Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

Oct 8, 2018
8
19
Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo.

''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket.

''Mara ya pili unamtoa viwanja kama kawaida, unatumia pesa mnaenjoy bado binti hata hakushauri kupunguza matumizi ya pesa au kukushauri izo pesa mkawekeze sehemu, ndo kwanza anauliza week ijayo baby tunaenda kiwanja gani?

''Kaka kimbia fasta hamna mke hapo hilo ni jini, jaribu bahati sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom