Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

the power

Member
Oct 18, 2012
85
105
Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza.

Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia ya pili tu, pisi kali ndo zinaingia, kwa mshangao nguvu hiyo hisiyothimilika inawavuta warembo wakae karibu na wewe mbali ya baa/club kuwa na sehemu kubwa na meza nyingi zilizotupu, kibaya unajitahidi kuuchuna ila nguvu hiyo hiyo kupitia kwa mademu hao inawaambia "msemesheni kwa upendo na mahaba" na hapo ndipo story zinaanza, mwisho wa siku mambo waa..unasepa na mmoja na kuspend naye night, unatumia ten times of what you planned to spend.

Umejipatia kaposho kako kwa msoto mkali sana, unajisemea "nimespend sana na warembo inatosha, sasa, kwa hii cash niliyopata lazima nifanye jambo la maendeleo". Kosa kubwa unafanya dhidi ya nguvu kubwa, unapanga maendeleo wewe subiri weekend tu. Weekend hiyo inafika, nguvu hisiyothimilika inakuambia "wewe acha ushamba, leo una cash nzuri kwa nini husijipongeze kidogo, hacha kuwa mvivu wewe". Mara nyingi hii nguvu inatumia justification zinazo-make sense kabisa eti "kwa nini husijipongeze" basi unapiga moyo konde na kusejisemesha "tena kweli kwani nikitumia 50,000 /Tsh kati ya 500,000 Tsh nilozopata nitapungukiwa nini?" mbaya zaidi wakati unajishauri kimoyomoyo, nguvu hiyo hiyo utafikiri inasikiliza maongezi yako ya kimoyomoyo inakusisitiza na kukuambia "Nenda wewe acha ushamba, maisha yenyewe mafupi; husiwe mwoga, hela inatafutwa" Hilo linakuwa kosa ukifika tu club, nguvu hiyohiyo inawaleta warembo wakali tena wale unaowafahamu na hukutegemea kuwakuta hapo, nguvu inawaamuru " nendeni mkae kwenye meza yake na mumchangamkie, pesa ipo hapo hamuoni kaagiza heinken 3", kwa mshangao wanakuchangamkia sana kinyume na zamani walivyokuwa wanakubeza, then stories moja mbili , bia moja mbili zinaanza unatumia 200,000 na kusepa na mmoja.

Umekomaa kweli kweli na kushukuru kwamba hakuna type yako kwenye baa au club ulipokaa/uliyopo kwa sasas na mademu wote around you ni wabaya, nungayembe sana, sura mbaya, shape feki,kwa ujumla hawana mvuto, miguu mibaya, labda ile pisi moja kushoto at least inalipa kidogo ila ni nyeusi sana haivutii kabisa kimvuto. Basi unaanza safari lager ya kwanza , ya pili , papo hapo nguvu ile hisiyothimilika inaanza kukusemesha " Hoya mwanangu, unasemaje, unafeli wapi? ebu checkshia ile pisi kushoto, hata wewe mwenyewe umeikubali kwa shingo upande, unasema sura mbaya eh! cheki mdomo ule umekaa vizuri kunyo.., umeiona miguu ya chupa ile, hiyo ni balaa, fikilia unapitisha mikono yako hapo ni , ngozi utelezi tupu, ngozi nyororo! tena assume nguo ya juu imeondolewa, jiulize je kama miguu iko hivi je kilichoshikilia miguu kwa juu kikoje, halafu mwanangu hivi hujui black is beauty, husiwe mnyonge jaribu utanikumbuka".

Unaendelea kukomaa na kujisemea hapana sikuwa na mpango huo. Ahhhh thubutu! kosa kubwa unapoikomalia nguvu kubwa, kwa taarifa tu nguvu hiyo huwaga haikati tamaa, itarudi tena kwa spidi ya 5G, "itakuambia "Sasa wewe kinachokuponza ni woga, amka pita kama unanunua kinywaji, pisi ile black itakuangalia na kutabasamu, isemeshe" halafu hiyo hiyo nguvu kubwa itamwambia pisi kali hiyo black " jamaa kwishnel, husipoteze muda akikukusemesha be positive" mara ndindi, mko pamoja, bia nyingine 10 na sisha juu unasepa naye na kutumia zaidi ya 150,000/tsh.

Ukiwa geto kwako umechili eti "sitaki demu kabisa, enough is enough", tena kaposho kangu haka ni ka mwisho wa mwezi , ongeza na dili zilizotiki mwezi huu nitapeleka kwenye mchanga na matofari site kwangu mapema kabla sijatumia kama nilivyotumia zile za miezi sita iliyopita kwani ninajijua mimi ,si mzembe kutumia linapokuja suala la kuspend kwa totos.

Hilo ndilo kosa utakalokuwa umefanya, ukishasema kuacha ngono, mapenzi halafu saving ufanye maendeleo, huo unakuwa kama huasi mbele ya nguvu ile hisiyothimilika. Kwa taarifa tu tena, nimekuambia ile nguvu haishindwi bwana, ina-sidetricks nyingi sana, ikishindwa hii inaleta trick nyingine, na inajua weakness zako zote, nakuambia huchomoki labda uwe na upako halisi wa roho mtakatifu na si wa kina Kakobe, Gwajima au Mwakasege .

Mara ghafla sauti hiyo inaiambia pisi uliyokuwa ukiifukuzia kwa miezi na kuspend a lot on her last week
" unamkumbuka jamaa yako yule zoba aliyekupa namba na kuspend a lot kwako, mpigie simu ,utapiga bia, kula msosi na utapata maokoto na leo." Mara unasikia simu ndi, ndi kucheki ni pisi kali na ulisha spend a lot kwake last week, nguvu hatari ile inakuambia "Hoya hacha uzembe, hayo ni matumizi mabaya ya pesa, unakumbuka ulispend zaidi ya 180,000 /Tsh kwa hii manzi na hukuambulia kitu, sasa yenyewe imejileta kwenye mtego , nenda leo at least ujustify matumizi ya hela yako uliyotumia last week", Nimekuambia nguvu hii kubwa inajua kumake -a case na hoja zake uwa zina-make a lot of sense hasa kwetu sisi wapiganaji. Then wewe unaitikia na kusema "Tena kweli eh!, it make a lot of sense" . Baada ya muda unapokea simu "Hi baby, where are you, missing you sana baby " pisi inaendelea kukutamanisha "Baby can you join me, I feel very lonely, come to Masaki pub, just chilling around, we can have a good time together, remember last week". na wewe unajibu "Missing you too baby, give me 30 minutes will be there " . Sijui sudden change of thought and idea zinatokaga wapi naada ya calls tamanishi kama hizi? unasahau kabisa dakika kumi zilizopita ulijihapiza no more spending on totos.

Siku hiyo unaspend zaidi nusu ya akiba ya mchanga na matofari na kuhahirisha zoezi zima kwa ajli ya bia, chakula, juice na cake take away, mbaya zaidi na mbususu hupewi unaambiwa "Baby nice meeting you, now we need to plan well when are we going to spend the whole night together; spoiling each other, I can assure you, you will be surprise utapewa vitu special, si unajua kula nanasi kwahitaji nafasi, leo ninarush kidogo kwa Shangazi nina-apointment saa 2.00 usiku na sasa ni saa 1.30 usiku, prepare yourself for the tough game, stay healthy, husije ukaniangusha.

Unajisemesha mwenyewe kuanzia leo sinunulii demu zaidi ya bia mbili , na nitatumia si zaidi ya 20,000 Tsh kwa bia kila wiki. Nakwambua husijiapize , kumbuka ile nguvu hisiyothimilika inasikia na inapenda watu wagumu kama wewe. Mara paa! uko sehemu pisi kali balaa ziko loose mbele yako na kizuri very charming na zinaonyesha ziko expensive sana kwa vinywaji wanavyokunywa, mavazi, ngozi na general appearance. Labda nikutaarifu tu ufahamu , pisi expensive utazijua tu , huitaji PhD kama wewe ni mtaalamu wa mambo yetu, mambo ya ndingo-ndingo na pisi feki utazigundua tu hasa baada ya kuongea nazo kwa dakika fulani, kuna pisi za Manzese kwa mfuga mbwa zikiwa Osterbay au Masaki utafikiri za kishua-Osterbay -Mmbezi beach etc by appearance ila ukiongea nazo sentensi tano tu unagundu tu Mh hii tip-top Manzese inawahusu. be carefull though judging from physical appearance and attires.

Turudi kwenye story yetu. Basi sauti ile nikuambie haishindiwi kitu, tena pale inapojua umejiapiza kuepuka ngono/mapenzi zembe ili kusave ufanye maendeleo. "Hoya mwanagu eh, unaziona pisi hizo, hizo ndio type zako, halafu much they look expensive but they are very friendly, look! tena si unaona zinakucheki mara kwa mara" nguvu hisiyothimilika inaanza kukupa idea za kukufanya uspend kwa mademu, halafu hata kama sio kweli wale mademu walikuwa hawakucheki wewe, walikuwa wakiangalia TV iliyokaa nyuma yako, wewe unakubali tu: ulishawahi kujiuliza hiyo sauti na nguvu inatokakaga wapi? "tena kweli eh! unajijibu mbona wananicheki kila mara wamenikubali eh", unajicheki shati lako na kwenda maliwatoni kujirekebisha kora, soksi na kujifuta vi-mafuta vilivyozidi usoni na kwapani tayari kwa maandalizi. Wanaume wasiojihamini huwaga wanafanya hivyo. Ubaya nguvu ile ikiisha ona finally ume-consent inakupa tricks za kuwaaproach , lengo la tricks zote utumie hela yako yote na mipango yako iharibike, kwani ndilo ultimate goal ya nguvu hiyo, haiko hapo kukusaidia upate demu au mke na haikupi cost-effective tricks ingawa ziko nyingi tu, nitafute nitakupatia chache bila malipo.

Sasa nguvu ile inakuambia "Kamanda as I told you, hawa mademu, much they look friendly but are expensive, unless ukubali kuspend more huwawezi, bahati haiji mara mbili". Ngoja nikuambie ubaya wa nguvu hii inakuhamasisha mwanzo kwamba it is easy, halafu ukiingia laini baadae tena inakukatisha tamaa, inakutisha unapokuwa tayari umehamasika ili utumie fedha nyingi. nguvu hiyo inaendelea kukupa tricks za kuwaapproach " inakuagiza "as an advertisement peleka kwanza Jack-Daniel moja nyingine, coca nne na limau, then keep quite for half an hour or the whole hour, unajua first impression matter eh! then ulizia wanakula nini, kwa sababu hawajala, peleka msosi then wajoin kwamba wewe ndiye uliyesababisha vyote, watakuruhusu tu kwenye meza yao,ili mradi wameshapokea whisk na kupiga msosi " then peleka shule nitakusaidia maujuzi husiogope mwanangu, haya twende kazi" hiyo nguvu inakupa expensive trick. Siku hiyo unaspend 250,000Tsh na unaambulia namba tu na ahadi, ila ile nguvu inakuhamisha tena ili husikate tamaa siku nyingine" Dont worry Mwanangu that was a nice move, wewe mwenyewe unacheki pisi hizi ni kali zisingeweza kukubali siku ya kwanza tu" vuta subra tena ile white ndefu imekukubali kinoma si unaona ilivyokuwa ikikukatikia" wakati nguvu hiyo ilikuambia mwanzoni everything will be OK lazima uchomoe mmoja hapo. Wewe unaitikia "eti mwanangu kweli eh"

Hakika, Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi, tamaa ya ngono. Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko, itakuandalia mazingira wezeshi, ulishawahi kujiuliza ilikuwa ni bahati tu na mimi sikulaza damu, itakupa ujasiri ambao hukuwa nao, ulishawahi kujiuliza hivi nilipata wapi ujasiri ule, nikachomoa ngoma na ikishindikana nguvu hiyo itatumia hao hao mademu kukulainisha au jamaa zako wa karibu (mob physchology) ulishawahi jiuliza do! ngoma zenyewe zilijileta na kujirahisisha ( zali la mentali) au jamaa walinipush sana mpaka ikabidi niiapproaches ile pisi ilikuwa kali sana ila nilispend kiasi kikubwa, Nguvu hiyo itahakikisha inasafisha saving yako yote, mipango yako yote tena ile ya maendeleo haitakamilika, kwani pesa yote utakuwa umespend kwenye process ya kupata penzi, kupata ngono.

Wanaume tunahitaji nguvu kubwa ya kiroho kukabiliana na hii nguvu,nguvu hisiyothimilika kwani inauwezo wa kugundua kila unachopanga kimoyomoyo hasa cha maendeleo na kukukwamisha kwa kuelekeza fedha zako, akiba yako kwenye totos. Chukua tahadhali kabla ujafikia miaka ya 60 ukiwa huna pa kushika, unabaki kujisifia tu kwa wajukuu eti enzi zangu do niliwachakachua mademu kibao, nilikuwa balaa. Kama unabisha chukulia mifano ya wasanii wengi wa bongo fleva wa 80s, 90s na 2000 waliobahatika kushika fesha balaa, mista nice, dud baya, etc na wazee wengine wanaotuzunguka. Kama unaendelea kubisha na kama wewe ni mwanaume mjanja niambie ukweli kama hujawahi tokewa na scernario hata moja kati ya chache zilizotajwa hapo juu. Basi kama hujawahi wewe ni the CHOSEN ONE.
 
OK nilikua sijui, lakini nikisema nahitaji nakuwa nimejisingle out mimi peke yangu. Ungekuwa mwanaume ungegundua kinachoongelewa hapo ni fact zinazowakumba wanaume zaidi ya asilimia 80% kwa scernario mbalimbali tajwa
the power, ulichoongea hapo ni ukweli mtupu asilimia mia nane.

Now, tell us, tunafanyaje kupambana na hiyo nguvu?
 
Mkuu ulichoongea ni kweli kabisa, tatizo hapa kila mmoja atajifanya hayajawahi kumkuta,

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu hapo hakuna ila kinachonikwamisha ni Betting aisee! Sitaki kuongea mengi ila Betting imenimaliza na nimeshashtuka aisee.
 
Aisee
 
Kujichafua ni rahisi kuliko kujisafisha

MTU mjinga ndo anasumbuliwa na wanawake

MTU mjinga ndo anasumbuliwa na pombe

MTU mjinga ndo anasumbuliwa na kamali

Ukiushinda ujinga , maana yake utakuwa umeushinda Umasikini , uraibu n.k

Pamabana na ujinga kwanza.

Ukiushinda ujinga utapata kitu inaitwa Self-control na self control maana yake ni Kuwa na kiasi.
 
Hapo ni Mungu tu na juhudi zako kumuweka Mungu mbele ndo zinaweza kukutoa hapo. Ila hyo vita ni Kali saana. Hiyo sauti inakuaga na nguvu saana alafu ukishamaliza unajitukana wee na kujiona mpumbavu na Una APA hautorudia tena. Mwisho wa siku unafanya yaleyale
 
Absolutely correct.

Na hapa tumeshaanza kupata majibu ya andiko hili; nikimaanisha " sasa tufanyeje, suluhisho ni nini?.

Lakini ndugu zangu naomba tusiwe wambeya. Hiyo nguvu sio nguvu ya kubeza, hata watumishi wa Mungu waliojiapiza mbele ya mazabahu kuna wakati inawashinda. Kwa hiyo tusifikiri sisi tuna nguvu sana, ni wasafi sana, ni wema sana kuliko wengine.

Andiko hili linataka kutufilisha kwamba mbali za sara, mbali ya mafungo, mbali ya novena , mbali ya maombezi na masakramenti bado inabidi tuwe makini sana.

Mimi ninafahamu walokole, makarismatiki, mahustadhi wenye misimamo mikali waliohangushwa na nguvu hizi. Basi andiko hiki kwa jinsi lilivyo neutral litukumbushe scerrnarios na namna tunavyojikuta tukianguka , hata kama sisi twajidai, twajihaminisha tumesimama.
 
Hapo ni Mungu tu na juhudi zako kumuweka Mungu mbele ndo zinaweza kukutoa hapo. Ila hyo vita ni Kali saana. Hiyo sauti inakuaga na nguvu saana alafu ukishamaliza unajitukana wee na kujiona mpumbavu na Una APA hautorudia tena. Mwisho wa siku unafanya yaleyale
Correct. Nina bosi wangu huwaga hakubali kuambiwa mapungufu. He is always in denial, refusal. Na mara nyingi hatuwezi kusolve issues kwa sababu yake. Refusal to accept there is a problem, is a preliquisite of failure to solving that problem, it is a guarantee to fail solving the root cause. Uwepo wa nguvu, sauti hii ni mkubwa na nguvu hii hutaiona bali utagundua tu baada ya kuwa umeshatenda. Kataa kubali ukweli unabaki papo hapo
 
Hapo ni Mungu tu na juhudi zako kumuweka Mungu mbele ndo zinaweza kukutoa hapo. Ila hyo vita ni Kali saana. Hiyo sauti inakuaga na nguvu saana alafu ukishamaliza unajitukana wee na kujiona mpumbavu na Una APA hautorudia tena. Mwisho wa siku unafanya yaleyale
Yaani maelezo yako yamehakisi concept nzima ya andiko langu. Kama vile ulikuwa ukisoma ubongo wangu wakati nikiandika. Kweli umelisoma andiko vizuri. Ni ngumu kulielewa ukilisoma juujuu
 
Kwa nini unatumia h kwenye u?
Ni swaga tu. Hata hivyo cha muhimu ni concept under discussion. Kama inaeleweka hicho ndicho cha muhimu Grammarly , mpangilio wa idea na logic kama tulivyofundishwa mashuleni hivyo tuwaachie wanafunzi wa vyuo. Kama mtililiko wa kimantiki una make sense, that is all we need in order to effectively communicate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom