBAWA.
 
.......... huko kwenu makafiri yamejaa tele,hampeleki kanisa, mnapelekea kanisa watu ambao wameshaiona kweli ! nyie vp ?
 
Huko zanzibar kuna majini (mapepo) lazima yafukuzwe kwa jina la YESU, yarudi Oman na saudia ili ndugu zetu wafunguliwe kutoka kwenye hiyo minyororo ya giza.

......... hayasumbui ndio maana hajaitwa mtu huko, sijui kiwanja walipataje ! au wamepewa na magamba?!
 
Mkuu,

Hiyo si vita dhidi ya Kanisa (Ukristo) bali ni vita dhidi ya MUNGU.

Iko siku BWANA atachoka na kuamua kuachilia hukumu dhidi ya hao wanaompinga, na hapo ndo itakuwa kilio na kusaga meno....

Uzuri mmoja wa Ukristo ni kutolipa Kisasi, kwani "............kisasi ni kazi ya BWANA........"

............ kwani ukristo ni dini au jina la mtu !?
 
wamechoma kanisa, je ni udini au siasa? tatizo la msingi hapa ni jina la YESU. Hilo jina linawatesa sana baadhi ya watu na hawalitaki kulisikia kabisaaaaa. Mapepo yana kawaida ya kuchefuliwa na hilo jina, mtu mwenye mapepo hata siku moja hawezi kustahimili hilo jina likitajwatajwa in his neighborhood.

'' wakujuwe wewe MUNGU wa PEKEE na wa KWELI na YESU KRISTO uliyemtuma" tatizo la msingi ni anayetumwa anaposingiziwa kuwa BWANA !!
 
.............. mwenye matatizo makubwa ni yule asemaye kuwa "MTU" ni MUNGU !!! MUNGU hakuwahi kudhalilishwa kwa kuwambwa kwenye mti !
mtapambana lakini hamtashinda, jina la YESU ni jina kuu lipitayo majina yote. Mungu awasamehe kwa kutokujua kwenu.
 
Ivi makanisa zanzibar yanatafuta nini?mbona mnataka kuwachokoza? mmesikia kuna mzanzibar ambaye ni kafiri? acheni chokochoko hazitowafikisha popote. ivi nyinyi mnaochangia zanzibar mmeenda mkaona palivyo na watu wanavyoishi? waacheni jamani msije kutuibulia mengine, nyie komaeni kule Iringa na Mbeya
Na hao Wapemba wanaofika mpaka Mbeya kutafuta mchele, mbona hawafanyiwi fujo? Au wale Wapemba waliojaa Bara wanafanya biashara na wana maduka sehemu nyingi mbona wanapeta tu? Roho mbaya inatoka wapi?
 
.......... huko kwenu makafiri yamejaa tele,hampeleki kanisa, mnapelekea kanisa watu ambao wameshaiona kweli ! nyie vp ?
Huko Pemba lazima Habari Njema ihubiriwe ili iwe ushuhuda kwao (Mt. 24:14), hapo ndipo mwisho utakapokuja!
 
'' wakujuwe wewe MUNGU wa PEKEE na wa KWELI na YESU KRISTO uliyemtuma" tatizo la msingi ni anayetumwa anaposingiziwa kuwa BWANA !!
Yesu akaja kwao akasema, nimepewa mamlaka YOTE Mbinguni na duniani, basi enendeni mkawafanye mataifa YOTE kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu mkiwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi...! (Mt. 28:18-20)
 
............ kwani ukristo ni dini au jina la mtu !?
Kweli Waislamu wana matatizo, wakimaliza kuua Wasio waislamu hugeukiana wenyewe kwa wenyewe kwa kulipuana kwa mabomu, tena mbaya sana ni misikitini kwao (Refer Shiah vs Suni)! Kweli marehemu Muhammad katuletea balaa hapa duniani!
 
Kuchomwa kanisa na nyumba za wabara inajulikana ni kazi ya dini gani, hilo si jambo la kusema tunamwachia Mungu, tunamwachia ili iweje?wataendelea kuchoma makanisa na nyumba za wabara mpaka lini? hata jino kwa jino nayo ni habari. Ila siku zinakuja kama za nigeria na misri ambapo wakristo watachoka kupigwa shavu na kuamua kufanya kweli. Wanatutafuta kwa kila njia....haya
 
How i wish people could respect one another religion, we are living in the country with cultural and religious diversity, then why are we not telerant to one another............it is disgusting
 
.............. mwenye matatizo makubwa ni yule asemaye kuwa "MTU" ni MUNGU !!! MUNGU hakuwahi kudhalilishwa kwa kuwambwa kwenye mti !

Wewe unaamini kuwa Yesu alikufa Msalabani? Ni Kolani ipi hiyo inayo kubaliana na maneno yako? Niletee aya kutoka Kolani inayo saidia maneno yako kuwa Yesu alisulubiwa Mtini/Msalabani. Ukishindwa, basi ijulikane kuwa wewe ni muongo kama allah wako anaye dai kuwa Yesu hakusulubiwa na hakuna Mungu. Allah wa islam ni Shaitan na Mpinga Kristo, kama Yesu alivyo sema roho ya mpinga Kristo itakuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom